Cha ajabu zaidi Gwajima alikuwa anahudhuria vikao vya Kamati kuu ya Chadema huku akiwa mwanaccm
Cha kushangaza mno Askofu Gwajima ana Kanisa Korea Kusini
Je, Chaumma watampokea Askofu Gwajima kwa ajili ya kugombea Ubunge kama akina John Mrema?
Mlale unono 😁🇹🇿
Haya ndiyo majibu ya Askofu Josephat Gwajima kwa Mwenyekiti wake CCM na Rais Bi Samia Suluhu Hassan baada ya kumtangazia vita..
Soma Pia: Rais Samia: Tusi-gwajimanize chama chetu, Magwajima tuyaache huko nje. Ukicheza ngoma si yako lazima utaharibu
Msikilize tu kwa dakika 3 tu na kumaliza kila...
Ndugu zangu Watanzania,
Kitendo alichokifanya Askofu Gwajima ni kitendo ambacho kilimuumiza ,kumkwaza,kumsononesha na kumchukiza kila mwana CCM. Ni kitendo ambacho kiliacha na kimeacha hasira ,chuki na maumivu makubwa sana katika vifua vya wana CCM wote ndani na nje ya mipaka ya Tanzania.
Wana...
Katika vitabu vya historia ya siasa, kuna sura ambazo huandikwa kwa wino wa aibu na masikitiko. Hii ni moja ya hizo. Ni simulizi ya mwanasiasa aliyejivika joho la mkombozi, akawaahidi wanachama wa CCM Kawe “miujiza” ya maendeleo, lakini akawatelekeza katikati ya ahadi hizo.
Josephat Gwajima...
Hizi ni hoja kumi alizozitoa Mbunge wa Kawe Askofu Gwajima akihoji na kushauri.
1.Kuna wimbi la utekaji, na uvamizi wa kikatili wa raia pasipo hatia wala utaratibu wa kueleweka.
2.Vyombo vya ulinzi nchini havijaeleza kushindwa kushughulikia matukio ya utekaji wa raia kwanini hatua hazichukuliwi...
Salaam wandugu.
Waungwana husema , Uchungu wa mwana aujua mzazi
Sasa alichokisema Askofu Ngwajima amekisema kwa moyo wa dhati kabisa na kwa uchungu mkubwa kuonyesha jinsi gani mtoto alivyo wa thamani kwa aliye naye
Na kila mzazi yuko radhi kupigania uhai wa mwanae kwa gharama yoyote...
GTs,
Swali la kizushi.
Hivi itakuwaje in case Rais Dkt Samia akiamua kuona kuna umuhimu wa reconciliation ya haya mambo yaliyotajwa na Askofu Gwajima na kuyafanyia kazi kwa kuchukua hatua kama vile kumuondoa IGP Wambura kwenye nafasi yake, kuwawajibisha wale wale wote waliohusika na kuua na...
Salaam!
Nchi hii wamewahi kutokea viongozi majasiri ambao Katika kusimamia hoja huwa hawageuki nyuma,
Sasa huyu ndugu Gwajima kwa hoja zile alizotia kwa Press,
Ujasiri wa kuingia bungeni kuwakabilli kautoa wapi kama hana Roho ya Simba?
Kwa tulipofikia,
Huyu ndiye kiongozi pekee ndani ya...
Na: Mwananchi Mzalendo
Tarehe: 27 Mei 2025
Siku ya Jumamosi ya wiki iliyopita (24 May 2025), Askofu Josephat Gwajima—Mbunge wa Kawe na Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM—alizungumza na waandishi wa habari na kutoa kauli nzito juu ya matukio ya utekaji yanayoendelea kushamiri nchini. Kwa maudhui...
Vijana wa Chama cha Mapinduzi Mbunge wa Jimbo la Kawe, wamvaa Askofu Josephat Gwajima kwa kauli zake za kulaani vikali vitendo vya utekaji vinavyoripotiwa kuendelea nchini Tanzania, na kuhusu viongozi wa Serikali na Chama.
Mmiliki/Mkurugenzi wa Furaha Media na mwanasiasa Furaha Dominick, amemjia juu Askofu Josephat Gwajima kutokana na mkutano wake alioufanya na waandishi wa habari hivi karibuni huku akiongelea masuala mbalimbali yanayoendelea nchini ikiwamo sakata la utekaji
Pia, Soma: Askofu Gwajima: Wakuu wa...
Habari wanaJF , Ni siku nyingine tena Mwenyenzi Mungu anatupa nafasi ya kuendelea kupambana na katafuta Maisha .
Binafsi namuona Askofu Gwajima ni yule yule alichoamini jana ndicho anachoamini leo .
https://youtu.be/8meTag4tsR4?si=_cIUS_w1pGQCI6Z9...
Leo Mei 27, 2025, The Chanzo imepokea wito kutoka kwa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA), kuhusu maudhui ya video tuliyochapisha katika chaneli yetu ya Youtube, ambayo ni mkutano na waandishi wa habari mazungumzo aliyoyafanya Askofu Josephat Gwajima, Mbunge wa Kawe (Chama cha Mapinduzi -...
Ndugu zangu Watanzania,
Ningependa Kuwaambieni na kuwakumbusheni Ya Kuwa Pamoja na Katiba yetu kuwa wazi na kunyooka kabisa juu ya nini kinapaswa kufanyika pale Rais aliyepo madarakani anapofariki Dunia, Yaani Makamu wa Rais Kuapishwa na kuchukua Madaraka ya Urais kuongoza Nchi.
Lakini ni...
Kupitia ukurasa wake wa instagram, Mwenyekiti wa UVCCM Taifa Mohamed Kawaida ameandika
"Umeahidi wananchi umeshindwa kutekeleza, licha ya kuwa kura za maoni hukuongoza Chama kikaamuwa kukuamini ila leo umeshindwa kurudisha imani ya Chama na Wananchi na zikiwa zimebaki siku chache kwenda kwenye...
"Mfano huyu kibao, Unajisikiaje kama baba yako anashushwa kwenye gari halafu anakutwa amekufa"
"Kuna huyu Mdude, kama mume wako anakuja kuchukuliwa nyumbani halafu mpaka leo haonekani, unajisikiaje"
Hizi ni nukuu ya baadhi ya maneno ya Askofu Gwajima. Niwaulize wote mnaopinga alichokisema...
Ni almost 72hrs now, hakuna hata hoja yoyote ile imejibiwa genuinely na CHAWA yoyote Yule wa CCM, leave alone police.
Usalama wote wamekenua meno kisirisiri kwa kupata msemaji wao, kawasemea kwa ufasaha.
Kila aliyejaribu kumjibu Gwajima ameishia kumshambulia personally na sio hoja zake Hadi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.