asili

Asili is a village on the southwest coast of Tutuila Island, American Samoa. It is located between Leone and 'Amanave. It is located in Lealataua County.
Both the Malagateine Stream and Asili Stream flow through Asili before discharging into the sea. A former World War II bunker is located near the shoreline. Several species of Gobie fish, as well as Mountain bass and Freshwater eel, have been recorded in Asili Stream. The Asili Stream originates at 1,190 ft. above sea level. It discharges near the center of the embayment that fronts the village. The main branch of the Malagateine Stream starts around the 520 ft contour along the east side of the Malagatiga Ridge.

View More On Wikipedia.org
  1. A

    JamiiForums Tanzania Suluhisho salama la asili kuhusu bawasiri

    Tunalo Suluhisho Salama na la Kiasili Tunasaidia kuondoa changamoto ya bawasiri bila upasuaji, kwa kutumia virutubisho asilia vilivyothibitishwa ambavyo vinasaidia Kuyeyusha kinyama: Kusaidia kusinyaa na kuondoka kwa kinyama kilichojitokeza (kwa bawasiri ya nje). Kulainisha choo: Kuondoa tatizo...
  2. JamiiForums Tanzania Hivi kuna jamii yenye wanawake warembo zaidi ya wanawake wenye asili ya Africa?

    Ebony queens👑
  3. JamiiForums Tanzania Makonda anautaka sana Uwaziri wa Mali Asili na Utalii. Mabdailiko yajayo huenda ikawa hivyo

    Ma consultance wa Makonda hawalali yaani wana kesha usiku kucha kumpa Makonda mbinu. Makonda kaambiwa Mali asili na utalii ndiko hasa panamfaa ndiko kwenye mafuta, na ili aingie huko aanze kufanya harakati mbazo mnaziona kwa sasa hivi. Hao wastafu wa Soka anao waleta sio kwa lengo la michezo...
  4. JamiiForums Tanzania Nahitaji kujua faida za ibada za asili/ matambiko

    Habari za Ijumaa wana JF. Mimi leo nimeona nije na hii mada tajwa nahitaji kujifunza mambo ya asili hasa matambiko faida zake pamoja hasara zake kama zikiwepo. Na vitu gani vinatakiwa katika kukamilisha zoezi hilo la kutambika. NB: Mimi asili yangu mkurya itapendeza sana kurya iwe case study...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Yamal ana kipaji cha asili, Olise ana ubunifu wa kipekee, lakini Kvaratskhelia anakupa kila kitu

    Lamine Yamal ana kipaji cha asili (talent), Michael Olise ana ubunifu wa kipekee (flair) uwanjani, lakini Khvicha Kvaratskhelia ndiye mchezaji anayechanganya vitu vitatu muhimu kwa kiwango cha juu: uthabiti (consistency), kuibuka kwenye mechi kubwa (big games mentality), na kuwa na athari ya...
  6. JamiiForums Tanzania Kwanini mandhari na uzuri wa asili kwa kuuangalia tu au kusikia sauti za uzuri huo unamkosha sana binadamu? Majadiliano na atheists Ep5

    ‎kwa dakika moja fikiria hii: umesimama kwenye fukwe ya bahari jioni Jua linazama. Rangi nzuri za machweo ya jua zinaenea angani kama picha iliyochorwa na mkono wa ustadi usio wa kawaida. Moyo wako unashikwa na kitu kitu ambacho huwezi kukieleza kwa maneno hisia ya kwamba unashuhudia kitu...
  7. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwanini watu wenye asili ya uweusi wanapendelea wadada wenye makebo makubwa ila vijana wa ngozi nyeupe wanapendelea wadada wenye maanabeli makubwa?

    Ni ishu ya DNA au tu mazoea. Maana huku kwetu wadada wenye makebo mapana ndio habari ya mjini ila wazungu ni mabinti wenye maanabeli mapana.
  8. JamiiForums Tanzania Unajua asili ya neno "Afande"?

    Kabla ya mkutano wa Berlin dola ya Ottoman ilitawala Misri na Sudan. Kwa kituruki neno bwana au Sir ni Effendi. So askari wao wenye vyeo walikuwa adressed kama Effendi. Askari wa Sudan wakaingiza neno hilo Uganda, Kenya na Africa mashariki. Effendi ya Kituruki likawa Afande ya kiswahili.
  9. JamiiForums Tanzania Je wajua: Asili ya neno mkate

    Duka la kwanza la kuoka mikate kufunguliwa Afrika Mashariki lilikuwa Nairobi. Mzungu aliyelifungua aliitwa McCarthy. McCarthy ndiyo likaja kuwa jina Mkate.
  10. JamiiForums Tanzania Tatizo sio mfumo wa ELIMU, tatizo ni asili ya watu

    Watanzania wengi Mimi nawaita vichaa kwasababu hawana uwezo wa kuhoji mambo ndani ya nafsi zao. Ikutokea mtu mwenye ushawishi katika jamii ameongea jambo, jambo hilo kwa 100% wataliunga mkono na kuliona liko sahihi. Kuna hoja ilitolewa na wapinzani na baadhi ya watu kuwa mfumo wa Elimu yetu ni...
  11. JamiiForums Tanzania TRAMEPRO Yasisitiza umuhimu wa Kulinda Urithi wa Mila, Utamaduni na Tiba Asili

    Na Mwandishi Wetu. SHIRIKA la Dawa Asilia na Ulinzi wa Mazingira (TRAMEPRO) limetoa limesisitiza kwa wananchi kuhusu umuhimu wa kulinda urithi wa mila, utamaduni, tiba asili na mazingira kama nguzo muhimu ya maendeleo endelevu ya Taifa. TRAMEPRO inasisitiza kuwa maeneo ya mila, maarifa ya tiba...
  12. A

    JamiiForums Tanzania KERO Kiluvya Makurunge: Barabara zinachongwa bila kujazwa kifusi wala kujenga mitaro. Wakati wa mvua ni changamoto kubwa kwa wakazi

    Kero ya bara bara Kiluvya Madukani kwenda Kiluvya Makurunge ni kubwa sana kwa wakazi na wawekezaji. Eneo hili ni asili ya udongo mfinyanzi, wakati wa mvua ni changamoto kubwa kwa wakazi licha ya ahadi ya viongozi kwa muda mrefu kuwa wataweka lami ila wakati tunasabiri ahadi hiyo kwa muda sasa...
  13. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nataka mwanamke mwenye umbile la asili

    Natafuta mwanamke mwenye umbile la asili sio surgery awe na tako kubwa asiwe amejichubua awe mzuri wa sura na tabia njema Asiwe mzanaki, asiwe mvivu wa kufanya kazi Ajue kulea watoto Awe na matumizi ya pesa mazuri Awe tayari kuishi popote hata kijijini Ajue kupika chakula Ajue romansi...
  14. JamiiForums Tanzania Ninatamani iwepo sheria ya kulazimisha watu kuitwa kwa majina yao ya asili ya makabila yao badala ya haya ya kizungu na kiarabu

    Katika mazuri machache aliyofanya dikteta Mobutu wa DRC (Zamani Zaire) ni kulazimisha wananchi wote kutumia majina asili ya makabila yao badala ya haya ya kigeni. Imesaidia sana kulinda utamaduni wao na inarahisisha kutambulika bila kujieleza sana. Tanzania tukiendelea hivi tutapoteza kabisa...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Baadhi ya mambo ambayo yamevumbuliwa au kuanzishwa na watu wenye asili ya kiyahudi

    Makampuni na Teknolojia Google – Sergey Brin, Larry Page Facebook / Meta – Mark Zuckerberg WhatsApp – Jan Koum, Brian Acton Intel – Andy Grove, Robert Noyce Oracle – Larry Ellison Dropbox – Drew Houston Snapchat – Bobby Murphy PayPal – Peter Thiel Palantir Technologies – Alex Karp WeWork –...
  16. U

    JamiiForums Tanzania Jenerali wa kwanza mwenye nyota nne mwenye asili ya Afrika ateuliwa jeshi la Navy Marekani tangu miaka 246 ya kuanzishwa jeshi hilo

    Semper Fidelis. In the Marine Corps, under President Donald J. Trump color does not matter. Merit does. For the first time in its 246-year history, the U.S. Marine Corps has promoted a Black officer to the rank of four-star general. General Michael E. Langley has made history. Commissioned...
  17. JamiiForums Tanzania Sangara Ziwa Victoria: Ni Baraka kwa Uchumi au Laana kwa Ikolojia ya Samaki wetu wa Asili?

    Habari za muda huu wana-JF, Nimekuwa nikifanya tafakari ya kina juu ya hali ya Ziwa Victoria tangu miaka ya 1980 hadi sasa. Wote tunajua kuwa katika miaka ya 1950, uamuzi ulifanywa wa kumwingiza Sangara (Nile Perch) ndani ya Ziwa Victoria akitokea Ziwa Albert na Mto Nile nchini Uganda. Lengo...
  18. JamiiForums Tanzania Mungu ndiye aliyetulazimisha waafrika tuachane na majina yetu ya Asili?

    Hivi mtu hawezi kuwa Muislamu safi bila ya kuitwa Hassan, Abdallah au Amour? Hivi kuwa Mkristo kuna uhusiano gani na mtu kuitwa John, Julius au stephano? Au Mungu wa wakristo na waislamu hapendi majina ya kiafrika hivyo akalazimisha kuwa ni lazima tutumie majina ya mataifa mengine? Siku hizi...
  19. JamiiForums Tanzania Asili ya neno "Bodaboda"

    Unajua watanzania wengi wakisikia neno Bodaboda wanajua ni neno lenye chimbuko la Kiswahili au lililoanzishwa Tanzania. Lakini si kweli Neno “bodaboda” halikuzaliwa Tanzania —lilizaliwa mpakani. Hapo zamani kidogo, miaka ya 1960–70, mpakani mwa Kenya na Uganda, kulikuwa na usafiri wa baiskeli...
  20. JamiiForums Tanzania Raia wa OMAN wenye asili ya Tanzania wamzawadia Rais Samia Gari lililotembea nchi zaidi ya tisa

    Katika kuutangaza utalii wa-OMAN ambao ni ndugu zetu wa damu wamekutana na Mhe.Rais Samia na kumkabidhi gari kama ishara ya kukuza utalii nchini.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…