askofu

  1. Askofu Bagonza: Mfano wa "REFORM" ya Rais Samia ni kama hivi anavyowahusisha "PPP" katika ujenzi wa barabara ya Kiberashi mpaka Singida(340kms)

    4R's za mh.Rais Samia zina mawanda mapana sana. REFORM: Huko nyuma hatukuona ujenzi wa barabara zetu wakipewa "PPP-ubia wa sekta binafsi na serikali" zaidi ya hatua za wizara ya uchukuzi(ujenzi)pekee. Mh.Rais Samia amekuja na mikakati hii mipya akiichagiza "REFORM" kwa kuihusisha "PPP" na...
  2. K

    Askofu Bagonza kanena

    Badala ya kupiga madongo na kuweka uchawa tubadilike kwa manufaa ya nchi
  3. Hivi siku hii Askofu Gwajima alikuwa amekula nini?!

    Udini ukiuzidisha sana mheshimiwa anawezaonekana kama mwendawazimu!
  4. Hivi siku hii Askofu Gwajima alikuwa amekula nini?!

    Udini ukiuzidisha sana mheshimiwa anawezaonekana kama mwendawazimu! ANGALIA VIDEO HII HADI MWISHO
  5. Padre Josephat Jackson Bududu ateuliwa kuwa Askofu Msaidizi Jimbo Kuu la Tabora

    BABA MTAKATIFU FRANSISKO AMEMTEUA PADRE JOSAPHAT JACKSON BUDUDU KUWA ASKOFU MSAIDIZI JIMBO KUU KATOLIKI TABORA Hongera sana wanajimbo Kuu Katoliki Tabora, Hongera Taifa la Tanzania kwa zawadi nzuri ya kiongozi katika Kanisa. 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏 .
  6. U

    Naibu Waziri Mkuu Mhe. Doto Biteko amempongeza Askofu wa Jimbo Katoliki Rulenge -Ngara, Mhashamu Severine Niwemugizi kwa mamaono ya kujenga Kanisa

    Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko amempongeza Askofu wa Jimbo Katoliki Rulenge -Ngara, Mhashamu Severine Niwemugizi kwa maono ya kujenga Kanisa Kuu la Jimbo Katoliki la Rulenge - Ngara mkoani Kagera. “ Nakupongeza Baba Askofu kwa kuwa na maono makubwa ya kujenga...
  7. Mahojiano aliyofanya Askofu Dr. Benson Bagonza kupitia Redio DW Ujerumani

    Kama kichwa kinavyo jieleza, nimepata nafasi Kuskiza matangazo ya Radio DW Leo mchana, Katika matangazo hayo ya Dunia Kuna majukwaa na Mijadala mbalimbali, sasa jukwaa Moja wapo ni meza huru, ambapo Mtangazajo Suddy Mnette, aliweza kumhoji kinagaubaga Baba Askofu kuhusiana na Hali ya siasa...
  8. F

    Askofu Bagonza anaiponda CCM na wanasiasa wa siku hizi kupitia Sauti ya Ujerumani muda huu

    Anaponda kauli ya CCM wanayosema CCM itakaa madarakani hadi Yesu atakaporudi Wanasiasa wanaoelewa nini maana ya siasa wamekwisha sasa Anazungumzia hofu kubwa za kutekwa kwa watanzania kutokana na kuwa na mawazo tofauti na serikali 4R imetekwa na hakuna utekelezaji tena Walio madarakani...
  9. Askofu Gwajima ahofia wahuni ku-edit kinasaba cha mtu

    Mbunge wa Jimbo la Kawe Dar es Salaam, Askofu Josephat Gwajima amehoji serikali imejipangaje pale itakapopokea tiba ya ‘CRISPR Cas 9 Gene Editing’ kwa ajili ya matibabu ya ugonjwa wa seli mundu (sickle cell), kuhakikisha kwamba mtu atakapoingia kwenye chumba cha tiba hahaririwi vitu vingine kwa...
  10. Papa Francis amteua Padre Romanus Elamu Mihali wa Jimbo la Mafinga, kuwa Askofu mpya wa Jimbo la Iringa

    Baba Mtakatifu Fransisko ameridhia ombi la kustaafu Mhashamu Askofu Tarcisius Ngalalekumtwa wa Jimbo la Iringa, na kumteua Padre Romanus Elamu Mihali wa Jimbo la Mafinga, kuwa Askofu mpya wa Jimbo la Iringa, leo tarehe 28/01/2025. Mhashamu Askofu Mteule Romanus Elamu Mihali, alizaliwa tarehe...
  11. R

    Askofu Bagonza alonga ushindi wa Lissu na "ushindi" wa Mbowe: Ninaandika kupongeza. Sina pole za kutoa.

    ASKOFU wa Dayosisi ya Karagwe ya Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Dk. Benson Bagonza amechambua ushindi wa Tundu Lissu na kushindwa kwa Freeman Mbowe kwenye uchaguzi wa Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA). Juzi Kamati ya Uchaguzi wa CHADEMA ilimtangaza...
  12. Baba Askofu Dr. Alex Gehaz Malasusa, Mkuu wa KKKT na mwenyekiti wa Bodi ya wadhamini ya Hospital ya KCMC ! KCMC ipo ICU!

    Msikilize huyu mtanzania!! Mkurugenzi wa Hospital hiyo kubwa nchini,amejikita kwenye miradi ya ujenzi,akiachilia mbali maisha ya watu! Idadi ya vifo ni kubwa mno, na Kuna uwezekano mkubwa mmiliki wa duka kubwa la majeneza nje ya hospital hiyo ni la wa Mkurugenzi wa KCMC Manesi wamezidiwa...
  13. Anaandika Baba Askofu Rev.Dr.Benson Bagonza (PhD), Mkuu wa KKKT, Dayosisi ya Karagwe

    1. Tundu Lissu siyo Donald Trump. Wanafanana ukali wa maneno lakini hawafanani ujinga wa kisiasa. Wote walipigwa risasi, zikawaongezea kura zao. 2. Lissu ni hukumu isiyo na rufaa kwa watawala wanaotumia risasi badala ya hoja. Rudisheni risasi mfukoni, nendeni shule mjifunze hoja. Wamarekani...
  14. ASKOFU Mwamakula atia neno kuhusu kuchaguliwa kwa Wassira kuwa Makamu Mwenyekiti wa CCM

    Mhe. Stephen Wasira anaanza kuiongoza CCM kama Makamu Mwenyekiti akiwa na umri wa miaka 80. Pengine, huu ni umri mkubwa sana kwa mtu yeyote kupewa uongozi wa juu katika chama cha siasa. Inawezekana kabisa kuwa Wasira atakuwa kiongozi wa kwanza mwenye umri mkubwa zaidi kushika nafasi ya juu ndani...
  15. PICHA: Kazi ya Padre au Askofu ni kupatanisha sio katika siasa tu hata kwenye ndoa. Wanaoshangaa Dkt Kitima kuwapatanisha CHADEMA hao si wakatoliki

    === Kwanza, Nataka nyie msio wakatoliki mfahamu kuwa Mapadre na maaskofu wa Katoliki sio ngurumbili kama baadhi ya Viongozi wetu wengine wa dini hapa nchini. Mapadre na maaskofu wa kikatoliki ni watu wasomi na wabobevu wakubwa katika maswala mbalimbali ya Kijamii kama siasa, Uchumi, Elimu etc...
  16. B

    ASKOFU BAGONZA - TUSIITAKE SERIKALI KUINGILIA UHURU WA KUABUDU, LABDA PAWEPO JINAI

    WARSHA KUHUSU MAFUNDISHO POTOSHI Katika kongamano lililowaleta viongozi kadhaa wa dini mbalimbali Tanzania, baba Askofu Bagonza alichangia mada Bagonza ataja hatari SITA kuhusu Mafundisho potoshi. Wewe zako ni zipi? https://m.youtube.com/watch?v=ZGhFhp6v6WE Baba Askofu Bagonza amesema kuna...
  17. Askofu Mpemba: Kwa Mbowe uenyekiti ni muhimu kuliko malengo ya CHADEMA

    https://www.youtube.com/watch?v=5zmBG-wfUTU Kwa kweli Mbowe anashangaza na kusikitisha sana. Maneno haya mazito na marahisi yametolewa na Askofu Mpemba huko ughaibuni. Unamuuliza Mbowe kama lengo la chama ni kushika dola na yeye ameshindwa kutimiza lengo, kisha akatokea mtu ambaye anaweza...
  18. Askofu Gwajima na nyumba ya mil 8 Kwa mtogole

    Kuna clip nimeiona facebook, gwajiboy ametembelea wananchi, ikatokea mwananchi mmoja wanasema alilalamika kwamba nyumba yake imeuzwa. 1. Alimpangisha muuza bucha 2. umeme ukakatika, nyama za bucha la mpangaji zikaharibika 3. mwenye bucha akasema mwenye nyumba amlipe nyama hizo 4m 4. wamevutana...
  19. Tetesi: Mwamposa mbioni kuinunua E-FM, TV-E

    Katika kilichoonekana kama kusogeza ‘huduma’ karibu kwa waumini wa kanisa lake, Askofu na Mtume Boniface Mwamposa yupo kwenye mchakato wa kuinunua EFM Company Limited. EFM ni kampuni iliyosajiliwa kama chombo cha habari, ikiwa na umiliki wa Redio na Televisheni. Mwamposa na Mkurugenzi...
  20. LGE2024 Askofu Pisa: Uchaguzi wa Serikali za Mitaa ulikuwa kama 'Mchezo Mchafu'

    Maaskfu kutoka Madhehebu mbalimbali ya Kikristo nchini wamekutana leo, Jumatano Desemba 18.2024 katika ukumbi wa Kurasini Conference and Training Center uliopo makao makuu ya Baraza la Maaskofu wa Kanisa Katoliki Tanzania (TEC), jijini Dar es Salaam Maaskofu hao pamoja na wadau wengine wa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…