arusha

  1. JamiiForums Tanzania Rais Samia tuondole DC Mtanda Arusha

    Arusha ni Mkoa wa pili kwa kuingiza mapato baada ya Dar. Mapato maana yake shughuli za kiuchumi ikiwemo utalii,madini,biashara za mazao mbali mbali ya kilimo hasa mboga mboga na matunda. Nature ya mji wa Arusha ni starehe Hotel,Pub ....... DC mtanda kaanzisha sokomoko la aina yake anatembea...
  2. JamiiForums Tanzania Jifunze namna ya kuandika Business Plan

    Tar 7-8/01/2023 saa 3-9 jion Arusha, Maji ya chai, mafunzo namna ya kuandika BUSINESS PLAN kwa ajili ya ufugaji wa Kuku wa Nyama, Mayai na wa kienyeji, lengo ni kukusaidia kuwa na uwezo wa kuandika mchanganuo wa mkopo. Mahali: Arusha Maji ya chai. Mafunzo ni bure. 0788811136
  3. R

    JamiiForums Tanzania Natafuta mkulima wa bamia Arusha

    Habari wakuu. Natafuta mkulima wa bamia Arusha. Nahitaji debe/ndoo angalau 40 za bamia iliyo tayari. Mawasiliano 0656388678
  4. JamiiForums Tanzania Arusha: Ahukumiwa kifungo cha miaka 30 jela kwa kumbaka mtoto

    Mkazi wa kijiji cha Geilailumbwa kilichopo wilayani Longido mkoani Arusha, Lemindia Lesiria amehukumiwa kifungo cha miaka 30 jela baada ya kukutwa na hatia ya kumbaka binti mwenye umri wa miaka 16. Mbali na kosa hilo mtuhumiwa huyo na rafiki yake, Kulasa Mandeu wamekutwa na hatia katika makosa...
  5. JamiiForums Tanzania Natafuta kiwanja Arusha

    Nijikite kwenye mada moja kwa moja, natafuta kiwanja cha kujenga nyumba, maeneo ya Arusha isipokuwa nje ya mji kidogo, eneo la wastani tu kama 20x25… bajeti ni milioni tatu 3,000,000/-. Kiwanja kisiwe mbali sana kutoka barabarani, Nyakati hizi za mvua ndio pendekezwa kujionea hali ya kiwanja...
  6. JamiiForums Tanzania Ukiachana na Dar es salaam kuna mkoa wenye madada poa (wanaojiuza) kuishinda Arusha?

    Dar es Salaam ni special case maana nadhani hata police wameshindwa kudhibithi ili janga, nilipata nafasi ya kutembelea huko jijiji dar in short sehemu yoyote ile ndani ya dar ukitaka utelezi ni chaap hata uhangaiki, ukitaka first class mpaka wale wa lower class ni wewe tu. Ukiachana na...
  7. JamiiForums Tanzania Msaada mabasi ya kwenda Arusha toka Dodoma

    Naomba msaada kujua mabasi ya kwenda Arusha, nilikuwa napanda Shabiby na yamejaa mpaka tarehe 26, binafsi nataka safiri kesho mchana tarehe 21.
  8. JamiiForums Tanzania January Makamba nikuulize unijibu, umeme ulianzia Singida ~ ARUSHA ~ Namanga ~ Nairobi nini kinaendela?

    Rais JPM alibuni mradi wa kisasa wa kutoa grid ya Taifa kutokea SINGIDA~ BABATI.~ ARUSHA~ NAMANGA ~ NAIROBI. Plan hii ingezalisha umeme mkubwa kwa mikoa mradi unakopitia na kuuza umeme Kenya. Sasa nyaya zimesambazwa singida hadi arusha , kutoka arusha kuelekea Namanga kuna ngozo zachuma hakuna...
  9. JamiiForums Tanzania Arusha: DC Mtanda akanusha madai ya Gambo kusakwa na viongozi wa Serikali ili auawe

    Mkuu wa Wilaya Arusha (DC), Said Mtanda amesema hakuna mpango wowote wa kiongozi wa Serikali kumuuwa Mbunge wa Arusha Mjini (DC), Mrisho Gambo. Akizungumza na waandishi wa habari DC Mtanda amesema Serikali haina nia ovu dhidi ya Gambo. "Nimekuwa nikiona na kufuatilia kwenye mitandao ya kijamii...
  10. JamiiForums Tanzania Kongamano la Mwamposa Arusha, naombeni ushauri wa biashara ya kufanya

    Habarini, Nimepata kibanda (eneo la biashara) katika kongamano la Mwamposa litakaloanza siku ya Alhamisi - Jumamosi katika viwanja vya Kisongo Magereza. Bidhaa gani zipo hot sana niweze kucheza na hii fursa? Karibuni wenye uzoefu na hii kitu. Ahsanteni.
  11. JamiiForums Tanzania Tsh. Milioni 400 za Bodaboda Arusha zayeyuka, DC na Mbunge watajwa

    Hali si shwari ndani ya chama cha waendesha bodaboda Jiji la Arusha (Uboja) baada ya kubainika zaidi ya Sh400 milioni zimetolewa kwenye akaunti ya chama hicho huku baadhi ya fedha hizo zikidaiwa kutumika kisiasa. Fedha hizo zinadaiwa kutolewa kwenye akaunti ya umoja huo kuanzia mwaka 2018 hadi...
  12. S

    JamiiForums Tanzania Umeme na maji vitaendelea kupatikana kila siku baada ya Rais kuondoka Arusha?

    Tunajiuliza sana je, umeme huu tuliyoushudia ukiwaka full time tutaendelea kuwa nao? Au ndiyo ataondoka nao? Tunamshukuru sana kwa kuwa hapa, maana kwetu tunatamani angeendelea kubaki kwani hata maji yapo ya kutosha. Je, akioondoka itakuwaje? Hatuna mengi sisi tunasubiri yajayo!
  13. JamiiForums Tanzania Arusha: Aachwa na Mumewe baada ya kuchora picha ya Nabii Mkuu

    Mwanamke Mmoja jijini Arusha amechora picha yenye jina la mtumishi wa Huduma ya Ngurumo ya Upako anayefahamika kwa jina la Nabii Mkuu Geor Davie. Mwanamke huyo alipoulizwa kwa nini amechora tatoo yenye jina la nabii huyo, alijibu anampenda licha ya kuwa anapitia mwengi. "...Ni jambo la baraka...
  14. JamiiForums Tanzania Rais Samia akiwa Arusha ameshindwa kujibu swali la mbunge wa Arusha mjini kuhusu mgao wa umeme

    Akijibu suala la kukatika kwa umeme, Naibu Waziri wa Nishati, Stephen Byabato aliwataka Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco) kufanya ushirikishaji wa viongozi waliopo katika maeneo ili kukubaliana ni maeneo gani ya muhimu kwa ajili ya kupeleka umeme ikiwemo yale ya uzalishaji. Ninajiuliza sipati...
  15. J

    JamiiForums Tanzania PICHA: Hii ndio Ofisi Mpya ya CCM Arusha iliyokaguliwa na Rais Samia, kuna Chama kilikusanya zaidi ya TZS 18bln Ofisi yao ya Taifa inazidiwa na hii

    Kuna Chama kikubwa cha Upinzani hapa Tanzania Kati mwaka 2015-2020 kilikusanya zaidi TZS 18bln ikiwa ni pesa ya ruzuku Ila mpaka naandika makala hii Kuna baadhi ya majengo yao pale HQ Wanapanga, CCM itabaki ni Chama kiongozi na tutaongoza kwa kapindi kirefu sana.
  16. JamiiForums Tanzania Ni mamlaka ipi yenye wajibu wa kusimamia matumizi salama ya barabara katikati ya jiji la Arusha?

    Hii nimeiona leo ktk jiji la arusha kwenye barabara ya jogoo house kwenda uhuru road,duka la vinywaji la MAINA HOLDINGS kwa namna wanavyopaki magari yao na hata magari ya wateja siyo salama kabisa kwa sababu barabara ni vinyu hairuhusu gari kupaki kwa kukatiza barabara kwani hii ni hatari kwa...
  17. JamiiForums Tanzania James Millya pamoja na genge lake anapanga mipango ya kuvuruga uchaguzi wa CCM mkoa wa Arusha

    Na Mwandishi wetu, Arusha. Mbunge wa bunge la Afrika Mashariki Mhe James Millya pamoja na genge lake anapanga mipango ya kuvuruga uchaguzi wa CCM mkoa wa Arusha kama mgombea wake anayegombea UNEC hatoshinda. Taarifa kutoka kwenye genge hili la kina James Millya zinasema kuwa kwenye vikao...
  18. JamiiForums Tanzania Dunia kweli duara, leo hii Arusha wanalalamika Majambazi wanavunja maduka mchana kweupe

    Hii Dunia hii ukiona mwenzio ananyolewa wewe kasuke rasta. Watu wa Mikoani wameanza kuitikia Chorus. Arusha maeneo ya Ngalelo. Majambazi wanapita mchana wanaangalia duka wanalopenda wanapora wanaenda na la pili mpaka manne sometimes. Wanaondoka zao. Najiuliza wananchi wanafanya nini? Wanakuja...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Jinsi nilivyonusurika kuuawa Arusha sababu ya mapenzi

    Basi bwana siku moja nikiwa Dom, simu ikaita, kuangalia hivi ni 'baby' wangu wa zamani ati anataka niende kumsalimia ati kanikumbuka, mara kakumbuka 'show' za kibabe pamoja na kunibania pua mradi tu nimuelewe. Nilikuwa natamani kwenda Arusha na kweli nimemkumbuka hatari, nikaona isiwe kesi...
  20. K

    JamiiForums Tanzania Chini ya Uongozi wa Rais Samia, Vikundi 52 vyanufaika Arusha

    Msisitizo wa Rais Samia Suluhu ni 10% za mapato ya Halmashauri zitolewe kama mkopo kwa Vijana, wananawake na walemavu. Pesa hizo zinasaidia makundi hayo kujiajiri na kuendesha maisha yao ya kila siku. Mkoani Arusha milioni 404.5 zimetolewa kwa vikundi 52 vya ujasiriamali. Katika vikundi hivyo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…