askofu gwajima

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Zanzibar-ASP

    PreGE2025 Hoja za Askofu Gwajima ni mbili tu, wanaotaka kumjibu zingatieni hayo kwanza ili tuwaelewe

    Askofu Gwajima kwa ujasiri mkubwa kabisa amekuja hadharani na kupasua jipu kwa watanzania kuhusu kitendawili cha matukio ya utekaji hapa Tanzania. Gwajima amejenga hoja katika mambo mawili. 1. Kwanini kuna muendelezo wa matukio ya utekaji hapa Tanzania licha ya kuwepo vyombo vya dola vyenye...
  2. JanguKamaJangu

    PreGE2025 Jerry Muro: Askofu Gwajima najua kuna kitu unakitafuta

    Mwanasiasa Jerry Muro amezungumzia ujumbe uliotolewa na Mbunge wa Jimbo la Kawe, Askofu Josephat Gwajima kwa kusema “Sijui unatafuta nini baba yangu, kuna kitu fulani naona una kitu, kuna kitu unakitafuta, lakini hakuna kitu kimefanyika Rais Samia hajawahi kutolea maelekezo.” Soma Pia: Askofu...
  3. Waufukweni

    PreGE2025 Jerry Muro anena kwa lugha katikati ya press akimchana Askofu Gwajima, asema angetumia Uaskofu wake kumwombea Rais

    Jerry Muro anena kwa lugha katikati ya press akimchana Askofu Gwajima, asema angetumia Uaskofu wake kumwombea Rais
  4. McLaren

    PreGE2025 Jerry Muro: Gwajima ningependa kukwambia huu sio wakati wa kutengeneza "drama" za kutuondoa kwenye Uchaguzi Mkuu

    Wakuu, Kwenye press yake leo, Jerry Muro amesema kuwa Gwajima aache kutengeneza "drama" na kwamba anapaswa kutambua kuwa kwa sasa wako kwenye kipindi cha Uchaguzi. "Ningependa kukwambia kuwa huu sio wakati wa kuanza kutengeneza drama za kutuondoa kwenye Uchaguzi Mkuu. Huu ni wakati taifa...
  5. DexterLab

    Kuna mtu yupo nyuma ya Askofu Gwajima?.

    Sio jambo la kawaida kwa sasa mwanachama wa CCM kutoka hadharani na kuja kuongea bila uoga kuhusu masuala ambayo bunge letu limetupilia mbali mjadala husika. Nani anampa kiburi mzee wa Kawe?
  6. Gabeji

    PreGE2025 Taifa ni muhimu kuwa na watu jasiri kama Askofu Gwajima, kwa ajili ya kutetea haki

    Hakika leo umenifurahisha sana mtumishi wa Mungu askofu Gwajima. Hii ndio asili Yako ya kutetea haki, utu, uzalendo, taifa. bila shaka watanzania wote wamefurahishwa sana na hiki ulichokifanya jana, hata Mungu amefurahi. Pia soma...
  7. R

    PreGE2025 Steven Mmbogo: Tafakuri ya Kijasusi ya kauli ya Askofu Gwajima Mei 24, 2025

    TAFAKURI YA KIJASUSI YA KAULI YA ASKOFU GWAJIMA MEI 24, 2025 Na: Steven Mmbogo Mei 24, 2025 (Soma kwa umakini mkubwa) 1. Utangulizi wa Kiintelijensia (Intelligence Framing) Kauli ya Askofu Josephat Gwajima inapobebwa kwa darubini ya kijasusi, haipaswi kutazamwa tu kama maoni ya mtu binafsi...
  8. mshale21

    PreGE2025 Division zero inatosha kabisa kuelewa ujumbe wa Askofu Gwajima kuhusu utekaji

    Askofu Gwajima kaweka wazi kabisa 1. Kuna kikundi kidogo kinachotumwa na Rais kwa manufaa yake mwenyewe ya kisiasa , kinachopelekea watu kuteswa , kuumizwa vibaya sana au hata kuuawa na kupotezwa kabisa 2. Jeshi la polisi na usalama wa taifa kwa ujumla hawahusiki na utekaji , isipokuwa...
  9. M

    PreGE2025 Gwajima amekuja kutuonesha Watanzania tunatumia njia ambayo siyo sahihi kutafuta ukombozi

    Wakuu habari zenu..... Gwajima jana tar 24 ameitisha pree na kuongea mambo kadha wa kadha. Katika mengi aliyoyaongea Gwajima jambo moja juu ni hili. Gwajima amekuja kutuonyesha kwamba sisi WATANZANIA tunataka ukombozi lakini tunatumia njia ambayo siyo sahihi kuitafuta ukombozi huo. Gwajima...
  10. R

    Askofu Gwajima ame raise and attend both FACTUM PROBANDUM AND FACTUM PROBANS in a single sentense

    IGP, DGSI, CDF wanaogopa kutenda maana mamlaka yao ya uteuzi ndiyo inatowatuma wanaoua na kuteka watu! Gwajima amefanya yote, amerahisisha kazi ya wavivu wa kufikiri au wanafiki. He raised and attended both FACTUM PROBANDUM AND FACTUM PROBANS HARD TAKE HOME MESSAGE YA GWAJIMA NI KUWA anasema...
  11. Nipe Maji

    SI KWELI PreGE2025 Askofu Gwajima amesema CHADEMA ilihusika na utekaji wa Ali Kibao

  12. Nipe Maji

    SI KWELI PreGE2025 Askofu Gwajima asema Padri Kitima alipigwa na vijana wa CHADEMA

  13. PendoLyimo

    PreGE2025 Tujikumbushe ya Askofu Gwajima

    Jamani wakuu, hivi kuna mtu anayemwelewa huyu mbaba? Maana kila hali ya mambo yake inapodorora, mara moja huibuka na maneno mengi na vioja visivyo na kichwa wala miguu. Jimboni kwake Kawe hakuna lolote la maana alilowahi kufanya, na sasa uchaguzi unakaribia — ghafla ameanza tena na maigizo ya...
  14. GoldDhahabu

    Watamjibu na Askofu Gwajima?

    Nimeisikiliza hotuba ya Askofu Gwajima "akilihutubia" taifa! Ni hotuba nzuri iliyoweka mbele maslahi ya taifa! Si bure Watanzania wote wenye akili wanaifurahia! Lakini imezoeleka kuwa kila anapoongea mtu mwenye uzalendo juu ya nchi ya Tanganyika huibuka wanaojiita "machawa" kumjibu kwa lengo la...
  15. Genius Man

    Je, ni wabunge au Makonda watamjibu gwaji boy kwa hoja zake au watakaa kimya kuogopa kusemwa kanisani ?

    Kila mmoja anamjua gwajima kwa kuwa mtu mwenye msimamo wa hoja zake bila kujali kitu ? Je, ni wabunge au mpinzani wake makonda watamjibu gwaji boy kwa hoja zake au watakaa kimya kuogopa kusemwa kanisani ?
  16. S

    Inawezekana kuna connection kati ya wakuu wa vyombo vya dola na Gwajima na pia kuna vigogo wa chama cha kijani nyuma yake

    Kama heading inavyoeleza, huu ndio unaweza kuwa ni uhalisia wa mambo na ndio maana Gwajima katumia nguvu kubwa kuwatetea wakuu wa vyombo vya ulinzi na usalama. Ni lazima ujiulize ni kwanini Gwajima amekwepa kabisa kiwatuhumu wakuu wa vyombo vya dola na badala yake amelenga mamlaka ya uteuzi...
  17. Mhaya

    Masheikh wajifunze kwa Askofu Gwajima namna ya kutoa msimao wa Kiraia bila kuweka Udini

    Juzi niliona Clip ya Sheikh Mmoja anasema Kwa nini Viongozi wa Kikristo Wanamuandama Mama Samia tofuati na Marais waliopita ambao walikuwa wakristo.... nikacheka tu kwa namna alivyokuwa anatengeneza hoja kitoto sana, kama mtu hasiyekuwa na Elimu. Askofu Gwajima katoa hoja bila kuegemea upande wa...
  18. Richard

    Pascal Mayalla huu ni wakati wako wa kutoa neno wafikiraje mkutano wa Askofu Gwajima na waandishi wa habari?

    Nimependa Press Conference ya Askofu Gwajima ni fupi na inojitosheleza. Kaongelea masuala makuu matatu. 1. Uteuzi wa wakuu wa vyombo vya ulinzi na usalama kwamba ni lazima wathibitishwe na kamati ya bunge ya Ulinzi na Usalama. lakini "crucially", ni kwamba ni lazima utenguzi wao pia ni lazima...
  19. R

    CHADEMA itapumua kwa muda kwa press hii ya Askofu Gwajima!

    Salaam! Yaani hivi sasa masuala ya utekaji yanapingwa huko huko ndani ya chama hadharani. Hivi sasa CHADEMA itapumua, maana reforms zinaongelewa kule kulle ndani. Ni kwema mbeleni! Mungu ibariki nchi YANGU nzuri niipendayo Tanzania 🇹🇿.
  20. King Kong III

    PreGE2025 Video za Askofu Gwajima zafutwa Youtube

    Umuofia Kwenu wana JF, Nimejaribu kupitia link karibu tatu zilizorusha Stream ya Askofu Gwajima ,Zote zimefutwa. Pia soma: Pre GE2025 - Askofu Gwajima: Wakuu wa Vyombo vya Usalama wasiondolewe kwenye nafasi zao kwa mapenzi ya mwanasiasa aliyewaweka
Back
Top Bottom