Saa 72 zijazo zinaweza kuamua hatima ya siasa za ccm ama tatizo kubwa tulilonalo sasa hivi la utekaji
Gwajima (Gwaji boy) kaamua kumfunga paka kengele.. Hili halijatokea kwa bahati mbaya bali ni baada ya sakata la wakenya waliotekwa na kujeruhiwa wakiwa mikononi mwa vyombo vya usalama... Na ile...
"Mkuu wa Idara ya Usalama wa Taifa, wa bara na znz wanateuliwa na Rais na wanaondolewa na Rais pale anapoona hawafai, vile vile kwa mkuu wa jeshi la polisi na magereza. Mkuu huyu (yoyote kati ya hao) akipishana na rais kwenye jambo lenye maslahi ya nchi, halafu akashauri anaona jambo hilo...
USHAURI WA ASKOFU KWA RAIS SAMIA JUU YA WANAHARAKATI WATOKAO NCHI ZA NJE!
Tarehe 19 Mei 2025 ni siku iliyokuwa imebana sana kwangu. Sikuweza kufanikiwa kufuatilia hotuba yeyote iliyotolewa na Mheshimiwa Rais Samia Saluhu Hassan. Hata hivyo, usiku niliona habari picha kadhaa zikiwa na maneno...
"Kwanza nianze na wachungaji, Sadaka hazipo Madhabahuni. Mungu Amesema atabariki kazi ya mikono yako. Utajiri wote upo kwenye ardhi. Madini yanapatikana kwenye ardhi, mafuta yanapatikana kwenye ardhi, ndio maana Mungu anamwambia Adamu: 'Uilime uitunze ili ule matunda yake.' Kwa hiyo ninachoweza...
Tutaendelea,kuwapatia taarifa zaidi!
TANZIA: Askofu Mkuu wa kwanza mstaafu wa Tanzania Assemblies Of God (TAG) Dkt.Emmanueli Lazaro amefariki Dunia Mei 17,2025 .
Akitoa taarifa za kifo hicho Makamu Askofu Mkuu wa TAG, Magnus Mhiche amesema kuwa Hayati Dkt.Emmanuel Lazaro alifariki hapo jana...
Askofu wa Jimbo la Geita katika hitimisho la Ibada ametoa kauli nzito ya kufikirisha na kuzingatiwa na wanasiasa wanaohama vyama kwenda kwingine.
Ombi na ushauri wa baba huyu wa kiroho ni kwamba wanaohama vyama kama CHADEMA wahame kwa amani na wanakoenda waende kwa amani.
Ni kauli iliyobeba...
Nadhani umaskini, ujinga ,uchama na uchawa ni maadui wakubwa sana wa Taifa hili la Tanzania.Ukweli unafichwa ,watu wenye mawazo ya kusaidia nchi wapo ,malighafi zipo ila maadui hawa wanaharibu nchi .
https://youtu.be/gHlYAZNZwQ0?si=GtfXB0S5pr4kfI6P...
Na Askofu Kalikawe Lwakalinda Bagonza (PhD)
UKIKUBALI UMEKWISHA; UKIKATAA UMEKWISHA.
Jamani tuache utani. Kuna kundi la watu. Ni wanadamu lakini wao hujiiita “malaika wa kibinadamu”. Wakiamua jambo lao wakakujia kutaka utoe ushirikiano wa kulifanikisha, UKIKUBALI UMEKWISHA, UKIKATAA UMEKWISHA...
Ningependa kuchukua nafasi hii kumuomba Radhi Askofu wa Anglikana Maimbo na pia kumtaka Naibu Waziri Mkuu kumuomba radhi Askofu Maimbo kwa kutomjibu kikamilifu, hivyo kupotosha msimamo wa Kanisa la Anglikana juu ya uchaguzi wa octoba 2025. Na pia ningependa kumpongeza Spika Kwa kumjibu...
MWONGOZO WA KUHAMA CHAMA
Katika msimu wa Ligi yoyote, huwa kuna wachezaji kuhama club zao. Hata kwenye siasa, dini na hata ndoa, imeanza kuzoeleka watu kuhama au kuachana. Napendekeza Mwongozo wa kuhama:
1. Unapohama, tueleze uzuri wa unakokwenda, si ubaya wa unakotoka. Tayari tunajua utokako...
Askofu Jude Thadeus Ruwaichi, JImbo Kuu la Dar es Salaam kilipo Kituo cha Msimbazi
Nchini Tanzania, utekaji haramu ni kosa la jinai chini ya kifungu cha 253 cha Sheria ya Makosa ya Jinai, Sura ya 16, Toleo la 2022. Kifungu hiki kinasema kwamba:
“Mtu yeyote ambaye anamteka mtu mwingine kinyume...
Makamu wa Rais Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania TEC Askofu Eusebius Nzigilwa amesema Padre Kitima anaendelea na matibabu na hali yake inaimarika huku akiwataka watanzania kuendelea kuombea ili mwenyezi Mungu amuwezeshe kupona haraka.
Ameyasema hayo leo Mei 04, 2025 katika Misa Takatifu...
Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Askofu Alex Gehaz Malasusa, amesema Kanisa limeshitushwa, kusikitishwa na kuumizwa kwa tukio la kushambuliwa na kujeruhiwa kwa Katibu Mkuu wa Baeaza la Maaskofu Katoliki Tanzania ( TEC), Pdri Dr Charles Kitima.
Askofu Malasusa alendelea...
Nukuu;
1. Bora kuadhibiwa kwa kusema ukweli,
2. kiongozi usitimie mamlaka kwa kulazimisha watu kufuata matakwa yako binafsi. Wapo Dr. Mpango na RC Dar Es Salaam.
Mpendwa Baba Askofu, Dr.Alex Malasusa (Honoris causa), nchi yetu imeshuhudia tukio baya zaidi kuwahi kutokea katika historia. Tukio la kushambuliwa kwa Katibu Mkuu wa baraza la Maaskofu, Fr.Dr.Charles Kitima (PhD). Baada ya tukio hilo viongozi mbalimbali wa kidini wametoa kauli za kulaani na...
Kuna kila na strong justification sababu ya kuimarisha Ulinzi wa Askofu bagonza kwa msimamo wake wa kutetea HAKI.
Yaliyotokea kwa Fr. Kitima hayako mbali naye kwa msimamo wake wa kiroho kutetea haki.
KUCHUKUA TAHADHALI NI MUHIMU
Soma Pia: Padri Kitima ashambuliwa na watu wasiojulikana...
Ukimya wa Mkuu wa KKKT,Askofu Alex Malasusa kukaa kimya hadi sasa tangu kutokea tukio lililomkumba Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC), Padri Charles Kitima, unaweza kuibua maswali mengi, hasa ikizingatiwa kuwa viongozi wa dini mara nyingi huonyesha mshikamano wanapokumbwa...
Mwamakula Ametuma salamu za pole huku akilaani tukio hilo huku akieleza kuiwa tukio hilo haliwezi kuwarudisha nyuma katika kudai haki nchini tanzania
ameeleza kuwa misimao hiyo intoka na kile ambacho inatokana na fr kitima kutoa tamko kuhusu hali ya demokrasia nchi
na kuelezea kuwa tukio...
Na Askofu Kalikawe Lwakalinda Bagonza (PhD) kupitia ukurasa wake kwenye mtandao wa Facebook.
NANI ANAFUATA?
Je ni hujuma? Kwa Nani?
- Kwa Fr. Kitima?
-Kwa Nchi yetu?
Kwa Rais?
Kwa Kanisa Katoliki?
-Kwa Ukristo?
-Kwa Chama cha Siasa? Kipi?
- Kwa Wasiojulikana?
-Kwa Kristo: Nabii, Kuhani na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.