asali

Sohan asali (Persian: سوهان عسلی‎, romanized: sohān-e asali; from asal "honey") is a kind of Iranian cuisine pastry or candy (sohan). It is made of honey, sugar, saffron, almond or other nuts and cooking oil.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania JLW: 🥒 Kipisi cha Dude na Ulimbo wa Asali! 🔞

    Wandewa, faragha sio uwanja wa mapambano ya ngumi au mbio za mita mia! Ule ni mchezo wa bao la kete—unataka akili, subira, na kucheza kwa kunyata sana. Unalivaa futa utadhani unakamata mwizi wa kuku? Kweli??, halafu unategemea kukutana na mteremko wa asali? Siri ya mchezo inakuambia wazi...
  2. JamiiForums Tanzania Yusuf Makamba na January Makamba wanalambia wapi Asali kwa sasa? Mzee amekuwa kimya sana

    Mzee Bwatubwatu, Mungu akikunyima akili angalau akupe busara . Ukikosa vyote huwa ukipewa chakula ukala ukashiba basi unaanza kutoa gesi tu bila aibu. Kwa sasa Makambas wamekuwa Makambakos. Kimya sana. Nao wametengwa. Wapo nje ya mfumo. Hawana heshima kwa Mungu wala kwa Shetani. Ndo ubaya wa...
  3. JamiiForums Tanzania Tunauza Asali Mbichi

    Habarini wakuu, Tunauza asali mbichi kutoka Tabora na Dodoma. Ni pure na filtered. Bei zetu ni rafiki: Nusu lita: 7,000/= Lita 1: 13,000/= Lita 5: 60,000/= Pia unaweza pata lita 20 na kuendelea kwa bei nafuu sana. Free delivery kwa wakazi wa Dar. Karibuni sana. Mawasiliano: +255 744 059782
  4. JamiiForums Tanzania Ukweli ambao wanasiasa na walamba asali au wafuata mikumbo hawataki kabisa kuusikia

    Wanasiasa waambiwe kuwa bila uwepo wao hakuna kitakachokwama, hakuna kitakachoharibika. Huu ukweli hawautaki kabisa wanasiasa Kuna mwanasiasa mmoja sasa hivi marehemu, jamaa aliaminishwa kuwa akimaliza kutawala awamu zake mbili nchi italala , nchi itasimama. Walamba asali na wafuata mikumbo...
  5. JamiiForums Tanzania Mauzo ya Asali Tanzania Yapaa kwa 68.4%!

    Thamani ya mauzo ya asali imeongezeka kutoka Sh bilioni 11.4 mwaka 2024 hadi kufikia Sh bilioni 19.2 mwaka 2025, ikiwa ni ongezeko la asilimia 68.4. Mafanikio hayo yanaendelea kuimarisha hadhi ya Tanzania katika soko la kimataifa la asali.
  6. JamiiForums Tanzania Faida za Asali Mbichi isiyochakatwa

    Haina uchakataji mwingi: Asali mbichi haijapashwa joto kali, hivyo huhifadhi virutubisho vyote vya asili. Ina enzymes hai: Ina vimeng’enya vinavyosaidia mmeng’enyo wa chakula na afya ya mwili. Ina bakteria wazuri (probiotics kwa kiasi): Husaidia usawa wa bakteria kwenye mfumo wa chakula. Ina...
  7. JamiiForums Tanzania Utamu wa Asali ulivyomkamatisha Jasusi wa Israel kizembe

    Katika maisha ya hapa bongo, unaweza kutana tu na mtu labda tuseme ni mfanyakazi mwenzako, au ni mfanyabiashara au hata bodaboboda akiendelea kupiga mishe zake tu za kawaida na mambo yanaenda. Lakini mtu wa namna hii unaweza kukuta ni mwajiriwa anayefanya kazi kwenye idara ya kijasusi. Japo...
  8. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Ukiona mtu anatetea sana Serikali hii, jua kuna asali ilipita kwake. Mfano Majizzo

    Hawa wanaotetea serikali hii ukichunguza sana utafahamu nini kipo nyuma ya pazia. angalia hapa Angalia hapa unajua kampeni ya kuleta wasanii na yeye kujifanya kama marehemu ruge. Mimi nawaambia kila siku ukiona utajiri wa mtu gafla ujue nyuma ni mali za watu hizo angalia hapa mwenye mali.
  9. JamiiForums Tanzania HODI TANGA YA MAZIWA NA ASALI

    Nimekuja kumalizia likizo yangu jiji la upendo na ukarimu kwa wageni hapa. Please wapi naweza pata kampani ya sex tofauti namaanisha pisi kali tule maisha sina kipengele just for enjoyment. Wenye ramani ya machimbo nielekezeni nkatembee na kujionea yasemwayo. Nipo tanga mjini
  10. JamiiForums Tanzania GE2025 Kumbukizi: Kabla Baba Levo hajalamba asali, Wasanii wengi wanakimbilia chama tawala kwa sababu ni waoga

    "Wasanii wengi wanakimbilia chama tawala; wasanii wengi ni waoga. Wasanii wengi hawapendi bughudha; wasanii wengi wanapenda vitu vya mteremko, vitu rahisi rahisi; hawapendi ‘fighting’". Clayton Revocatus Chipando 'Baba Levo', akizungumza katika kipindi cha Salama Na, Julai 26, 2020.Ambaye kwa...
  11. R

    JamiiForums Tanzania Mzee Butiku kimekupata nini? Au tayari umelamba asali

    Heshima uliyojijengea miaka 85 ya umri wako umeiharibu ndaninya dakila 10 za press yako. Ulaaniwe milele na Nyerere akupige kofi huko aliko. Nyote semeni AMEN.
  12. JamiiForums Tanzania Ukifanya mzaa unaweza kufa njaa kwenye nchi ya asali na maziwa

    Mbeya vyakula ni bei nafuu lakini amini nakwambia kuna watu wamelala na njaa huko Mbeya. Ukiwa na access ya kupata milo mitatu per day brother wewe umefanikiwa tembea kifua mbele mengine ni minor issues utazisolve ukiwa umeshiba. Mungu amuongezee neema mwarabu wa Africable pale Mivinjeni kwa...
  13. JamiiForums Tanzania GE2025 Hawa vijana ni kama maeneo yao hayana changamoto kabisa, wamelambishwa asali au wanajisahau?

    Ukiwaangalia harakaharaka hawa vijana ni kama wameonjeshwa maji wakiwa jangwani halafu wakasahau kuhusu ukame wa maji kwenye jangwa walilopo na kugeuka kumsifia aliyewaonjesha badala ya kutaka suluhu itakayowakomboa wanabaki kuwa watumwa. Fursa kama hizi wanazozipata kwenye media ni nafasi...
  14. L

    JamiiForums Tanzania Hata ashushwe Malaika kuja kuwaongoza Watanzania Bado Watapiga Makelele na kutaka awafanyiage miujiza ya kuwawekea Mabomba ya asali na Maziwa Midomoni

    Ndugu zangu Watanzania, Watanzania hawaeleweki wanataka nini siku zote, Watanzania hawaelewi wanahitaji nini Maishani Mwao. watanzania hawana shukurani wala kuridhika wala kutosheka wala kusema asante kwa juhudi zako . Wao kila kitu kwao ni kibaya. Leo watataka hiki lakini kesho ukiwapa...
  15. JamiiForums Tanzania Nauza asali ya unga. Atakayehitaji tuwasiliane

    TANGAZO. IJUE ASALI YA UNGA ( POWDERED HONEY) Dawa ya asili yenye maajabu ya kipekee. Ni dawa iliyotengenezwa kwa mchanganyiko wa ASALI NA MIMEA (mitishamba) Dawa ambayo imeonyesha mafanikio makubwa kwa kutibu maradhi mbalimbali kama vile: 1.Maumivu ya kichwa , mgongo, kiuno , magoti na...
  16. JamiiForums Tanzania Polepole atafutiwe buyu la asali akae kimya

    Huyu jamaa amegewe Ile michango ya madon pale mlimani city abuye akae kimya. Watu wana bills za kulipa unaleta ujuaji!
  17. JamiiForums Tanzania Kumbukizi: Comment ya Kitila Mkumbo JF Kuhusu Chanel ten 2009 kabla hajalamba Asali

    GT Watu wanasema hata shetani zamani alikuwa malaika aha 😆 🤣 😄 😂 kwa kweli wansiaisa wetu wa mchongo wanalithibitisha hilo..
  18. JamiiForums Tanzania Nauza asali ya nyuki wakubwa

    Habari wana JF Kama kichwa kinavyo jieleza hapo juu☝️. Nina asali ya nyuki wakubwa 80L Kwa anaye hitaji anaweza nicheki pm au kwa namba yangu cm tufanye biashara . ☎️0744355748 normal call &WhatsApp ✅️ Matajiri 250,000/= kwa lita 20
  19. D

    JamiiForums Tanzania Punguza uzito kwa asali na maji tu

    Kama unapambana na uzito mkubwa au unataka kulinda mwili wako usiongezeke, kuna njia rahisi na salama unayoweza kuanza leo. Soma kwa makini maelezo haya, hasa kama unataka kuondoa kitambi na kufanya ngozi yako ipendeze. wewe ni mwanaume au mwanamke, kitambi kinaweza kupotea kabisa. Faida kwa...
  20. JamiiForums Tanzania Tetesi: Kuna vigogo walambishwa asali wameandaliwa kama mashaudi kwenye kesi ya Lissu

    taarifa za ndani na za kiintelijensia ( These are very classified) ni kwamba OMBI la DPP kutaka ushahidi mficho ni kwasababu miongoni mwa mashahidi ni wanachama WA CHADEMA ambao hawamuungi mkono mheshimiwa na wengine walilamba ASALI wako CHAUMMA na baadhi ni Watu wazito Kwenye taasisi za...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…