SweetyCandy
JF-Expert Member
- Sep 17, 2022
- 5,259
- 9,997
Ghorofa inauzwa B.2.7ml lip0 mjini Arusha Centre . Zipo floor 6 bado linafanya biashara . Nipm kama unahitaji
Babe hili gorofa tumelijenga kwa gharama kubwa zaidi ya hii bilioni 2.7Ghorofa inauzwa B.2.7ml lip0 mjini Arusha Centre . Zipo floor 6 bado linafanya biashara . Nipm kama unahitaji
Acha mataniBabe hili gorofa tumelijenga kwa gharama kubwa zaidi ya hii bilioni 2.7
Halafu unaliuzaje peke yako tena kwa bei ya hasara wakati kesi ya kugawana mali iko mahakamani?
Unamuachia mjukuu wangu anilee, wewe bibi yake unataka kwenda wapi?