asilimia 90

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Ritz

    Trump: Tumeharibu mfumo wote wa makombora ya Iran kwa asilimia 90

    Wanaukumbi. Trump na Israel, wanachekesha sana wanasema imengamiza uwezo wa makombora ya Iran kwa asilimia 90 hawana tena huwezo wa kurusha makombora na wanadhibiti anga yote ya Iran. 😂 https://x.com/jacksonhinklle/status/2030767973946810563?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
  2. Munch wa Annabelle

    Utafiti: Asilimia 90 ya watanzania upata choo kikubwa kila baada ya siku 3

    Salamu Nmekua nikifanya utafiti na nikagundua asilimia kubwa ya watanzania upata choo kikubwa kila baada ya siku 3 na hii sio ishara nzuri hasa katika upande wa lishe na afya kwa ujumla. Mtu anaekula mlo kamili yani protin, wanga , mafuta, maji na vyakula vya nyuz nyuz lazma apate choo kila...
  3. Farolito

    Obama: Tuache kujifanya tuna demokrasia na kujipa ushindi wa kimaajabu wa asilimia 90 huku ukifunga wapinzani na kuwazuia kwenye TV

    Wakuu, Hio ni Kauli ya Rais mstaafu wa Marekani Bwana Barack Obama akingumzia Demokasia mwaka 2018 alipokuwa Afrika kUsini. Imesambaa tena hasa baada ya taarifa za uchaguzi Ushindi wa kimaajabu wa Rais Samia kuenea duniani. "We have to stop pretending that countries that just hold an election...
  4. sergio 5

    Kuna mdada asilimia 90 ananitaka

    Kaniita anaanza kuniambia mbona hauko sawa unamawazo gani yeye YANA muhusu nini Huo mtego siingii ng'oo
  5. Munch wa Annabelle

    Ualimu ndo kada ambayo waajiriwa wake akipata kesi na kuhukumiwa miaka 3 jela au faini 3m asilimia 90 wataenda jela

    Walimu mpo!!! Niende Kwenye mada, hii kada ni kama inalaana maana watumishi wao wanaoishi kama kuku, hawawaz mbele wao wanaangalia hapohapo alipo tu, wakijitahidi sana basi atajiongeza kuwa bodaboda, mpesa uchwara, duka njaa, upishi kweny sherehe uswahiln na semina, tuishen na kuuza ubuyu na...
  6. G

    Majasusi wa Urusi wamkabidhi beji maalumu Rais Traore , huku wakitoa mienendo mibaya ya Marais karibu Asilimia 90 WA afrika hawafai kubebwa na Urusi.

    Ripoti za Siri zimevuja Cremlin kumewaka Moto, majasusi wanadai Marais wengi WA afrika ni vibaraka wanaotumiwa kuiba rasilimali za nchi zao kwa manufaa ya magharibi. Majasusi wanasema viongozi wengi WA afrika Wana uraia Pacha hasa WA ulaya , Oman, Dubai, America, na wengi wanamiliki majumba...
  7. M

    Kabla ya 2012 shule nyingi zilikuwa zinatoa division one hadi three za kuhesabika. four na zero zaidi ya 90%

  8. Komeo Lachuma

    Asilimia 90 ya vitu tunavyotumia daily vimegunduliwa na Wazungu, katika hivyo asilimia 80 plus ni Wayahud

    Angalia sehemu ulipokaa hapo. Popote ulipo. Hesabu vitu ambavyo vinakuzunguka. Asilimia zaidi ya 90 vimegunduliwa na wazungu (usijali kwa sasa vinatengenezwa wapi) Halafu katika hao hao wazungu. Zaidi ya asilimia 80 ya gunduzi zao. Lipo Yahudi humo. Ndo utagundua hii Miyahudi ina akili sana...
  9. K

    PreGE2025 Kama ningekuwa kampeni meneja wa mgombea wa CCM ningehakikisha USHINDI wa asilimia 90+

    Binafsi Sina mashaka na uwezo wa CCM katika kushinda , ina uwezo mkubwa wa kushindana na kushinda tena kwa kishindo hivyo kama siku moja ningebahatika kuwa meneja wa kampeni za mgombea wa urais wa CCM ningemhakikishia USHINDI wa asilimia 90+ na angeupata kwa sababu: 1. CCM Ina wagombea wenye...
  10. Pdidy

    Wizara ya michezo; Mmetuambia uwanjaa utachezwa final.. Umekamilika asilimia 90+ sasa na hili la Zanzibar tutawaamini tena kweli aisee?

    Haya mambo ya kuingiza siasa mchezoni NGUMU sanasana Hivi majuzi tu tuliona viongozi WA WIZARA ya MICHEZO wakinukuliwa final UTACHEZWA kwa mkapa na wakasisitixa wananchi mnunue.tkt.kwa wingi Sasa tumesikia haya ya kuprlekana ZNZ Wapendwa sasa zile semi za tutachezea kwa mkapa ziko wapi...
  11. M

    Ujenzi wa tenki la Maji la Hinduki,Maswa wafikia asilimia 90

    KAZI ya ujenzi wa tenki kubwa la kuhifadhi maji lenye uwezo wa kubeba lita milioni mbili linalojengwa katika kijiji cha Hinduki wilaya ya Maswa mkoa wa Simiyu imefikia hatua ya asilimia 90, ikiwa ni sehemu ya juhudi za serikali kuboresha upatikanaji wa maji safi na salama kwa wananchi. Tenki...
  12. Just Pray

    Kafulila: Asilimia 90 ya kipato cha mwanamke hutumika kwa ajili ya familia

    Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Ubia kati ya Sekta ya Umma na Binafsi (PPP), David Kafulila, ameungana na wanawake katika kusherehekea Maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani kwa kutoa ripoti tatu muhimu zinazobainisha mchango wa wanawake katika uchumi na nafasi za uongozi. Akianza na ripoti...
  13. Kingsmann

    Asilimia wengi wa watoto chini ya miaka 5 kwa sasa wanaumwa

    Hii ni kwa Dar, sijajua mikoa mingine hali ikoje. Dalili kuu ni: 1. Homa kali 2. Mafua 3. Kukohoa 4. Kuharisha 5. Kutapika Ukienda kliniki za watoto nyingi kwa sasa zimefurika haswa. Yani kama mwanao hajaumwa, basi tegemea muda wowote naye kitamkuta. Hizi dalili pia zinawakumba hadi watu...
  14. Caps Lock

    Asilimia kubwa ya wanawake kwenye baa kwa sasa wanajiuza, zamani ilikuwa tofauti

    Wakati nilipokuwa shuleni sekondari o-level enzi hizo pale Tanga Tech, japo ilikuwa ni bweni na ukali wa head master Mr Teti, mara kadhaa mimi na marafiki zangu tuliweza kutoroka na kutinga sehemu za starehe kama Raskazone Beach ama club LacasaChika kwa ajili ya kuburudika kimziki. Huko...
  15. Roving Journalist

    Lwamo: Zaidi ya Asilimia 90 ya watoa huduma migodini ni Watanzania

    Zaidi ya asilimia 90 ya huduma zinazotolewa kwenye migodi ya madini nchini zinatolewa na watanzania huku vijana wakiaswa kutunza afya zao na kuepuka makundi hatarishi ili kuzifikia fursa zilizopo kwenye migodi. Hayo yamesemwa leo Oktoba 7, 2024 na Kaimu Katibu Mtendaji wa Tume ya Madini...
  16. Roving Journalist

    Ujenzi wa Daraja la Magufuli wafikia Asilimia 90

    Meneja wa TANROADS Mkoa wa Mwanza, Mhandisi Paschal Ambrose amemshukuru Waziri Innocent Bashungwa kwa kuendelea kutoa msukumo ili kazi mbalimbali zinazoendelea za ujenzi katika daraja hilo ziweze kukamilika na kumueleza kuwa hadi kufika mwisho wa mwezi Agosti wananchi wataruhusiwa kupita juu ya...
  17. African businesses

    Asilimia 90 ya Watanzania hatujaenda shule

    Habari zenu waungwana, binafsi leo nimeumia sana baada ya kugundua licha ya kuspend miaka mingi kuitafuta elimu kwenye hizi shule zetu za serikali, leo ndio nimegundua kumbe Mimi sikwenda shule bali niliudhuria kwenye hivi vituo vya kukuzia watoto vinavyomilikiwa na serikali Kwa ufupi ni kwamba...
  18. LIKUD

    USHUHUDA: Vision Board inaweza kufanya upate kila kunachokiweka, 90% niliyoyaandika mwaka huu yametimia

    Vision board ni nini? Vision board ni mkusanyiko wa picha na michoro inayo represent dreams zako au mipango yako. Kwa mfano una ndoto za kwenda kusoma Havard,basi utachukua picha ya Havard utachukua na picha yako utafanya Photoshop inayo depict picha yako ukiwa Havard au unaweza kutumia...
  19. NetMaster

    Asilimia 90 ya wahitimu vyuoni hawajawahi kusoma kitabu chochote cha elimu binafsi, ni professionals tu katika fani walizosomea ila hawajaelimika

    Hapa sisemei kwamba mtu ana phd / masters / degree ya udaktari, uhandisi, uhasibu, Sheria, masoko, IT. La Hasha !! Hizi taaluma ni kipengere kidogo kwenye elimu, mtu alieelimika huwa kajenga mazoea ya kusoma vitabu nje ya taaluma vyenye maarifa yanayogusia maisha, jamii, kustarabika, kuwa mtu...
  20. Mr Dudumizi

    Asilimia 90 ya watanzania tumeshagundua kwamba hawa viongozi wamehongwa kwa ajili ya bandari

    Habari zenu wanaJF wenzangu, Ndugu zangu,,, hapa nchini kwetu ukiwa mtu makini, mwenyekujitambua, mwenye uwezo wa kudhibiti mihemko, mwenye mawazo na akili iliyohuru bila kukontroliwa na mtu mungine ambae ataitumia akili yako kwa faida yake na familia yake huku akikuacha wewe ukidhalilika...
Back
Top Bottom