Askofu wa Jimbo la Geita katika hitimisho la Ibada ametoa kauli nzito ya kufikirisha na kuzingatiwa na wanasiasa wanaohama vyama kwenda kwingine.
Ombi na ushauri wa baba huyu wa kiroho ni kwamba wanaohama vyama kama CHADEMA wahame kwa amani na wanakoenda waende kwa amani.
Ni kauli iliyobeba...
Nadhani umaskini, ujinga ,uchama na uchawa ni maadui wakubwa sana wa Taifa hili la Tanzania.Ukweli unafichwa ,watu wenye mawazo ya kusaidia nchi wapo ,malighafi zipo ila maadui hawa wanaharibu nchi .
https://youtu.be/gHlYAZNZwQ0?si=GtfXB0S5pr4kfI6P...
Na Askofu Kalikawe Lwakalinda Bagonza (PhD)
UKIKUBALI UMEKWISHA; UKIKATAA UMEKWISHA.
Jamani tuache utani. Kuna kundi la watu. Ni wanadamu lakini wao hujiiita “malaika wa kibinadamu”. Wakiamua jambo lao wakakujia kutaka utoe ushirikiano wa kulifanikisha, UKIKUBALI UMEKWISHA, UKIKATAA UMEKWISHA...
Ningependa kuchukua nafasi hii kumuomba Radhi Askofu wa Anglikana Maimbo na pia kumtaka Naibu Waziri Mkuu kumuomba radhi Askofu Maimbo kwa kutomjibu kikamilifu, hivyo kupotosha msimamo wa Kanisa la Anglikana juu ya uchaguzi wa octoba 2025. Na pia ningependa kumpongeza Spika Kwa kumjibu...
MWONGOZO WA KUHAMA CHAMA
Katika msimu wa Ligi yoyote, huwa kuna wachezaji kuhama club zao. Hata kwenye siasa, dini na hata ndoa, imeanza kuzoeleka watu kuhama au kuachana. Napendekeza Mwongozo wa kuhama:
1. Unapohama, tueleze uzuri wa unakokwenda, si ubaya wa unakotoka. Tayari tunajua utokako...
Askofu Jude Thadeus Ruwaichi, JImbo Kuu la Dar es Salaam kilipo Kituo cha Msimbazi
Nchini Tanzania, utekaji haramu ni kosa la jinai chini ya kifungu cha 253 cha Sheria ya Makosa ya Jinai, Sura ya 16, Toleo la 2022. Kifungu hiki kinasema kwamba:
“Mtu yeyote ambaye anamteka mtu mwingine kinyume...
Makamu wa Rais Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania TEC Askofu Eusebius Nzigilwa amesema Padre Kitima anaendelea na matibabu na hali yake inaimarika huku akiwataka watanzania kuendelea kuombea ili mwenyezi Mungu amuwezeshe kupona haraka.
Ameyasema hayo leo Mei 04, 2025 katika Misa Takatifu...
Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Askofu Alex Gehaz Malasusa, amesema Kanisa limeshitushwa, kusikitishwa na kuumizwa kwa tukio la kushambuliwa na kujeruhiwa kwa Katibu Mkuu wa Baeaza la Maaskofu Katoliki Tanzania ( TEC), Pdri Dr Charles Kitima.
Askofu Malasusa alendelea...
Nukuu;
1. Bora kuadhibiwa kwa kusema ukweli,
2. kiongozi usitimie mamlaka kwa kulazimisha watu kufuata matakwa yako binafsi. Wapo Dr. Mpango na RC Dar Es Salaam.
Mpendwa Baba Askofu, Dr.Alex Malasusa (Honoris causa), nchi yetu imeshuhudia tukio baya zaidi kuwahi kutokea katika historia. Tukio la kushambuliwa kwa Katibu Mkuu wa baraza la Maaskofu, Fr.Dr.Charles Kitima (PhD). Baada ya tukio hilo viongozi mbalimbali wa kidini wametoa kauli za kulaani na...
Kuna kila na strong justification sababu ya kuimarisha Ulinzi wa Askofu bagonza kwa msimamo wake wa kutetea HAKI.
Yaliyotokea kwa Fr. Kitima hayako mbali naye kwa msimamo wake wa kiroho kutetea haki.
KUCHUKUA TAHADHALI NI MUHIMU
Soma Pia: Padri Kitima ashambuliwa na watu wasiojulikana...
Ukimya wa Mkuu wa KKKT,Askofu Alex Malasusa kukaa kimya hadi sasa tangu kutokea tukio lililomkumba Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC), Padri Charles Kitima, unaweza kuibua maswali mengi, hasa ikizingatiwa kuwa viongozi wa dini mara nyingi huonyesha mshikamano wanapokumbwa...
Mwamakula Ametuma salamu za pole huku akilaani tukio hilo huku akieleza kuiwa tukio hilo haliwezi kuwarudisha nyuma katika kudai haki nchini tanzania
ameeleza kuwa misimao hiyo intoka na kile ambacho inatokana na fr kitima kutoa tamko kuhusu hali ya demokrasia nchi
na kuelezea kuwa tukio...
Na Askofu Kalikawe Lwakalinda Bagonza (PhD) kupitia ukurasa wake kwenye mtandao wa Facebook.
NANI ANAFUATA?
Je ni hujuma? Kwa Nani?
- Kwa Fr. Kitima?
-Kwa Nchi yetu?
Kwa Rais?
Kwa Kanisa Katoliki?
-Kwa Ukristo?
-Kwa Chama cha Siasa? Kipi?
- Kwa Wasiojulikana?
-Kwa Kristo: Nabii, Kuhani na...
Mhashamu Askofu Mkuu Renatus Nkwande amewataka vijana kuwa wavumilivu na changamoto mbalimbali za familia, wenyewe kwa wenyewe pamoja na mahangaiko ya kimasilahi katika ulimwengu wa sasa.
Askofu Nkwande amesema hayo wakati akitoa homilia kwenye Adhimisho la Misa Takatifu ya Jubilei 2025 kwa...
"Tunafundishwa daima na shetani kubadili mawe kuwa mkate, wewe ni waziri katika nchi badili mawe haya kuwa mkate, kweli waziri huyu baada ya miezi mitatu tu ana ghorofa 10, ana mabasi 100. Na nyie vijana wangu chochote utakachokipata, kama viongozi na hata kama ni waumini shetani yupo nyuma...
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko akisalimiana na Askofu wa Mafinga, Mhashamu Vincent Mwagala wakati alipowasili katika Ibada ya kumsimika na kumuweka wakfu Askofu wa Jimbo la Iringa, Mhashamu Romanus Mihali iliyofanyika katika Viwanja vya Kichangani, Mjini Iringa...
Wanawake wanaruhusiwa kuwa Maaskofu(Waangalizi).
Ushahidi huu hapa:
1 Tim 3:1-10
"Ni neno la kuaminiwa; mtu akitaka kazi ya askofu, atamani kazi njema."
Kama una hoja za kupinga mwanamke kushika wadhifa huo wa juu, yaani kama unadai mwanamke hafai kuwa Askofu, tuanzie kwanza hapo kwenye kifungu...
Askofu kibwetere alikuwa na wafuasi wake waliokosa maarifa na kumtegemea yeye kwa kila asemalo bila kupima madhara yake mwisho wa siku akawafungia kanisani na kuwachoma moto wakaangamia kwa kukosa maarifa yeye akatokomea kusiko julikana.
Hivi sasa hilo jambo naliona kwa wafuasi wa chadema...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.