askofu gwajima

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Heparin

    PreGE2025 Suphian Juma: Askofu Gwajima ajifunze dola sio ndevu zake kuchezea. Apewe kesi ya Uhaini, afutwe CCM na kanisa lake lifungwe

    Anaandika Suphian Juma kwenye Mtandao wa X Gwajima leo amemdhihaki Rais na M/kiti wetu wa CCM, Dkt Samia kinyume na Katiba zetu za Chama Ibara ya 15 (1) na Nchi 39 (1) Na adhabu zingine, Anastahili; 1) Kufutwa CCM 2) Kanisa lake lifutwe 3) Uhaini- ametishia mamlaka ya Rais Ajifunze dola sio...
  2. The Palm Beach

    PreGE2025 Kutoka Maktaba: Askofu Gwajima alikataa kukalia kiti mbele ya Kamati ya Bunge ya Kinga na maadili. Je, watampeleka huko this time?

    Ilikuwa ni wakati wa utawala wa Hayati John P. Magufuli.. Kuna huyu mtu Crocodiletooth ameanzisha uzi kudai kuwa Askofu hakuwahi kuukosoa utawala wa Magufuli.... Aliukosoa sana kiasi cha Paul Makonda (RC DSM by then) kupewa jukumu la kumzimisha huyu mwamba, lakini alizimika yeye na aliyemtuma...
  3. Erythrocyte

    Ibada ya Leo ya Askofu Gwajima imetazamwa "Live" na watu Elfu 16

    Hii ni kwa Mujibu wa vyombo vya habari vya Tanzania, unaweza kudhani watu elfu 16 labda ni Wachache, hebu angalia wale unaosali nao kwenu kama wanafika hata 200. Halafu tambua kwamba hawa wamefuatilia Online kwa gharama ya bando. hatujui baada ya ibada ni wangapi tena watafuatilia zaidi...
  4. Sifi Leo

    Kwa Ile press, na kauli za Leo JWTZ, Magereza, POLISI tulie pembeni Usalama wa taifa linusuruni taifa,kabla ya uchaguzi

    Baba Askofu tangu press yake ya juzi Kuna maneno anayarudia rudia mara kwa mara nayo SI mengine ni kuwa wanao Teka sio polisi, sio usalama wa taifa sio wanaCCM Sio wanajeshi wa Jeshi la wananchi, Ameenda mbali zaidi akadai wanao Teka ni kajikundi kadogo kanakowezekana kameundwa na mwanasiasa...
  5. Waufukweni

    PreGE2025 Askofu Gwajima: Mimi nimetumwa na Mungu kwenye hii Nchi na safari hii ndio mtajua kwamba Mungu amenituma

    Askofu Gwajima amesema "Mimi nimetumwa na Mungu kwenye hii Nchi na safari hii ndio mtajua kwamba Mungu amenituma, Mungu huwa anatuama watu kwa kusudi maalumu, na Mungu akiwatumwa watu huwa anawalinda, anawatunza mpaka watimize kusudi. Yule anayenivamia hovyo hovyo hautaweza yeye anilindaye...
  6. Waufukweni

    PreGE2025 Askofu Gwajima: Mtu akinichokoa chokoa, nitasema vitu utatoka moshi huwezi kufungua Macho

    Mbunge wa Jimbo la Kawe, Askofu Josephat Gwajima, amesema "Mtu akinichokoa chokoa, nitasema vitu utatoka moshi, huwezi kufungua Macho"
  7. Waufukweni

    PreGE2025 Askofu Gwajima: Gwajimanization ni Ujasiri wa kusema Ukweli na kutikisa misingi ya ufisadi na dhulma katika nchi

    Askofu Josephat Gwajima ameielezea dhana ya Gwajimanization kama hali ya kuwa na ujasiri usiotetereka wa kusema ukweli na kutanguliza maslahi ya taifa mbele ya maslahi binafsi, hata kama ukweli huo unauma au hauwapendezi walioko madarakani. "Sasa nilipoona Gwajimanization nikataka niitafasiri...
  8. Waufukweni

    PreGE2025 Askofu Gwajima awaongoza waumini wake kuimba 'Tanzania Tanzania Nakupenda’

    Askofu Gwajima awaongoza waumini wake kuimba 'Tanzania Tanzania Nakupenda' kabla ya kuanza kuongea na Watanzania
  9. N

    PreGE2025 Askofu Gwajima: Sitayumba, sitabadilika na wala sitabadili msimamo!

    https://www.youtube.com/watch?v=NhpB9Zh2_6Y Askofu Gwajima ameanza kwa kuwaambia waumini wasimame na kuimba wimbo wa 'Tanzania Tanzania', na kuongeza japokuwa tuna makabila tofauti tofauti lakini Tanzania ni yetu sote. -- Gwajima anawaelezea waumini kuhusu mkutano wa waandishi wa habari...
  10. Waufukweni

    PreGE2025 Askofu Mwanamapinduzi: Msijaribu kumjibu Askofu Gwajima kwa pupa, wala kumbambikiza Kesi, sio wa mchezo

    Askofu Mwanamapinduzi ametoa tahadhari kali kwa wale wanaojaribu kumjibu au kumshambulia Askofu Josephat Gwajima kufuatia kauli na hoja alizozitoa hivi karibuni, akisema si mtu wa kubezwa wala wa kuchukuliwa kawaida. Katika kauli yake, Askofu Mwanamapinduzi amesema hoja alizotoa Gwajima ni...
  11. Tajiri wa kinyankole

    Raisi Samia Suluhu Hassani alikosea sana kumjibu askofu Gwajima kwani aliongea ukweli ambao serikali ilitakiwa ifanyie kazi na simaneno yale

    Gwajima tunanfahamu ni mtu ambaye hajakurupuka kutoa taarifa ya utekaji kwani swala hilo linapigiwa kelele na watanzania wote, kitendo cha raisi kumdhalulisha gwajima mbele ya umma huku akijuwa mambo aliyoyaongea yalitakiwa yafanyiwe kazi na serikali ni dhahiri sasa watekaji raisi mwenyewe...
  12. Pascal Mayalla

    Ushauri wa bure kwa Askofu Gwajima: Ukivuliwa nguo, ukabaki utupu! Ustaarabu ni kuchutama!

    Wanabodi, Mimi ni mkazi wa Jimbo la Kawe, Mbunge wetu, Mhe. Askofu Josephat Gwajima, japo ni mtu mchapakazi na mkweli sana, ila tatizo lake ni mtu wa maneno mengi, ahadi nyingi ambazo baadhi bado hazijatekelezwa. Japo alipanga kuzitekeleza awamu ijayo, lakini kukatokea bahati mbaya, mdomo...
  13. Yoda

    PreGE2025 Nani mgombea urais wa CHAUMMA zaidi ya Askofu Gwajima?

    John Mrema aliyetimukia CHAUMMA akitikoea CHADEMA na kufanywa Mkurugenzi wa habari wa chama hicho alivyokuwa katika mahojiano hivi karibuni na Cza wa Clouds alisema mkakati mmojawapo wa CHAUMMA kushinda uchaguzi ni kumuweka mgombea urais mwenye ushawashi anayekubalika. Ni nani huyo mwenye...
  14. Erythrocyte

    PreGE2025 TCRA yaitaka AYO TV kuondoa maudhui ya Gwajima

    Hii ndio Taarifa ya Sasa AyoTV imepokea barua kutoka kwa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA ) ikitaka Chombo hiki cha habari kuondoa maudhui yaliyochapishwa May 24 2025 yakihusisha nukuu ya maelezo aliyoyatoa Mbunge wa Jimbo la Kawe Askofu Josephat Gwajima kuhusu matukio ya utekaji Nchini...
  15. McLaren

    PreGE2025 Askofu Gwajima ajibu mapigo. Asema Gwajimanization ni kusema ukweli hata kama hauwapendezi walioko madarakani

    Wakuu, Anaandika Askofu Gwajima masaaa kadhaa baada ya Rais Samia kumpa vitasa hadharani. Nyie huyu baba ana ujasiri! "Gwajimanization ni ujasiri usiotetereka wa kusema ukweli, haijalishi ukweli huo ni mchungu au hauwapendezi walioko madarakani. Ni dhamira thabiti ya kutetea maslahi ya Taifa...
  16. Subira the princess

    Askofu gwajima anawajua wasiojulikana, ushahidi huu hapa.

    Wasalaam Tarehe 6 Sept 2017 alimuonya tundu lissu asiende dodoma atapigwa risasi. Lakini kama tujuavyo nabii hakubaliki kwao hivyo lissu talikaidi na Sept 7 alishambuliwa kwa marisasi mengi. Hii ni wazi baba askofu anawajua wasiojulikana ni vema akawaanika wazi ikibidi kwa majina yao ili...
  17. SSH2025_2030

    Technically, Askofu Gwajima kashaondolewa CCM

    Askofu Mkuu sahau kuteuliwa na Chama kugombea KAWE. Umeuponza
  18. Benson Mramba

    Askofu Gwajima alikuwa Mwanamkakati wa Lowassa na Magufuli

    Kumchukulia kiwepesi Askofu Gwajima ni kujipumbaza tu. Amekuwa viti vya mbele kwenye safari ya matumaini na hapa kazi tu. Ana elimu, watu, connection, uchumi, marafiki wengi n.k Tusimchukulie poa poa
  19. Carlos The Jackal

    CHADEMA Hoja ya Gwajima 'Kwa mfano Mtoto wa Rais akitekwa, akatobolewa macho utajisikiaje ? Hoja hii waifanye iwe kubwa sana

    Kundi kubwa la Wamama wa Tanzania , Ambao wengi Wana Elimu za kawaida kabisa , Wanaelewa hii Hoja ,japo ni mfano !!. Fikiria unamwambia Mama wa Moshi huko Ndani Ndani... Mtoto wako anatekwa, anauliwa , Rais yuko kimya , Je angekua ni mtoto wa Rais ametekwa, Rais angekaa kimya?. Kati ya Hoja...
  20. C

    Ni salama zaidi Askofu Gwajima akibaki kwenye mfumo

    Kumtoa Gwajima kutazidisha spana za wazi
Back
Top Bottom