askari

An askari (from Somali, Swahili and Arabic عسكري ʿaskarī, meaning soldier, or military) was a local soldier serving in the armies of the European colonial powers in Africa, particularly in the African Great Lakes, Northeast Africa and Central Africa. The word is used in this sense in English, as well as in German, Italian, Urdu and Portuguese. In French, the word is used only in reference to native troops outside the French colonial empire. The designation is still in occasional use today to informally describe police, gendarmerie and security guards.During the period of the European colonial empires in Africa, locally recruited soldiers designated as askaris were employed by the Italian, British, Portuguese, German and Belgian colonial armies. They played a crucial role in the conquest of the various colonial possessions, and subsequently served as garrison and internal security forces. During both World Wars, askari units also served outside their colonies of origin, in various parts of Africa, the Middle East and Asia. In South Africa the term refers to former members of the liberation movements who defected to the Apartheid government security forces.

View More On Wikipedia.org
  1. Mwanadiplomasia Mahiri

    JamiiForums Tanzania Askari wa JWTZ wazagaa na bunduki mitaani huko Arusha

    Kumeanza kuchangamka. Leo nilipita Tengeru askari wa JWTZ katika makundi wakiwa na silaha za kivita wapo mtaani wanazunguka tu. Ndio kusema maandalizi ya kuelekea, tarehe 7. Hali kama hii ni kawaida ukiwa nchi kama Rwanda, Uganda na DRC. Huku kwetu hatujazoea sana. Kisiwa chetu cha amani...
  2. R

    JamiiForums Tanzania Nimepita Makumbusho kwenye mataa kuna askari JW amefunika uso , amelenga bunduki as if there is a danger to instantly shoot! Kunani?

    Yaani kama vile at any time ataachia risasi! Yaani yuko alert to shoot! I was walking, nikapita karibu naye maana sikuwa na namna ya kumkwepa.....mimi hapa naye huyu hapa! Nikageuka, Nikamtazama......1 metre apart! Nchi hii iko pabaya sana msivyotegemea!
  3. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Presha ya maandamano: Ulinzi waimarishwa Dar, Askari wasambaa vituo vya mwendokasi na makutano ya barabara

    Wakati wakazi wa Jiji la Dar es Salaam wakiendelea na pilikapilika zao za kila siku, hali ya ulinzi na usalama imeimarishwa katika maeneo mbalimbali, huku askari wa Jeshi la Polisi wakionekana kufanya doria na kuweka ulinzi katika vituo na makutano muhimu ya barabara. Mwananchi imezunguka...
  4. M

    JamiiForums Tanzania JWTZ wazalendo waungeni Wananchi 7/7, Viongozi wazalendo kumbukeni mafunzo yenu kutoka chuo cha Taifa cha Ulinzi, kuhusu usalama wa Taifa

    Usalama wa Taifa si tu kutokuwepo kwa vita, usalama wa Taifa unahusu umoja wa Kitaifa, Utulivu wa kisiasa, uchumi, teknolojia, masuala ya kijeshi na mazingira. Chadema kimekwisha kuwa chama cha kitaifa kutumia taasisi za serikali kama Jeshi, polisi na usalama kukizuia kufanya kazi ni...
  5. K

    JamiiForums Tanzania Kibarua kigumu Sana Kwa Askari na Maafisa wa vyombo vya Ulinzi na salama

    Kibarua hiki kigumu kinakuja baada ya tamko la Waziri wa Mambo ya Ndani kuwaagiza chombo chenye dhamana ya Ulinzi na Usalama wa raia na Kali kuhakikisha wanapita Kila Hotel, Guest House, lodge, Air BnB, n.k. ili kubaini wahalifu wa uvunjifu wa Amani. Kwa Sasa hata kukaa Bar pia siyo salama...
  6. A

    JamiiForums Tanzania KERO Askari Magereza Feki Anatumia Vitisho na Matukano

    POLISI MNISAIDIE KUNA HII NAMBA 0681317339 TANGU JANA ANAMTISHIA NDUGU YANGU. KAJITAMBULISHA NI ASKARI MAGEREZA. TANGU JANA ANAMSUMBUA. PAMOJA NA KUMPIGIA NA KUMUONYA KISTAARABU BADO KAENDELEA KUTOA MATUSI NA KUSEMA YEYE HAOGOPI YEYOTE NA MATUSI JUU. WATU KAMA HAWA NDIO WANAOCHAFUA TASWIRA YA...
  7. H

    JamiiForums Tanzania Askari wa madawati ya jinsia wanatelekeza ofisi kwa kisingizo cha kwenda kuelimisha nje

    Askari wa madawati ya jinsia wanatelekeza ofisi kwa kisingizo cha kwenda kuelimisha nje ya ofisi kitu ambacho siyo kweli. Wanaondoka ofisini kwenda kwenye shughuli zao na simu hawapokei kabisaa wala sms hawajibu. Pia wamekuwa na tabia ya kuangalia upande wenye pesa na krsi zenye maslahi kwao...
  8. tucker carlson

    JamiiForums Tanzania Jaji John Ruhangisa: Kwenye Katiba inayopendekezwa, askari hatakiwi kutekeleza amri ambayo sio halali

    Aliyekuwa Jaji wa Mahakama Kuu ya Tanzania, Prof. John Ruhangisa, ametoa onyo kali kwa vyombo vya ulinzi na usalama, akisisitiza kuwa kwa mujibu wa misingi ya Katiba, askari yeyote hatakiwi kutekeleza amri kutoka kwa bosi au kiongozi wake ikiwa amri hiyo si halali. "Hata nilikuwa ukisoma Katiba...
  9. A

    JamiiForums Tanzania IGP wa Kenya: Askari Polisi tumieni akili, acheni matumizi ya nguvu kupita kiasi. Katiba inazuia

    Kauli ya IGP wa Kenya Kwa Askari wa Kenya "Now, enforcement officers najua mko na kazi ngumu, but I want to appeal to you that even as you carry out enforcement duties, let us do it with a human heart. Let us be human. We are dealing with human people—human beings, we are dealing with people...
  10. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Katambi: Tuwatie moyo askari, tusiwatweze na kuwaumiza wamejitoa maisha yao

    Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Patrobas Katambi amesema kuwa amani iliyopo nchini kwa kiasi kikubwa imechangiwa na kazi kubwa inayofanywa na majeshi ya ulinzi na usalama, huku akitoa wito kwa wananchi kutotoa kauli mbaya na kutowatweza askari na badala yake wawatie moyo kwani wamejitolea...
  11. L

    JamiiForums Tanzania CHADEMA waonywe kwa tabia ya kuwatukana na kuwadhalilisha Askari wetu katika mikutano yao ya hadhara

    Ndugu zangu watanzania, Wiki iliyopita niliumia sana kuona mkutano wa CHADEMA kule kanda ya ziwa ukigeuka jukwaa la kuwatukana, kuwadhalilisha,kuwatweza na kuwavunjia heshima askari wetu ambao kila mmoja wetu anatambua kazi kubwa wanayoifanya usiku na mchana kuwalinda watanzania na mali zao...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Askari wa JWTZ kaaeni chini mpange kuikataa CCM, inawafuata

    Leo Mzee Wassira ameropoka, mpango wao waliokaa wakajadili. According to yeye watawatafuta baadhi yenu na akasisistiza "Tusiwe tunafuga nyoka ndani" hili sio neno la Gen-Z. Tarehe 29 kuna Askari walioambatana na Waandamanaji wakisubiri kama Wakuu wa baadhi ya Kambi wataingiwa na Ujasiri... CCM...
  13. A

    JamiiForums Tanzania KERO Kuna Askari wanatuambia tupite njia ya Mwendokasi Kimara, tukifika Kona wanatukamata na kutoza faini Sh 30,000

    Naweza kusema kuwa kwa ninavyoamini kutokana na mazingira, Askari wa Barabarani wanatengeneza foleni njia ya Kimara kwa Makusudi wanaanza kuwaambia watu wapite mwendokasi kipande cha Baruti then ukifika Kona wanakamata magari yote. Wakiaambiwa kuwa “tumeruhusiwa huko nyuma kupita” wanasema...
  14. C-C Digital Pro

    JamiiForums Tanzania Wajibu wa Askari jeshi kwenye jamii ya Kitanzania. Je, unatekelezwa?

    Wajibu mkuu wa askari jeshi kwenye jamii ni kulinda katiba, mipaka ya nchi, na usalama wa wananchi pamoja na mali zao. Wanajeshi (kama vile wale wa JWTZ au majeshi ya ulinzi ya kikanda) wana mchango mkubwa kijamii, kiuchumi, na kiusalama. Majukumu ya msingi ya askari jeshi katika jamii...
  15. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Jaku Hashim: Askari wetu wanapaswa kuonekana kwa sura inayowapa wananchi imani na utulivu. Wasivae kininja

    Suala la baadhi ya askari wa vikosi vya usalama Zanzibar kusokota rasta na kuvaa mavazi ya kuficha nyuso zao (ninja) limeibua mjadala mpana katika Baraza la Wawakilishi, huku wajumbe wakitoa mitazamo tofauti kuhusu maadili, utamaduni na utendaji wa vikosi hivyo. Mjadala huo umejitokeza wakati...
  16. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Hata yule Mfungwa wa Kike kumbe naye ni ASKARI !! Haya Majama yanayomzunguka Samia ni Majinga ,yanafanana Kila kitu

  17. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania UVINZA: Vijana watatu kujeruhiwa kwa risasi, DC asema waliwavamia Askari wakitaka kuwanyang’anya bunduki

    UVINZA, KIGOMA: Mkuu wa Wilaya ya Uvinza, Dinah Mathamani ametoa ufafanuzi kuhusiana na tukio la vurugu lililotokea Mei 5, 2026 katika Kijiji cha Kalilani, ambapo vijana watatu walijeruhiwa kwa risasi wakati wa zoezi la kutoa elimu na uhamasishaji kwa wananchi wanaotakiwa kupisha maeneo ya...
  18. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Responded Askari wamewajeruhi vijana watatu kwa risasi – Uvinza wakati wa msafara wa DC, Mei 5, 2026, hatua zichukuliwe

    Kuna watu watatu wamepigwa risasi za moto na askari waliokuwepo kwenye msafara wa Mkuu wa Wilaya ya Uvinza walipokuwa wakielekea Kijiji cha Kalilani kilichopo mkoani Kigoma Wilaya ya Uvinza, Tarafa ya Buhingu, Kata ya Buhingu. Vijana hao wao walishambuliwa na Askari Polisi waliokuwa na silaha...
  19. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Katavi: Askari Polisi ashtakiwa kwa kuomba na kupokea Rushwa ili awaachie waliokutwa na gunia 10 za bangi

    Mei 04, 2026: Imefunguliwa kesi ya Jinai Namba CC. 9474/2026 katika Mahakama ya Wilaya ya Mlele mbele ya Mhe. Kibona. F, Jamhuri dhidi ya RABIEL ROBERT KAAYA, askari wa Jeshi la Polisi mwenye Namba za Kijeshi H. 3083 mkazi wa Majimoto Wilaya ya Mlele Mkoani Katavi. Hati ya Mashtaka imesomwa na...
  20. Manyanza

    JamiiForums Tanzania Askari aliyemkamata Rais wa Venezuela akamatwa kwa tuhuma za ku-bet

    Askari wa kikosi maalum cha Jeshi la Marekani, Gannon Ken Van Dyke, amekamatwa kwa tuhuma za kutumia taarifa za siri za kijeshi kujipatia fedha kupitia kamari. Kwa mujibu wa waendesha mashtaka wa Marekani, Van Dyke alikuwa sehemu ya operesheni ya siri iliyosababisha kukamatwa kwa aliyekuwa Rais...
Back
Top Bottom