askofu gwajima

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. tpaul

    Waislamu na Wakatoliki mko wapi Askofu Gwajima ananyanyaswa?

    Wakuu naingia moja moja kwenye mada bila kuwachosha. Nawashangaa sana Wakatoliki na Waislamu kwa kukaa kimya hadi sasa huku askofu Gwajima akinyanyaswa bila wao kukemea wala kutoa tamko lolote kuhusu serikali kufunga Kanisa la Ufufuo na Uzima kihuni na bila kufuata utaratibu. Walichokifanya...
  2. W

    Sheikh Shafii amtetea Gwajima, asema kama watu wanapotea na kutekwa ni haki kusema tunapoelekea si salama

    Sheikh Shafii alipokuwa akifanya mahojiano na Battle TV ameeleza kuwa alichokisema Askofu Gwajima ni sahihi labda kama amekosea eneo la kusema na kutoa baadhi ya mifano lakini kama watu wanatekwa kweli na kupotea ni haki kusema kuwa tunapolekea si salama. "Ukizungumzia kuhusu Gwajima watu...
  3. toriyama

    Tetesi: Siku sio nyingi Askofu Gwajima atatangazwa kuwa ni MHAINI, Anatishia Usalama wa Rais Samia, Kupanga Njama Ovu!

    Katika ulimwengu wa siasa za Tanzania, jina la Askofu Josephat Gwajima, Mbunge wa Kawe na mchungaji wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, limekuwa likizua mjadala mkali. Hivi karibuni, uvumi umeenea kwamba “muda sio mrefu” Gwajima atatangazwa kuwa mhaini anayetishia usalama wa Rais Samia Suluhu Hassan...
  4. Doctor Mama Amon

    Uhuru wa Kuabudu na Haki ya Askofu Gwajima Kufundisha Amri za Mungu: Usiue mtu asiye na hatia, Usiue jina zuri la mtu baki, na Usiibe mtu kwa Kumteka

    https://youtu.be/NhpB9Zh2_6Y I. Usuli Uamuzi wa serikali wa kukurupuka kufunga kanisa la ufufuo na uzima na matawi yake 2,000 nchini Tanzania, tena bila kutoa nafasi ya kujitetea kwa viongozi wake, ni ushahidi kwamba huenda viongozi wetu hawaelewi kwamba uhuru wa kuutafuta ukweli wa...
  5. S

    Yu wapi askofu Gwajima, mtetezi wa watekwaji Tanzania na baba wa kiroho wa waumini wa Kanisa la ufufuo na uzima?

    Tangu ailipotangaza Jana nmzaiya kwamba magari ya watekaji yanezingira Kanisa lake, Askofu Gwajima hajajaoekana tena. Swali muhimu ni je, yuko wapi? Yuko hai? Asipoonekana mpk kufikia asubuhi, waumini wake wote tutalala kwenye SGR ili kumpigania Askofu wetu.
  6. Mayor of kingstown

    Naunga mkono kufungiwa kwa kanisa la Askofu Gwajima

    Kama kichwa kinavyojieleza, Huwezi kushindana na mamlaka na kusema chochote unachojisikia dhidi yake kwa kisingizio kwamba wewe ni Askofu. Kitu kilichofanyika ni kudhibiti eneo takatifu lisitumike kama uwanja wa vita. Hivyo basi, Askofu Gwajima kama anataka vita, amealikwa rasmi asemee nje ya...
  7. Uponyaji na uzima

    Yupo wapi Askofu Gwajima? Mamlaka za kidunia hazifahamu pamoja na kuzingira kanisa

    Pamoja na kwamba alikuwepo wakati wanavamia kanisa siku ya jana, bado hawajafanikiwa kumuona. Taarifa nilizopata ni kwamba anaenda kushusha "press" na wakali wa "Mahanaim" wanatinga mahakamani. Bila kusahau kwamba mpambano katika ulimwengu wa roho nao unaendelea vikali dhidi ya jezebeli.
  8. Waufukweni

    ACT Wazalendo: Serikali isitishe kufutwa kwa Kanisa la Askofu Gwajima

    Chama cha ACT Wazalendo leo Juni 03, 2025 kimeitaka Serikali ya Tanzania kusitisha hatua ya kulifuta Kanisa la Ufufuo na Uzima ambalo linaongozwa na Askofu Josephat Gwajima. Katika taarifa yao, ACT Wazalendo imesema kuwa kulifungia kanisa hilo kunakiuka haki ya uhuru wa maoni na kukusanyika...
  9. McLaren

    Msaidizi wa Askofu Gwajima anayejulikana kama Sister Alinda adaiwa kukamatwa na Jeshi La Polisi

    Wakuu, Msaidizi wa Askofu wa Gwajima anayejulikana kama Sister Alinda anadaiwa kukamatwa na Polisi
  10. DR Mambo Jambo

    Samahani mimi ni mgeni wa Siasa kwa upole na utaratibu bila kutumia matusi na kejeli naomba nieleweshwe kosa la mbunge wa Kawe na Askofu Gwajima

    Ndugu wanajamvi, Leo tarehe 3 Juni 2025, nimesoma na kusikia mengi yanayoendelea kuhusu Mbunge wa Kawe, Mheshimiwa Josephat Gwajima, ambaye pia ni Askofu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima. Kwa mujibu wa habari zinazozagaa, kuna tuhuma au hatua mbalimbali zinazochukuliwa dhidi yake, lakini mimi bado...
  11. JanguKamaJangu

    Afande Muliro: Jeshi la Polisi limewachukua 'Watu kadhaa' katika Kanisa la Askofu Gwajima

    Jumanne Muliro, Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam amesema Jeshi la Polisi linawashikilia Watu kadhaa kutoka katika Kanisa la Ufufuo na Uzima lililopo Ubungo kutokana na kile alichoeleza kuwa walikuwa wakizuia Jeshi hilo kutekeleza majukumu yake. Wakati tukielekeza nini cha...
  12. Waufukweni

    Jumanne Muliro: Askofu Gwajima akitaka, akate rufaa (rufaa inakatwa kwa Waziri Bashungwa)

    Jumanne Muliro, Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam: "Sisi jukumu letu ni kuona kwamba tunaitekeleza ile sheria na kusimamia kuona kwamba kilichoelekezwa [na Ofisi ya Msajili] basi kinatekelezeka na kutekelezwa kwake ni kutoendelea kufanya zile shughuli zilizokuwa zikifanyika...
  13. Poppy Hatonn

    Ni jambo gani litatokea asubuhi Kanisani kwa Askofu Gwajima ?

    Mi nadhani Askofu Gwajima atakubali anavyoambiwa. Atafunga Kanisa lake halafu atasubiri kukata rufaa. Au atakamatwa na Polisi na wafuasi wake watapiga kelele,"Mnamuonea. Mnamuonea Askofu" Au wengine labda wana mawazo tofauti. Watu wakizidi pale unadhani itabidi Chalamila aende kuongea na Askofu?
  14. L

    Hizi ni sababu za kwanini Askofu Gwajima anatakiwa kukamatwa na kufunguliwa mashitaka ya uchochezi

    Ndugu zangu Watanzania, Kwa namna askofu Gwajima alivyotoa ,kueneza na kusambaza Maneno ,kauli na matamshi yake kutoka kwenye kinywa chake. Ni ngumu sana kuachwa hivi hivi bila au pasipo kufunguliwa Mashitaka ya Uchochezi . Kwa sababu ametoa maneno na matamshi yenye kuleta uchonganishi na yenye...
  15. Inside10

    PreGE2025 Serikali yalifutia usajili Kanisa la Askofu Gwajima kwa kuingilia masuala ya siasa kwa nia ya kuichonganisha Serikali na Wananchi

    Barua kutoka Wizara ya Mambo ya Ndani, Ofisi ya Msajili wa Jumuiya inasomeka kama ifuatavyo:- KUFUNGWA KWA SHUGHULI ZA KANISA LA GLORY OF CHRIST CHURCH - KANISA LA UFUFUO NA UZIMA Chini ya Kifungu cha 17(b) na kifungu cha 2 cha Sheria ya Jumuiya Sura ya 337 kama kilivyorekebishwa na kifungu...
  16. W

    SI KWELI PreGE2025 Askofu Gwajima ajiuzulu ubunge Kawe

    Wakuu nimeona hii taarifa kuwa Gwajima amejiuzulu ubunge kawe niya kweli?
  17. Waufukweni

    Askofu Gwajima aitwa na Mwenyekiti kuuliza swali kwa Waziri Kitila Mkumbo Bungeni

    Mbunge wa Jimbo la Kawe, Askofu Josephat Gwajima, leo Jumatatu Juni 02, 2025, aliitwa na Mwenyekiti wa Bunge kutoa swali kwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais – Mipango na Uwekezaji, Profesa Kitila Mkumbo.
  18. S

    PreGE2025 Kwa mujibu wa taarifa alizopewa Maria Sarungi, ni kwamba watekaji wanamuwinda Askofu Gwajima

    Taarifa hii ni kwa mujibu wa maelezo ya Maria Sarungi kupitia mtanda wa X siku ya leo ambapo Maria pia ame- post taarifa kutoka chanzo chake anachodai huwa kinampa taarifa za uhakika. Wadau, habari ndio hiyo kwa ufupi. Kwahiyo wacheni tusubiri muda utaongea. .
  19. Waufukweni

    Diamond Platnumz amuoa Zuchu. Ni mpango wa kuuzima moto wa Askofu Gwajima?

    Wakuu Huu mbona kama ni mkakati hivi wa kutaka kututoa kwenye Reli? Msanii wa Bongo Fleva, Nadeem Abdul maarufu kwa jina la Diamond Platnumz amemuoa mpenzi wake wa muda mrefu Zuhura Othman Soud maarufu Zuchu. Msanii wa lebo yake WCB Wasafi. Ndoa hiyo imeibuka katikati mjadala mkali baada ya...
  20. R

    Nawakumbusha tu, Leo Askofu Gwajima alivaa tai nyekundu

    Salaam! Amewakumbusha ccm kuwa Yeye Gwajima ni hazina ndani ya chama Cha mapinduzi, wamtumie vizuri. Na alivaa tai nyekundu Leo, sasa nichukue wasaa huu kumpongeza maana tai Ile ilimpendeza sana. Kwako johnthebaptist
Back
Top Bottom