arusha

  1. 3-Star General

    JamiiForums Tanzania Utafiti: Popular cars Arusha ni Land Cruiser, Rav4 na Alphard

    Juzi nilikuwa na kazi moja kwenye maeneo mbalimbali ndani ya Jiji la Arusha siku nzima. Sasa, kutokana na msongamano unaotokana na ongezeko kubwa la magari ilibidi nijipe dual-work na kufanya simple observational cross sectional study (Utafiti mdogo wa kutazama katika wakati mahususi). Lengo...
  2. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Paul Makonda: Arusha sasa inazalisha Magari aina ya Defender na kuyapeleka Ulaya

    Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Makonda, ameweka wazi kuwa Arusha imeanza kutengeneza magari aina ya Defender, ambayo sasa yanauzwa Ulaya. Akizungumza kwenye kongamano la Radiolojia lililofanyika leo Oktoba 9, jijini Arusha mbele ya Naibu Waziri Mkuu, Doto Biteko, Makonda ameeleza kuwa magari hayo...
  3. funaku

    JamiiForums Tanzania Arusha LandRover festival set to break World Record!

    Let us all stay tuned! Arusha Region is an iconic Tanzania Tourist attraction City in Africa which is located about 350 kilometers to The famous Serengeti National Park. The Regional Authority Under Paul Makonda has organized a tremendous and spectacular brand of Land Rover caravan ..a parade...
  4. S

    JamiiForums Tanzania TBC; walimu Arusha hawatumii nishati chafu bali ni kumuunga mkono Rais Samia. Mtutake radhi.

  5. G

    JamiiForums Tanzania Kwetu wakristo watoto wa nje wana haki sawa ya kurithi mali kama watoto wa ndani ya ndoa, Dada wa Arusha awape mali watoto wa Housegirl

    Watoto wote wana haki sawa, maamuzi ya wazazi hayana uzito wa kuwabagua, Mali zipigwe pasu kwa pasu kwa watoto wote bila kujali ni wa ndani ya ndoa au nje. Nimeshangazwa kusikia kinachoendelea huko Arusha kwamba mke wa marehemu bilionea YTemu anajitetea kwamba walifunga ndoa ya kikristo ya mke...
  6. Mindyou

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Arusha: Mrisho Gambo amuahidi Rais Samia kulinda mitaa kwenye Uchaguzi Wa Serikali Za Mitaa ili kutengeneza jeshi kwenye Uchaguzi Mkuu

    Wakati taifa likiwa linaelekea kwenye uchaguzi wa Serikali za Mitaa mwezi Novemba, Mbunge wa Arusha Mjini, Mrisho Gambo amemuahidi Rais Samia kutumia viongozi watakaochaguliwa na wananchi kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa kama Jeshi la kumtetea Samia kwenye uchaguzi mkuu. Soma pia: Ruvuma...
  7. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Waziri Mchengerwa: Arusha Mlijichelewesha Wenyewe Kwa Siasa za Majitaka

    Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Mohamed Omary Mchengerwa, akizungumza wakati wa mkutano wa hadhara wa kuhitimisha ziara yake ya kikazi, uliofanyika leo Ijumaa, Oktoba 04, 2024, katika Uwanja wa Kituo cha Mabasi cha Kilombero Jijini Arusha, amesema...
  8. zigi 01

    JamiiForums Tanzania Naombeni ushauri chuo gani kizuri kwa kozi ya ICT

    Naombeni ushauri chuo gani kizuri kwa kozi ya ICT kati ya vyuo hivyo hapo kwa level ya degree!. Chuo kizuri kwa kozi ya ict kati ya must, arusha tech na ardhi
  9. Wizara ya Ardhi

    JamiiForums Tanzania Samia AFCON City kuoamba Jiji la Arusha

    Arusha Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. Deogratius Ndejembi ametembelea eneo utakapojengwa Mji wa “Samia AFCON City” kwenye eneo linalozunguka Uwanja Mpya wa Michezo unaojengwa eneo la Mirongoine jijini Arusha. Waziri Ndejembi amefanya ziara hiyo Oktoba 03, 2024 kukagua eneo...
  10. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Arusha: Mfanyabiashara wa madini auawa mlima wa maombi, wauwaji watuma meseji

    Mwili wa Mfanyabiashara wa madini ya ujenzi, David Mollel mkazi wa Kata ya Moivaro, umekutwa ukining’inia kwenye mti juu ya Mlima Oldonyowas, jirani na eneo linalotumika kwa maombi. Inadaiwa Mollel mwenye umri wa kati ya miaka 50 na 55, aliuawa na watu wasiojulikana usiku wa kuamkia Jumanne...
  11. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Mkaguzi Kata ya Kisangura (Mara) awapatia Wananchi wenye uhitaji viti mwendo

    Mkaguzi Kata ya Kisangura Wilayani Serengeti Mkoa wa Mara Mkaguzi Msaidizi wa Polisi A/Insp Genuine Kimario ametoa viti mwendo kwa wananchi wahitaji. Mkaguzi huyo amebainisha kuwa ameendelea kutoa viti mwendo hivyo kutokana na changamoto aliyoikuta kwa wananchi anao wahudumia ambapo aliwaomba...
  12. Pdidy

    JamiiForums Tanzania Polisi Arusha kuchunguza Tukio la Kifo cha Mtu mmoja Eneo la Moivaro

    Juzi kati nasoma mtoto wa miaka 54 kamuua mama yake kisa maki za urithi; ======= Jeshi la Polisi Mkoa wa Arusha linafanya uchunguzi wa kifo cha David Mollel mwenye umri unaokadiriwa kuwa kati ya miaka 50 hadi 55 mkazi wa Baraa Jijini Arusha aliyekutwa amefariki dunia, huku mwili wake ukiwa...
  13. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Polisi na TANROADS - Arusha wafanya ukaguzi wa maeneo hatarishi kwa ajali

    Jeshi la Polisi kikosi cha Usalama Barabarni Mkoa wa Arusha kwa kushirikiana na wakala wa Barabara (Tanroads) Mkoa wa Arusha katika kuhakikisha wanadhibiti ajali za barabarani wameendelea na ukaguzi wa maeneo hatarishi ambayo yanatokea ajali za mara kwa mara huku wakiweka wazi kuchua hatua za...
  14. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Yaliyojiri kuelekea Uchaguzi wa Serikali za Mitaa Mkoa wa Arusha - Novemba 27, 2024

    HISTORIA Mkoa wa Arusha ni moja kati ya Mikoa 26 ya Tanzania Bara, wenye ukubwa wa KM za mraba 34,515.5. Idadi ya watu kwa ongezeko la 2.7% kwa mwaka na inakadiriwa kufikia jumla ya watu wapatao 1,835,787 ambapo wanawake wakiwa sawa na 51.5% na wanaume 48.5% Mkoa wa Arusha umepakana na Mkoa wa...
  15. A

    JamiiForums Tanzania Magufuli angekuwepo, awamu mpya ya SGR ingekua Dodoma - Arusha na Moshi

    Naanza kwa kuipongeza Serikali kwa kazi nzuri ya Ujenzi wa Reli ya Mwendo kasi inayo endelea, hakuna shaka yeyote kwasasa watanzania wamesha anza kuonja matunda ya reli hiyo wakitokea Dar - Dom na Dom - Dar, ikijumuisha maeneo yote yaliyo kati ya Dom Dar nao wananufaika Kwa namna inavyoonekana...
  16. Abdul Said Naumanga

    JamiiForums Tanzania ARUSHA: Polisi yadaiwa kumuua mfanya biashara Johnson Joseph mbele ya familia yake kwa kushushiwa kichapo huku akiwa amefungwa pingu

    Credit kwa WasafiTv👇🏼 https://youtu.be/dl-pDpB8K2Y?si=AssMQvmbRoW28ILy Johnson Joseph, mkazi wa Murieti, jijini Arusha, na mfanyabiashara wa vyuma chakavu, anadaiwa kuuawa na watu wawili waliodai kuwa maafisa wa polisi katika mtaa wa Eso, kata ya Ungalimited. Tukio hilo linadaiwa kutokea...
  17. SSH2025_2030

    JamiiForums Tanzania Bajeti ya Land Rover festival Arusha inatoka kwenye fungu gani la bajeti?

    Gharama za Land rover festival Arusha zinatoka kwenye fungu gani kwenye bajeti? Media, kwenye speeches hiyo festival inatajwa kama vile ni jambo la kipaumbele zaidi kuliko Afya, Elimu, barabara na maji. Kipaumbele vyetu Kwa sasa ni Festivals?
  18. Q

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: Aliyeongoza Kikosi cha wauaji walioagizwa kuniua ni Paul Makonda, ndio maana Marekani ilimzuia

    https://www.youtube.com/live/SVGXG6yMBgM Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Tanzania Bara Tundu Lissu amezungumza hayo mbele ya wanahabari leo, Jumatano Septemba 25.2024, jijini Dar es Salaam Kiongozi wa kikosi cha mauaji dhidi yangu mwaka 2017 alikuwa Paul Makonda. Aliwaongoza wauwaji walionipigia...
  19. N

    JamiiForums Tanzania Inashangaza sana Jiji la Arusha linatoa ajira kwa watumishi wa Umma ilhali kuna watu wengi ambao hawana ajira

    Huu ni utani na wananchi ambao hawana ajira. Jiji la Arusha mlifikiria hili mkiwa wazima wa afya. Enyi serikali hebu wajarini wananchi wenu kwa usawa. Watu hawana ajira, inatokea ajira ya muda badala muwape ajira wasiokuwa na ajira mnawapa wenye ajira?Wacha tukae bila ajira Wala pesa...
  20. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Polisi lawamani kwa mauaji Arusha - marehemu adaiwa kufariki na pingu mkononi. Mauaji mpaka lini?

    Yaani kwanini Jeshi la Polisi ?? Kijana Johnson Josephat ambaye shughuli yake inaelezwa ni kuuza vyuma chakavu mkazi wa mtaa wa Mulieti amefariki dunia katika mtaa wa Eso ambapo ameifanya kwa miaka 6 bila kupata tatizo lolote lakini amepatwa na umauti kwa kile kinachoelezwa ni mzozano ambao...
Back
Top Bottom