askari

An askari (from Somali, Swahili and Arabic عسكري ʿaskarī, meaning soldier, or military) was a local soldier serving in the armies of the European colonial powers in Africa, particularly in the African Great Lakes, Northeast Africa and Central Africa. The word is used in this sense in English, as well as in German, Italian, Urdu and Portuguese. In French, the word is used only in reference to native troops outside the French colonial empire. The designation is still in occasional use today to informally describe police, gendarmerie and security guards.During the period of the European colonial empires in Africa, locally recruited soldiers designated as askaris were employed by the Italian, British, Portuguese, German and Belgian colonial armies. They played a crucial role in the conquest of the various colonial possessions, and subsequently served as garrison and internal security forces. During both World Wars, askari units also served outside their colonies of origin, in various parts of Africa, the Middle East and Asia. In South Africa the term refers to former members of the liberation movements who defected to the Apartheid government security forces.

View More On Wikipedia.org
  1. Genius Man

    JamiiForums Tanzania Kama ndugu yako ni askari mwambia tarehe #D9 asiingie mitaani kujaribu kuzuia watanzania wenye hasira kali yasije yaka mkuta

    Kama ndugu yako ni askari mwambia tarehe #D9 asiingie mitaani kujaribu kuzuia watanzania wenye hasira kali yasije yaka mkuta. Waliopo kwenye vituo vya polisi vilivyopo mitaani wachunge sana. watanzania hawatokubali damu iliyomwagika iende bure.
  2. Yoda

    JamiiForums Tanzania Watanzania tuache kujidanganya kwamba inahitaji askari kutoka nje kutekeleza mauaji na ukatili wa kutisha kati yetu?

    Kuna maneno au uvumi umekuwa ukisambazwa sana kwamba kuna wanajeshi au askari wa Uganda waliingizwa kutoka nje ili kudhibiti waandamanaji kwa kuwaua na kuwafanyia ukatili mwingine. Huku ni kujidanganya, kujipumbaza na kujifariji kwa uongo. Kwa muda mrefu sana Watanzania wengi wamekuwa...
  3. Mr Devil

    JamiiForums Tanzania Nime gundua BODA BODA wetu wako vizuri sana kwenye ulengaji wa shabaha

    Kupitia misuko suko ya maandamano kuna jambo moja nime weza kuli gundua . BODA BODA wetu wako vizuri sana kwenye kulenga shabaha na kulinda upotevu wa risasi , kwani wahanga wengi uki achilia walio pigwa risasi wakiwa wame lala chini wengi wame pigwa risasi za kichwa . Ova and Out
  4. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Picha: Askari Magereza aliyepigwa risasi na Polisi Oktoba 30, 2025 Mazizini DAR

    kwenye Picha ni Askari wa jeshi la magereza ASP ABBAS RAJABU MKALI aliyepigwa risasi na jeshi la polisi maeneo ya Mazizini jijini Dar es Salaam akiwa anatambea, Mkali alikuwa Dar kwa likizo, kituo chake cha kazi ni Gereza la Mbarali. Tunaposema wameua watu wasio na hatia tuna maanisha.
  5. Mi mi

    JamiiForums Tanzania Bado haingii akilini mtu anawezaje kuuawa na risasi mbele ya Askari jeshi wa nchi husika ?

    Toka tarehe 29 mpaka leo bado nawaza mwananchi anawezaje kulengwa shaba mbele ya askari wa jeshi la wananchi naye askari akabaki anashangaa tu kama sanamu. Moja mwananchi anapigwa virungu mbele ya askari jeshi, jeshi bado linashangaa inafuata anauawa bado tu mwanajeshi anashangaa wala hatua...
  6. October 2pm

    JamiiForums Tanzania Askari watahusika kuangamiza machawa awamu ya pili ya safisha safisha

    Nye Nye nyie! Bora Diamond aliamua kukimbia. Naambiwa hapa awamu nyingine ikitokea kuna wajuba machawa mashughuli watakula chuma huko majumbani wakikojificha kama yule sharifu majini aliyefuatwa kwake. Askari baadhi hawapendezwi na mitabia ya kichawa. Tayari orodha ipo bayana. Miye sijui walahi...
  7. Mi mi

    JamiiForums Tanzania Sasa naelewa Kwanini baadhi ya askari wa Israeli ujiua baada ya vita vya Gaza

    Kwa niliyo shuhudia toka 29 Oktoba mpaka leo sasa naelewa kwa nini baadhi ya askari wa Israel hujiua baada ya vita hasa vya Gaza. Aisee kilicho tokea nchini ni unyama uliopitiliza ambao nimeshuhudia mpaka sasa sipo sawa. Nawaza kuhusu askari walioshiriki unyama ule hali zao kiafya hasa kiakili...
  8. Genius Man

    JamiiForums Tanzania Mfumo dhaifu wa uajiri askari ndani ya vyombo vya usalama unaweza kupitisha majambazi na wauwaji hali inayoweza kuhatarisha usalama wa taifa

    Mfumo dhaifu wa uajiri askari ndani ya vyombo vya usalama unaweza kupitisha majambazi na wauwaji hali inayoweza kuhatarisha usalama wa taifa. Badala ya vyombo vya usalama kulinda raia vinakuwa vinajihusisha na ujambazi
  9. October 2pm

    JamiiForums Tanzania Yadaiwa watu hawakuogopa askari. Wasema silaha watazitafuta na kuzipata

    Rafiki wa karibu anijuza hapa kuwa hakuna kilichoharibika. Asema watu wamebakiza kumoyo kisasi cha damu za ndungu zao. Waseme walitest mitambo na ikajibu. Nye Nye Nye Sijui. Waseme silaha watazipata tuu kwani wamekusudia liwalo na liwe. Wasema kila ngazi itapandwa. Wasema wameshazoea kuuliwa...
  10. M

    JamiiForums Tanzania GE2025 Askofu Bagonza: Hili la Askari wa kukodi (Mercenaries) lisikaliwe kimya

    Ameandika Askofu Bagonza Kuna mambo ukiyakalia kimya yanaisha yenyewe kwa sababu hayakusaidii wala hayakuumizi. Kuna mambo ukiyakalia kimya hayaondoki yenyewe na ni ya hatari. Hili la Askari wa Kukodi (Mamluki au Mercenaries), LISIKALIWE kimya. Kama ni kweli wapo, WAONDOLEWE mara moja kimya...
  11. mwehu ndama

    JamiiForums Tanzania Askari waliovalia kombati za JWTZ waonekana airport Entebbe

    Page ya Instagram ya wananchiforum imeripoti kuonekana kwa Askari jeshi , waliovalia kombati za JWTZ katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Entebbe , Uganda.
  12. Criss

    JamiiForums Tanzania Wanajeshi na askari police wameviishi viapo

    Kwa upande wa Jeshi sina cha kuongeza kila mtu ameona namna walivyoviishi viapo kwa Taifa lao. Kwa upande wa police nanyi mmeonyesha kumbe nanyi mpo conscious japo mwanzo nilikuwa nawatazama kwa sura hasi sana. ufyatuaji wenu wa mabomu ya machozi umedhihirisha kuwa hamkuwa na nia ovu mioyoni...
  13. Black Opal

    JamiiForums Tanzania GE2025 Jeshi lipo na wananchi, linawalinda wananchi kutumiza azma yao

    Kama mnavyoona na kusikia kwenye video hapo jeshi limetulia na kuwaacha wananchi wafanya yao bila shida! Polisi wakatika kuzidi nguvu wananchi, Jeshi linazogea mbele kuwangika na kuacha maadamano yaendeleee. Ni suala la muda kazi inaisha, heshima inarudi tanzania.
  14. Mchalinze

    JamiiForums Tanzania Wanachofanya waandamanaji ni kuligombanisha jeshi la wananchi na askari

    Kuna video nimeiona waandamanaji wapo nyumba ya gari la jeshi huku kwa mbele askari wakiwatupia mabomu ya machozi waandamanaji
  15. Genius Man

    JamiiForums Tanzania Tutaandamana kwa amani Askari atakaye mpiga mwananchi sisi tutajitetea

    Tutaandamana kwa amani na kwa muujibu wa katiba ya nchi Askari atakaye mpiga mwananchi kwa sababu ya maandamano ni uhalifu wa kivita na sisi tutajitetea tutamfanya nyama.
  16. H

    JamiiForums Tanzania Askari wa barabarani kumpiga dereva faini je amekuwa mahakama?

    Hili swala la askari wa barabarani kumpiga faini dereva haliko sawa kwani anakuwa amemhukumu dereva wakati yawezekana mahakamani angeshinda kesi. Ni vyema sasa mtu afikishwe mahakamani aitwe ajitete kwanza ndipo mahakama itoe adhabu kinyume na hapo ni wizi serikali inafanya kwani makosa mengi...
  17. Superbug

    JamiiForums Tanzania Dreva bajaji anusurika kutekwa na watu wanaodhaniwa ni ‘askari’ eneo la JUWATA Morogoro mjini

    Ilivyokuwa Bajaji ziligongana zenyewe mbili hapo juwata njia ikawa blocked. Watu waliovaa kiraia wakashuka kwenye land cruiser nyeupe tinted wakawa wanawafokea wale bajaji. Mmoja wa wale bajaji akawa anajitetea hawezi kutoa bajaji kutokana na Hali iliyokuwepo mpaka watu wasogee. Reaction ya...
  18. R

    JamiiForums Tanzania Je, askari wetu watapiga kura uchaguzi huu 2025?

    Salaam! Katika chaguzi zilizopita, askari baada ya foleni kwisha, askari nao walipata fursa ya kupiga kura Katika vituo walivyosimamia usalama kwa uwazi kabisa Kisha wakaendelea na majukumu yao kana kawaida. Uchaguzi huu ni tofauti, Kila kukicha tunaona wanafanyishwa mazoezi kwa tetesi za...
  19. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Mauaji ya askari Arusha

    #BREAKINGNEWS Jeshi la Polisi Mkoa wa Arusha linawashikilia watuhumiwa watano kwa tuhuma za mauaji ya Askari Polisi, Omary Mnandi (30), aliyekuwa mkazi wa Jiji la Arusha. Akitoa taarifa kwa vyombo vya habari leo Oktoba 12, 2025, Kamanda wa Polisi Mkoa wa Arusha, SACP Justine Masejo, amesema...
  20. Kubwjing

    JamiiForums Tanzania TANZIA Arusha: Askari Polisi auawa Picnic bar akidhaniwa jambazi baada ya kuzidiwa kilevi na kwenda kulala kwenye gari lisilo lake

    ASALAAM ALEYKHUM WADAU, Aisee bana kuna Askari aitwaye Omari Mnandi, aliyekuwa ameingia katika gari binafsi la Mtu aliyekuwa akijivinjari maeneo ya Picnic, alijisahau akajiachia kama yupo kwenye gari lake mpaka kusinzia...(Nafikiri walikuwa katika Doria ya usalama) kilichotokea alipigwa na kitu...
Back
Top Bottom