asasi za kiraia

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    Giza la Kidigitali Tanzania: Asasi za Kiraia, Wananchi, na Mawakili Tusimame Pamoja Kukataa Aina Hii Mpya ya Udikteta

    Kumbukumbu za Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025 nchini Tanzania zitaendelea kudumu katika akili za wengi, si tu kwa matokeo yake, bali kwa "giza la kidigitali" lililotanda nchini kote. Uamuzi wa mamlaka kuzima mtandao wa intaneti na kufungia bila kimomo na bila kufuata misingi ya sheria mitandao...
  2. Bawabu wa pili

    Uganda yazifungia zaidi ya asasi 10 za kiraia kuelekea Uchaguzi Mkuu 2026

    Serikali ya Uganda imeyafungia mashirika yasiyo ya kiserikali 10, huku ikieleza sababu za kuchukua hatua hiyo. Uamuzi wa kusitisha kwa muda usiojulikana shughuli za baadhi ya mashirika yasiyo ya kiserikali (NGOs) nchini humo, umefanyika ikiwa ni siku moja kabla ya kufanyika uchaguzi mkuu kesho...
  3. DuaZaMama

    Maduu: kilio kikubwa cha Asasi za kiraia ni ulinzi wa haki za binadamu

    Ndugu Wakili Maduu William Afisa uchechemuzi kutoka kituo cha sheria na haki za binadamu (LHRC) kwa niaba ya kituo cha sheria na haki za binadamu akitoa salamu katika mkutano wa CHAUMMA Amesema kilio kikubwa cha Asasi za kiraia ni ulinzi wa haki za binadamu kwa nguvu zote na ulinzi wa utawala...
  4. Just Pray

    Asasi za kiraia zailalamikia CCM kauli zilizotolewa na UVCCM

    Mratibu wa Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu, Wakili Onesmo Olengurumwa, ameeleza kusikitishwa na kauli zilizotolewa na baadhi ya viongozi wa Jumuiya ya Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM), akisema zinadhoofisha jitihada za Asasi za Kiraia katika kuchangia maendeleo ya taifa. "Tumeona...
  5. figganigga

    PreGE2025 Orodha ya Asasi za kiraia zilizopata kibali kutoa Elimu ya Mpiga Kura wakati wa Uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura 2024/2025

    ORODHA YA ASASI ZA KIRAIA ZILIZOPATA KIBALI CHA KUTOA ELIMU YA MPIGA KURA WAKATI WA UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA 2024/2025 JINA LA ASASI YA KIRAIA 1. The Tunu Pinda Foundation 2. Makangarawe Youth Information and Development Centre 3. Save the Community Tanzania 4. Yiaga...
  6. Mindyou

    LGE2024 Dar Es Salaam: TGNP na LHRC zaungana kutoa elimu na kuwahasa wananchi kushiriki kwenye kampeni za Uchaguzi wa Serikali za mitaa

    Kuelekea uchaguzi wa serikali za mitaa unaotarajiwa kufanyika Novemba 27, 2024, wananchi wamehimizwa kushiriki kikamilifu katika kampeni za wagombea wa nafasi mbalimbali za uongozi. Wito huo umetolewa na Afisa Uchaguzi wa Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC), Wakili Maduhu William...
  7. MSONGA The Consultant

    Zifahamu Asasi za kiraia (Civil society organizations)

    Kwa muda mrefu, Asasi za Kiraia zimekuwa zikitambulika kwa majina tofauti tofauti kama vile; sekta ya kujitolea yaani “voluntary sector”, sekta isiyotengeneza faida, yaani “not-for-profit sector”, sekta ya hisani, yaani “charitable sector” au sekta ya tatu, yaani “third sector” baada ya sekta ya...
  8. Roving Journalist

    Asasi za Kiraia waiomba Serikali kuwawezesha wenye ulemavu Kidijitali

    Asasi za Kiraia nchini kupitia Shirika la The Foundation for Civil Society (FCS), imeiomba Serikali iangazie katika kuhakikisha makundi maalum yanawezeshwa kufikia miundombinu ya kidigitali ili waweze kushiriki katika michakato ya maendeleo na kujiimarisha kiuchumi. Hayo yamesemwa na Meneja...
  9. Pfizer

    Asasi za Kiraia zaitaka TRA kuwaondolea kodi ili Watekeleze Majukumu yao kwa Uhuru

    Chama cha Wanasheria Tanganyika kimewaleta pamoja Wana-AZAKI nchini Tanzania Bara na Visiwani kujadili na kubainisha changamoto za kisera na kisheria zinazohitaji maboresho na mikakati madhubuti ya kiutatuzi ili kuboresha ufanisi wao wa wakiutendaji nchii. Akiongea Mkoani Morogoro, leo Tarehe...
  10. Pfizer

    PICHA: TLS yawakutanisha Wana-AZAKI nchini Tanzania Bara na Visiwani, ili kujadili na kubainisha changamoto za kisera na kisheria zinazowakabili

    Chama cha Wanasheria Tanganyika(TLS) kimewaleta Pamoja Mkoani Morogoro leo Tarehe 10 Mei 29024 Wana-AZAKI nchini Tanzania Bara na Visiwani kujadili na kubainisha changamoto za kisera na kisheria zinazohitaji maboresho na mikakati madhubuti ya kiutatuzi ili kuboresha ufanisi wao wa wakiutendaji...
  11. BARD AI

    Wiki ya asasi za kiraia yazinduliwa Dar es Salaam

    Mbunge wa Jimbo la Kigamboni, Faustine Ndungulile amezitaka asasi za kiraia kuwa vinara wa kutoa mtazamo mbadala kuhusu miswada inayowasilishwa ili kuwasaidia wabunge kufanya maamuzi sahihi. Ndugulile amesema kazi hiyo kufanywa katika hatua za awali kabla ya muswada kuwa kwenye hatua za mwisho...
  12. MSONGA The Consultant

    Mkakati wa Kuongeza Vyanzo vya Fedha kwa Asasi za Kiraia (AZAKI)

    Asasi za Kiraia (AZAKI) katika nchi nyingi zinazoendelea, ikiwemo Tanzania, zinategemea ufadhili wa ndani na nje ili kutekeleza miradi na mipango. Vipaumbele vya wafadhili vimekuwa vikibadilika mara kawa mara, hali iliyopelekea upungufu wa ufadhili kwenye baadhi ya sekta. Ushindani miongoni mwa...
  13. Paul Isaac

    SoC03 Uwajibikaji na Utawala bora: Mabadiliko yanayohitajika Tanzania

    Utangulizi Uwajibikaji na utawala bora ni masuala muhimu katika kukuza maendeleo endelevu na ustawi wa jamii katika Tanzania. Kwa muda mrefu, nchi yetu imekabiliwa na changamoto katika nyanja mbalimbali, ikiwa ni pamoja na ufisadi, ukosefu wa uwazi, na udhaifu katika utekelezaji wa sheria...
  14. The Sheriff

    Kuna Umuhimu wa Serikali na Asasi za Kiraia kuongeza Ufahamu na Uelewa wa Wananchi kuhusu Sheria zinazohusu Usalama wa Kidigitali

    Sheria za usalama wa kidigitali zinahusiana moja kwa moja na ulinzi wa haki za binadamu, kama vile haki ya faragha, uhuru wa kujieleza, na haki ya usalama binafsi. Kujua sheria hizi kunaweza kusaidia kuzuia ukiukwaji wa haki hizo na kushughulikia ukiukwaji wowote ambao unaweza kutokea. Kwa...
  15. Roving Journalist

    THRDC, EAHRI na DPI watoa Mafunzo kuhusu Utakatishaji Fedha na Njia zinazotumika Kufadhili Ugaidi kupitia Asasi za Kiraia

    Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania (THRDC), kwa kushirikiana na Taasisi ya Haki za Binadamu Afrika Mashariki (EAHRI) na Shirika Lisilo la Kiserikali Defenders Protection InternationaI (DPI) lenye Makao yake Nchini Uganda wameendesha Mafunzo ya Siku 2 yanakayofanyika Dar es salaam...
  16. Getrude Mollel

    Serikali ya Rais Samia Suluhu yaahidi kuimarisha uhusiano wake na Asasi za Kiraia (AZAKI)

    Ni siku 565 tangu Rais Samia Suluhu aingie madaraki, na Serikali yake imekuwa mstari wa mbele katika kuimarisha uhusiano wake na asasi za kiraia nchini katika kutambua mchango wa asasi hizo katika ujenzi wa Taifa. Kupitia Mwenyekiti wa Mashirika yasiyokuwa ya Kiserikali, Mwantumu Mahiza...
  17. J

    Umuhimu wa Taarifa: Nini Nafasi ya Watunga Sera, Mahakama na Asasi za Kiraia?

    NAFASI YA WATUNGA SERA: 1) Kujenga uelewa kwa Umma juu ya Haki ya Faragha na Ulinzi Wa Taarifa 2) Kushirikiana kwa karibu na Wadau wengine kuhusu Masuala ya Kulinda Taarifa 3) Kutengeneza Mifumo ya Kulinda Taarifa kulingana na Sheria na Viwango vya Kimataifa vya Haki Za Binadamu ASASI ZA...
  18. beth

    Mbunge Neema Lugangira: Sheria ya Ulinzi wa Data iharakishwe

    Mbunge Neema Lugangira amesema mchakato wa Anuani za Makazi unaleta changamoto kubwa ya Usalama wa Taarifa Binafsi za Watu, akitoa wito wa kuharakishwa kwa Sheria ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi. Amesema, "Natambua zipo Asasi za Kiraia ambazo zimeshaanza Mchakato huu, mfano ni Jamii Forums na...
  19. G-Mdadisi

    Asasi za Kiraia: Kukosekana kwa Mifumo Imara chanzo Wanawake kukosa haki za Uongozi Zanzibar

    ZANZIBAR IMEELEZWA kuwa kukosekana kwa mifumo imara inayotoa fursa sawa za upatikanaji wa haki za msingi kwa wanawake na wanaume katika jamii nyingi nchini ndio chanzo cha wanawake wengi kukosa uwezo wa kusimama kudai haki zao na kushiriki kikamilifu katika ngazi mbalimbali za maamuzi. Hayo...
  20. Mromboo

    Hivi Mwigulu anajua asasi za Kiraia zimeajiri watu wangapi? Aziomba hela za NGO's kutoka USAID

    Hivi Mwigulu anajua asasi za Kiraia zimeajiri watu wangapi? Vijana wanateseka hawana ajira lakini hata wale walioajiriwa na asasi za kiraia Mwigulu anataka kuwanyang'anya hela ili hao vijana wakose ajira ilihali serikali nayo haina ajira. Mwigulu hapa umepotoka na naona ni kati ya watu ambao...
Back
Top Bottom