askofu gwajima

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Waufukweni

    PreGE2025 Askofu Gwajima: Ikatokea Abdul mtoto wa Mama Samia amechukuliwa kesho kaokotwa hana macho utajisikiaje?

    Anahoji Askofu Gwajima.! Je, Abdul anaweza kupotezwa na kuokotwa hana macho? Je mtoto wa Majaliwa au wa IGP Wambura, au wa Askofu Gwajima wanaweza kupotezwa na kuokotwa hawana macho na Taifa likakaa kimya? Kama haiwezekani kwa hao, kwanini watoto wa wengine wanapotezwa halafu tunakaa kimya kana...
  2. Robert Heriel Mtibeli

    Askofu Gwajima umezunguka Sana. Ushauri wa kuzuia Utekaji, mauaji ni huu; Rais naye ashtakiwe kama raia wengine

    Kumekuchwa! Askofu Gwajima, naona umezunguka sana kwenye hiyo press yako. Pakiwa na Sheria isemayo watu wote nchini akiwemo Rais wapo chini ya sheria, na Rais ashtakiwe iwe akiwa Rais, au baada ya kustaafu Urais. Hakuna mtu asiyejulikana ambaye atahatarisha usalama wake kwa mtu anayeshtakiwa...
  3. Mshana Jr

    Gwajima si shujaa wetu lakini kwa hili la leo anaelekea kwenye huo ushujaa. Je, atakuwa salama kiasi gani?

    Saa 72 zijazo zinaweza kuamua hatima ya siasa za ccm ama tatizo kubwa tulilonalo sasa hivi la utekaji Gwajima (Gwaji boy) kaamua kumfunga paka kengele.. Hili halijatokea kwa bahati mbaya bali ni baada ya sakata la wakenya waliotekwa na kujeruhiwa wakiwa mikononi mwa vyombo vya usalama... Na ile...
  4. Waufukweni

    Askofu Gwajima: Tanzania ni yetu sote na ni Tanzania kwanza, mengine yote yanafuata

    "Mkuu wa Idara ya Usalama wa Taifa, wa bara na znz wanateuliwa na Rais na wanaondolewa na Rais pale anapoona hawafai, vile vile kwa mkuu wa jeshi la polisi na magereza. Mkuu huyu (yoyote kati ya hao) akipishana na rais kwenye jambo lenye maslahi ya nchi, halafu akashauri anaona jambo hilo...
  5. Waufukweni

    PreGE2025 Askofu Gwajima: Utekaji si utamaduni wetu na halitakiwi kuchekewa!

    Askofu Gwajima amesema Utekaji si utamaduni wetu na halitakiwi kuwa entertained Gwajima anasema huwa haongei kwa kubahatisha, mpaka anakuja kuongea mbele za watu ni kwasababu ana data, na data hizo amekuzikusanya kutoka matukio yaliokuwa yanafanyika miaka kadahaa na kupata orodha ya watu...
  6. Nehemia Kilave

    Baada ya kurudia kumsikiliza Askofu Gwajima , nadhani kuna siku WanaCCM watashangaa na kuyakataa yanayofanywa na CCM

    Nadhani umaskini, ujinga ,uchama na uchawa ni maadui wakubwa sana wa Taifa hili la Tanzania.Ukweli unafichwa ,watu wenye mawazo ya kusaidia nchi wapo ,malighafi zipo ila maadui hawa wanaharibu nchi . https://youtu.be/gHlYAZNZwQ0?si=GtfXB0S5pr4kfI6P...
  7. JanguKamaJangu

    PreGE2025 Askofu Gwajima: Nimelipa gharama yote ya Ujenzi wa mtaro, hivi sasa, Kero ya Mafuriko eneo la Bonde la Mpunga ni Historia

    Mbunge wa Kawe, Askofu Josephat Gwajima: Nimelipa gharama yote ya Ujenzi wa mtaro huu ili kuhakikisha ndugu zangu wa Msasani hawapitii changamoto hii tena sawa sawa na Ahadi yangu niliyoitoa wakati wa Uchaguzi Mkuu wa 2020. Hivi sasa, Kero ya Mafuriko eneo la Bonde la Mpunga ni Historia.
  8. The Burning Spear

    Wamemnyamazisha Lissu ameibuka Askofu Gwajima, Naona CCM wakitwanga maji kwenye kinu

    Udhalimu haujawahi kumwacha mtu salama nyakati za CCM kupata ushindi kwa njia za ujanja ujanja zipo ukingoni. CCM wanadhani No reform No election ni agenda ya Lissu kumbe ni watanzania wote. Bila chadema kushiriki uchaguzi tutashuhudia aibu kubwa sana mwaka huu. Kwa sasa namwona Askofu...
  9. JanguKamaJangu

    Askofu Gwajima: Silaha kubwa ya Wajinga ni kujipendekeza, umenielewa?

    https://www.youtube.com/watch?v=ewCmyEF74AE
  10. The Palm Beach

    PreGE2025 Askofu Gwajima: Mabadiliko hayaletwi na makundi bali ni mtu mmoja aliye tayari kutoa uhai wake. Asema Watanzania waipiganie nchi

    In brief, anasema: ➡Haogopi kufa, maana kila mmoja atakufa.... ➡Mabadiliko (changes) huongozwa na mtu mmoja ambaye yuko tayari kufa kwa ajili ya wengi. Atolea mfano wa Yesu Kristo.... ➡Mitungi yote ya gesi Mihan, Oryx, taifa nk yote inatoka China lakini gesi yote ni yetu. Awauliza waumini...
  11. Kipenzi Changu

    Askofu Gwajima: Tuna kiwanda cha kuua mbu nchi nzima, ila serikali imedhibitiwa na Mzungu

    Kupitia mahubiri Gwajima ametoboa siri kwamba watu wa Cuba wameweka kiwanda cha kuzalisha chemicals za kuua mbu nchi nzima. Kiwanda kina miaka takribani 15 lakini hakijaleta tija kwa nchi. Ameongeza kiwanda kinahujumiwa na wazungu ili wasikose soko la dawa za malaria
  12. Chifu mkuu

    Hivi siku hii Askofu Gwajima alikuwa amekula nini?!

    Udini ukiuzidisha sana mheshimiwa anawezaonekana kama mwendawazimu!
  13. Chifu mkuu

    Hivi siku hii Askofu Gwajima alikuwa amekula nini?!

    Udini ukiuzidisha sana mheshimiwa anawezaonekana kama mwendawazimu! ANGALIA VIDEO HII HADI MWISHO
  14. K

    KERO Kero: Kuna shida kubwa sana ya maji jiji la Mwanza (Nyamagana)mitaa ya Igoma, Machinjioni, kwa Kibeshi, Mhandu

    Sijui ni viongozi wa MWAUWASA wanataka kumgombanisha mama na wananchi kwa makusudi au ni vipi.Yaani maji yanaweza kukosa mwezi mzima na viongozi wapo tu ofsini. Wizara ya Maji chini ya AWESO em fatilia hili limekuwa kero inayojirudia mara kwa mara.Mama anamwaga fedha nyingi sana kwenye MAJI ila...
  15. Waufukweni

    Askofu Gwajima ahofia wahuni ku-edit kinasaba cha mtu

    Mbunge wa Jimbo la Kawe Dar es Salaam, Askofu Josephat Gwajima amehoji serikali imejipangaje pale itakapopokea tiba ya ‘CRISPR Cas 9 Gene Editing’ kwa ajili ya matibabu ya ugonjwa wa seli mundu (sickle cell), kuhakikisha kwamba mtu atakapoingia kwenye chumba cha tiba hahaririwi vitu vingine kwa...
  16. Waufukweni

    Tundu Lissu: Askofu Gwajima ndiye alikua mshenga wa Lowassa kuja CHADEMA

    Wakuu Tundu Lissu amesema Askofu Gwajima ndiye alikua mshenga wa hayati Edward Lowassa kwenda CHADEMA Soma: Mdahalo wa Wagombea Uenyekiti CHADEMA Taifa "Dkt. Slaa ndiye aliyemleta Edward Lowassa CHADEMA, ndiye aliyeanzisha hilo wazo, ndiye aliyeongoza timu zote majadiliano za CHADEMA...
  17. Kitchener

    Askofu Gwajima na nyumba ya mil 8 Kwa mtogole

    Kuna clip nimeiona facebook, gwajiboy ametembelea wananchi, ikatokea mwananchi mmoja wanasema alilalamika kwamba nyumba yake imeuzwa. 1. Alimpangisha muuza bucha 2. umeme ukakatika, nyama za bucha la mpangaji zikaharibika 3. mwenye bucha akasema mwenye nyumba amlipe nyama hizo 4m 4. wamevutana...
  18. Vichekesho

    Askofu Gwajima haridhishwi na mwenendo wa Rais Samia?

    Askofu Gwajima haridhishwi na mwenendo wa Rais Samia? Amekuwa kimya sana ukilinganisha na awamu zilizopita.
  19. Erythrocyte

    Mpwa wa Magufuli akiona cha moto Kunduchi, Azuiliwa kwa fitna za Askofu Gwajima

    Mdau wa michezo Furaha Dominic amesema amezuiliwa kuwa Mgeni Rasmi katika fainali ya mchezo wa mpira wa miguu katika ligi ya Kunduchi super cup kutokana na sababu ambazo amesema ni za kisiasa kwani alipata mualiko wa kuwa mgeni rasmi katika fainali hizo wiki tatu kabla lakini leo imeenda...
Back
Top Bottom