Arusha hatuhitaji elimu yeyote kutoka viongozi wa serikali ya CCM

bagamoyo

JF-Expert Member
Jan 14, 2010
23,793
27,659
Mwenyekiti wa CHADEMA aelezea vituko vya chama dola kongwe CCM

MWENYEKITI WA CHADEMA MKOA WA ARUSHA ATOA MAZITO MKUTANO WA HADHARA

View: https://m.youtube.com/watch?v=e2Ikimr7f60

Hatuwezi kuwaelewa Prof. Palamagamba Kabudi wala William Lukuvi waliotumwa na serikali ya CCM maana serikali ya CCM haiwezi kutatua matatizo ya wananchi.

Mwenyekiti wa CHADEMA mkoa wa Arusha akaongeza kuwa wananchi wa mkoa wa Arusha ni wajanja na werevu wenye uelewa mpana kuhusu utawala na mamlaka wananchi walionayo kikatiba kuibana serikali
 
Wanakuja kufundisha uchawa.
 
26 Agosti 2024

Watu wa nyikani Manyara waandamana

View: https://m.youtube.com/watch?v=IzyRUPSDwgc

Polisi wafika na kuwaomba wafungue barabara na kuweka kambi ya maandamano pembeni kidogo ya barabara na Polisi watatoa ulinzi hadi viongozi wa mkoa wafike kusikiliza kero wa wananchi ....

Wananchi wanasema hawamjui wala hawajawahi kumuona mbunge wao ....

Wana wa nyika wadai huduma za afya, madaktari maana majengo ya hospitali yamekuwa maghofu hakuna wafanyakazi na vifaa tiba ...maji hakuna.

Wananchi watoa masharti huduma hizo za kijamii zije haraka ...
 
Watu wa mijini vipi mnashindwa kuandamana kudai huduma za kijamii kama watu wa nyikani walio na mambo wa kujua haki zao za kiraia ...
 
Mwenyekiti wa CHADEMA aelezea vituko vya chama dola kongwe CCM

MWENYEKITI WA CHADEMA MKOA WA ARUSHA ATOA MAZITO MKUTANO WA HADHARA

View: https://m.youtube.com/watch?v=e2Ikimr7f60

Hatuwezi kuwaelewa Prof. Palamagamba Kabudi wala William Lukuvi waliotumwa na serikali ya CCM maana serikali ya CCM haiwezi kutatua matatizo ya wananchi.

Mwenyekiti wa CHADEMA mkoa wa Arusha akaongeza kuwa wananchi wa mkoa wa Arusha ni wajanja na werevu wenye uelewa mpana kuhusu utawala na mamlaka wananchi walionayo kikatiba kuibana serikali

Huyu mwenyekiti wa CHADEMA kaongea utumbo mtupu. Sasa uwanja wa ndege usipanuliwe kisa ni mkubwa kuliko wa Dar? Akili za kijinga sana. Halafu CHADEMA acheni kumwiga Sultani Mbowe jinsi ya kuongea.
 
Back
Top Bottom