Tunatafuta wadada wa kuhudumia wateja katika Barbeshop yetu iliyopo Olasiti,Arusha.
Sifa zinazohitajika
Awe smart na mwenye muonekano mzuri
Awe anajua kufanya scrub,Massage ya Kichwa na shingo
Awe msafi na anayejitambua
Awe mchangamfu na anayejua kuongea vizuri na wateja
...