Mhashamu Askofu Mkuu Renatus Nkwande amewataka vijana kuwa wavumilivu na changamoto mbalimbali za familia, wenyewe kwa wenyewe pamoja na mahangaiko ya kimasilahi katika ulimwengu wa sasa.
Askofu Nkwande amesema hayo wakati akitoa homilia kwenye Adhimisho la Misa Takatifu ya Jubilei 2025 kwa...
"Tunafundishwa daima na shetani kubadili mawe kuwa mkate, wewe ni waziri katika nchi badili mawe haya kuwa mkate, kweli waziri huyu baada ya miezi mitatu tu ana ghorofa 10, ana mabasi 100. Na nyie vijana wangu chochote utakachokipata, kama viongozi na hata kama ni waumini shetani yupo nyuma...
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko akisalimiana na Askofu wa Mafinga, Mhashamu Vincent Mwagala wakati alipowasili katika Ibada ya kumsimika na kumuweka wakfu Askofu wa Jimbo la Iringa, Mhashamu Romanus Mihali iliyofanyika katika Viwanja vya Kichangani, Mjini Iringa...
Wanawake wanaruhusiwa kuwa Maaskofu(Waangalizi).
Ushahidi huu hapa:
1 Tim 3:1-10
"Ni neno la kuaminiwa; mtu akitaka kazi ya askofu, atamani kazi njema."
Kama una hoja za kupinga mwanamke kushika wadhifa huo wa juu, yaani kama unadai mwanamke hafai kuwa Askofu, tuanzie kwanza hapo kwenye kifungu...
Askofu kibwetere alikuwa na wafuasi wake waliokosa maarifa na kumtegemea yeye kwa kila asemalo bila kupima madhara yake mwisho wa siku akawafungia kanisani na kuwachoma moto wakaangamia kwa kukosa maarifa yeye akatokomea kusiko julikana.
Hivi sasa hilo jambo naliona kwa wafuasi wa chadema...
Ni vyema watawala wetu wakazingatia ujumbe huu mahususi kutoka Kwa mtumishi huyu wa Mungu mwenye maono aliyekataa nira ya watawala. Mtu huru na aliye objective.
Nisiwachoshe hebu tumusikie wenyewe
Katika hali ya kawaida nani anaharibu amani..?
"....Je, ni anayetumia nguvu kubwa na kusisitiza uchaguzi uende anavyotaka yeye au yule anayesema jamani turudi mezani ili tuangalie mifumo yetu ya uchaguzi, kwani kwa mfumo wa sasa hauwezi kutupatia viongozi wa haki na wa kweli...?" Askofu...
Ibada hii imefanyika katika Usharika wa Agape Kahama, Jimbo la Magharibi Kahama Dayosisi Kusini Mashariki ya Ziwa Victoria. Imeongozwa na Mkuu wa Dayosisi Kusini Mashariki ya Ziwa Victoria Baba Askofu Dkt. Yohana Nzelu amegusia umuhimu wa maridhiano kwa Serikali.
Video: Kitenge TV
Ashangaa, Kanisa likisema "Mnaupiga mwingiiiii' Serikali inakenua meno yooote
Kanisa hilohilo likisema "Mnaupiga mchache" Serikali inanuna.
Asema, Tusiruhusuifumo Onevu na kandamizi kuendeleza Harakati zao
https://youtu.be/_H_J4RBBW0c?si=aTr4zL51ZB0IXjQJ
Ni facebook huku akinakili video ya tamko la Askofu Wolfang Pissa Ambaye Pia Ni Rais Wa Baraza La Maaskofu Katoliki Tanzania.
--------------------------
ASKOFU ANAIJUA HISTORIA YA KANISA KATOLIKI LINDI TANU ILIPOINGIA SOUTHERN PROVINCE 1955?
N miaka mingi sasa toka nilipofika kuliona Kanisa...
Huwa nashangaa wanao wapelekea wakina Mwaposa Sadaka na Manabii wengine type yake kama yule tapeli wa Arusha Geo David. Hawa ili waendeleze injili za kitapeli lazima pia wawe chawa.
Au wanao peleka Sadaka KKKT, SDA, EAGT, TAG, Angalican, Pentecost, AIC, na wengineo wengi sana. Hawa ni chawa pro...
Askofu wa Dayosisi ya Kaskazini ya Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Dk. Frederick Shoo, ametoa wito kwa viongozi na mamlaka zinazohusika na uchaguzi mkuu wa mwaka huu kuhakikisha wanazingatia maoni ya wananchi pamoja na ushauri kutoka kwa viongozi wa juu na wadau mbalimbali wenye...
Tumsikilize Askofu Pisa, moja ya watu wanaojielewa sana hawa. Élimu humfanya mtu kuwa huru.
Mchakato wa kumpata kiongozi wa kikatoliki ni Mchakato wa kielimu zaidi…
Tunatambua kuwa DINI zote ni man made, ila dhehebu la Catholic Institution makes more sense.
Ni nani anaevunja amani ; anaedai...
Katika misa ya Alhamisi kuu leo Askofu wetu aliyeongoza misa, katika salamu zake za siku ya alhamisi kuu amesema
“Tuendelee kuombe nchi yetu iwe na amani,kwa sababu uwepo wa amani ndio unafanya tunapata nafasi ya kuabudu kwa uhuru kiasi hiki, lakini wakati tunaiwazia amani tuhamasike...
Mbunge wa Kawe, Askofu Josephat Gwajima: Nimelipa gharama yote ya Ujenzi wa mtaro huu ili kuhakikisha ndugu zangu wa Msasani hawapitii changamoto hii tena sawa sawa na Ahadi yangu niliyoitoa wakati wa Uchaguzi Mkuu wa 2020. Hivi sasa, Kero ya Mafuriko eneo la Bonde la Mpunga ni Historia.
Udhalimu haujawahi kumwacha mtu salama nyakati za CCM kupata ushindi kwa njia za ujanja ujanja zipo ukingoni.
CCM wanadhani No reform No election ni agenda ya Lissu kumbe ni watanzania wote. Bila chadema kushiriki uchaguzi tutashuhudia aibu kubwa sana mwaka huu.
Kwa sasa namwona Askofu...
Tumsikilize Askofu hapo chini ;
Well , kuna mmoja alihoji mbona Kenya iliweza kukitoa chama tawala kabla ya reforms ?
- Kenya sio Tanzania, Kenya wapo mbele ya muda sana. Kwenye Uchaguzi Polisi na Jeshi huwa wanakuwa upande wa wananchi ndio maana walifanikiwa.
Tanzania Jeshi na Polisi kwenye...
“Siku ile kukatukia adha kuu ya kanisa lililokuwa katika Yerusalemu; wote wakatawanyika katika nchi ya Uyahudi na Samaria, isipokuwa hao mitume.
Watu watauwa wakamzika Stefano, wakamfanyia maombolezo makuu.
Sauli akaliharibu kanisa, akiingia kila nyumba, na kuwaburuta wanaume na wanawake na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.