askofu

  1. milele amina

    JamiiForums Tanzania Baba Askofu Dr. Alex Gehaz Malasusa, Mkuu wa KKKT na mwenyekiti wa Bodi ya wadhamini ya Hospital ya KCMC ! KCMC ipo ICU!

    Msikilize huyu mtanzania!! Mkurugenzi wa Hospital hiyo kubwa nchini,amejikita kwenye miradi ya ujenzi,akiachilia mbali maisha ya watu! Idadi ya vifo ni kubwa mno, na Kuna uwezekano mkubwa mmiliki wa duka kubwa la majeneza nje ya hospital hiyo ni la wa Mkurugenzi wa KCMC Manesi wamezidiwa...
  2. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Anaandika Baba Askofu Rev.Dr.Benson Bagonza (PhD), Mkuu wa KKKT, Dayosisi ya Karagwe

    1. Tundu Lissu siyo Donald Trump. Wanafanana ukali wa maneno lakini hawafanani ujinga wa kisiasa. Wote walipigwa risasi, zikawaongezea kura zao. 2. Lissu ni hukumu isiyo na rufaa kwa watawala wanaotumia risasi badala ya hoja. Rudisheni risasi mfukoni, nendeni shule mjifunze hoja. Wamarekani...
  3. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania ASKOFU Mwamakula atia neno kuhusu kuchaguliwa kwa Wassira kuwa Makamu Mwenyekiti wa CCM

    Mhe. Stephen Wasira anaanza kuiongoza CCM kama Makamu Mwenyekiti akiwa na umri wa miaka 80. Pengine, huu ni umri mkubwa sana kwa mtu yeyote kupewa uongozi wa juu katika chama cha siasa. Inawezekana kabisa kuwa Wasira atakuwa kiongozi wa kwanza mwenye umri mkubwa zaidi kushika nafasi ya juu ndani...
  4. Rula ya Mafisadi

    JamiiForums Tanzania PICHA: Kazi ya Padre au Askofu ni kupatanisha sio katika siasa tu hata kwenye ndoa. Wanaoshangaa Dkt Kitima kuwapatanisha CHADEMA hao si wakatoliki

    === Kwanza, Nataka nyie msio wakatoliki mfahamu kuwa Mapadre na maaskofu wa Katoliki sio ngurumbili kama baadhi ya Viongozi wetu wengine wa dini hapa nchini. Mapadre na maaskofu wa kikatoliki ni watu wasomi na wabobevu wakubwa katika maswala mbalimbali ya Kijamii kama siasa, Uchumi, Elimu etc...
  5. B

    JamiiForums Tanzania ASKOFU BAGONZA - TUSIITAKE SERIKALI KUINGILIA UHURU WA KUABUDU, LABDA PAWEPO JINAI

    WARSHA KUHUSU MAFUNDISHO POTOSHI Katika kongamano lililowaleta viongozi kadhaa wa dini mbalimbali Tanzania, baba Askofu Bagonza alichangia mada Bagonza ataja hatari SITA kuhusu Mafundisho potoshi. Wewe zako ni zipi? https://m.youtube.com/watch?v=ZGhFhp6v6WE Baba Askofu Bagonza amesema kuna...
  6. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Askofu Mpemba: Kwa Mbowe uenyekiti ni muhimu kuliko malengo ya CHADEMA

    https://www.youtube.com/watch?v=5zmBG-wfUTU Kwa kweli Mbowe anashangaza na kusikitisha sana. Maneno haya mazito na marahisi yametolewa na Askofu Mpemba huko ughaibuni. Unamuuliza Mbowe kama lengo la chama ni kushika dola na yeye ameshindwa kutimiza lengo, kisha akatokea mtu ambaye anaweza...
  7. Kitchener

    JamiiForums Tanzania Askofu Gwajima na nyumba ya mil 8 Kwa mtogole

    Kuna clip nimeiona facebook, gwajiboy ametembelea wananchi, ikatokea mwananchi mmoja wanasema alilalamika kwamba nyumba yake imeuzwa. 1. Alimpangisha muuza bucha 2. umeme ukakatika, nyama za bucha la mpangaji zikaharibika 3. mwenye bucha akasema mwenye nyumba amlipe nyama hizo 4m 4. wamevutana...
  8. Nifah

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Mwamposa mbioni kuinunua E-FM, TV-E

    Katika kilichoonekana kama kusogeza ‘huduma’ karibu kwa waumini wa kanisa lake, Askofu na Mtume Boniface Mwamposa yupo kwenye mchakato wa kuinunua EFM Company Limited. EFM ni kampuni iliyosajiliwa kama chombo cha habari, ikiwa na umiliki wa Redio na Televisheni. Mwamposa na Mkurugenzi...
  9. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Askofu Pisa: Uchaguzi wa Serikali za Mitaa ulikuwa kama 'Mchezo Mchafu'

    Maaskfu kutoka Madhehebu mbalimbali ya Kikristo nchini wamekutana leo, Jumatano Desemba 18.2024 katika ukumbi wa Kurasini Conference and Training Center uliopo makao makuu ya Baraza la Maaskofu wa Kanisa Katoliki Tanzania (TEC), jijini Dar es Salaam Maaskofu hao pamoja na wadau wengine wa...
  10. S

    JamiiForums Tanzania Askofu Emmaus Bendekile Mwamakula ataendelea kuwatetea chadema? Au maonyo yake yamekiukwa?

    Askofu Mwamakula aliwahi kuonya kuwa siku akigundua kuwa ndani ya chadema kuna ufinyaji wa haki hatawatetea tena. Sasa kwa hili la Tundu Lisu kuandamwa na wanachadema wenyewe baada ya kutangaza kugombea uenyekiti, analisemeaje...
  11. Mtoa Taarifa

    JamiiForums Tanzania Askofu Bagonza: CCM huwa hawachagui Mwenyekiti, wanateua Mgombea Urais wanamteka kuwa Mwenyekiti wao

    Vyama vyote vya siasa hapa nchini ni vyama vya viongozi, siyo vyama vya wanachama. Vyama vyetu vya siasa hapa nchini vina tatizo moja kubwa, ni vyama vya viongozi sio vyama vya wanachama. Matashi ya wanachama hayaheshimiwi na viongozi, kwahiyo nani anagombea nani hagombei kwangu siyo tatizo...
  12. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Tabora: Askofu KKKT, Isaac Laizer: Ataka maombi yakitaifa kukemea utekaji, mauaji

    Askofu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Jimbo la Magharibi Tabora, Isaac Laizer, ameonya juu ya ongezeko la matukio ya utekaji na mauaji, akiwataka wakristo kote nchini kufunga na kuomba kwa dhati ili kutokomeza matukio hayo. Akizungumza jana, Desemba 8, 2024, katika maombi ya...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Askofu Shoo: Baadhi ya Sharika za KKKT Dayosisi ya Kaskazini Zinatumika Kisiasa

    NA SAMWEL JOHN LEMA Hivi karibuni Jimbo Kuu Katoliki jimbo la Nairobi lilikataa na kurejesha mchango wa fedha kutoka kwa Rais wa Taifa la Kenya Mhe William Samoei Ruto na Gavana Johnson Sakaja, likisema halitaki kutumika kisiasa. Askofu Mkuu Philip Anyolo, ambaye ndiye Askofu wa jimbo la...
  14. Inside10

    JamiiForums Tanzania Askofu Bagonza: SHUKRANI na USALITI(Kusaliti, Kusalitiwa na Kusalitiana).

    SHUKRANI na USALITI Wapendwa marafiki wa ukurasa huu wa Kalikawe Lwakalinda Bagonza, napenda kuwashukuruni nyote kwa kuniombea na kunitakia heri katika siku yangu ya kuzaliwa (6 Desemba). Salaam zenu na pongezi zenu kwa maelfu zilinitia moyo na kuongeza deni lisilolipika. Kwa njia hii pokea...
  15. ITR

    JamiiForums Tanzania Askofu mfufua wafu aliyeiba kura za wapinzani ni nani?

    Kwenye wimbo wa nipeni maua yangu wa msanii Roma kuna mstari unasema hivi: Askofu mfufua wafu anaiba kura za mpinzani atashindwaje kuiba sadaka za waumini kanisani. Mchungaji akitaka gari twamchangia muumini akitaka gari twamuombea, basi mchungaji tusimpe sadaka tuombee tukae pale tushuhudie...
  16. Mindyou

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Askofu Mwanamapinduzi: Huko CCM kuna mwanaume anagombea nafasi ya kundi maalum la wanawake Kibaha

    Wanabodi, Wakuu kuhusu salamu, nitaacha nafasi hapo chini kwa vijana wa UVCCM waje waweke wasalimie. Yaani kuna uroho wa madaraka alafu kuna uroho wa madaraka wa CCM Hiyo si kauli ni kauli ya Mwanamapinduzi hii na ofcourse inafikirisha sana. "Yaani mgombea mwanaume wa CCM anagombea nafasi...
  17. Just Pray

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Askofu Tanga: Siku kabla ya kupiga kura msisahau kuombea Uchaguzi wa mwaka huu kwani ni maandalizi ya uchaguzi wa mwakani

    Kuelekea uchaguzi wa serikali za mitaa vitongoji na vijiji unaotarajiwa kufanyika novemba 27 mwaka huu, Askofu Mkuu wa Kanisa Anglikana Tanzania na Dayosisi ya Tanga Maimbo Mndolwa ametoa wito kwa watanzania kuchagua viongozi wakufaa bila kujali itikadi za vyama vya siasa. Askofu Mkuu Maimbo...
  18. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Kumbukumbu Kutoka Maktaba 1989 Askofu Mkuu Marko A Mgulunde, Pd. W. Slaa na Mama Getrude Mongela

    Mhashamu Askofu Mkuu Marko A Mgulunde akimpongeza Mama Getrude Mongela mara baada ya kutoa mada yake iliyohusu uhusiano wa kanisa na serikali kwenye warsha ya Caritas; huku Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania Pd. W Slaa (kushoto) akiangalia. [PICHA Pd. Anthony Chilumba]...
  19. Z

    JamiiForums Tanzania Askofu Mkuu wa Kanisa la Adventista Wasabato anena mambo mazito kwenye msiba wa Mafuru

    Jana tarehe 14/11/2024 wakati wananchi mbalimbali wakiuaga mwili wa marehemu Lawrence Mafuru katika viwanja vya Karimjee. Askofu Mkuu wa Kanisa la Wasabato alitoa mahubiri mazito sana, moyo wangu unatamani sana kila mmoja ayasikilize pia natamani sana kila kiongozi aliye pewa dhamana haswa...
  20. 5523

    JamiiForums Tanzania Askofu Mkuu wa Canterbury ajiuzulu kwa kashfa ya unyanyasaji iliyokumba Kanisa

    Askofu Mkuu wa Canterbury ametangaza kujiuzulu wadhifa wake kufuatia ripoti ya kulaaniwa kuhusu mnyanyasaji mkubwa wa watoto anayehusishwa na Kanisa la Uingereza. Uchunguzi uligundua kuwa Justin Welby, 68, "angeweza na alipaswa" kuripoti unyanyasaji wa John Smyth kwa wavulana na vijana kwa...
Back
Top Bottom