Wakuu HABARI!
Hii tabia ya police au mahakama kuwaachia hawa wahalifu ambao hadi kweny jamii wanafahamika ni mbaya sana, kisa tu ushaidi au mashaidi hawajitokezi wakati wa kesi,unakuta kibaka mzoefu anakamatwa baada ya siku mbili tatu katoka jela au police,
Sasa kunduchi kule kuna kijana...