arusha

  1. Kinyungu

    JamiiForums Tanzania Wayahudi wa Arusha - Jumuiya ya B’nei Lawi nchini Tanzania

    Na Peres Parpaih (pia anajulikana kama Yehudah Amir Kahalani, jina lake la Yemeni), Moreh (mwalimu) wa Jumuiya ya B’nei Lawi nchini Tanzania Israeli iko karibu na Afrika Mashariki na ulimwengu wa Kiarabu kuliko nchi nyingine yoyote. Kwa sababu ya uhusiano huu wa kijiografia, Wayahudi katika...
  2. Desierto

    JamiiForums Tanzania Makonda wa Arusha ruti ya Kilombero kwenda Kiseriani Madukani wanaibia abiria nauli

    Hii ni kero ya watu wengi nimeamua kuiweka hapa ili wahusika wachukuliwe hatua, Kwanza kabisa kwenye mwezi wa tano hawa jamaa wa haisi walikuwa hawafiki mwisho wa ruti kwa zaidi ya miaka miwili walikuwa wanaishia relini yaani kuna kama km4 hivi ndo ufike kiseriani mafukani, ambapo nauli ilikuwa...
  3. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Polisi Arusha wachangia damu, wafanya matembezi kuadhimisha miaka 60 Jeshi hilo

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Arusha katika kuelekea kilele cha maadhimisho ya miaka 60 ya Jeshi hilo, leo Septemba 13, 2024 wamechangia damu kwa wagonjwa wenye uhitaji na kufanya mazoezi ya kutembea katika Jiji la Arusha. Kaimu Kamanda wa Polisi Mkoa wa Arusha Kamishna Msaidizi wa Polisi ACP Debora...
  4. D

    JamiiForums Tanzania Serikali kinashindikana nini kujenga upya na njia 4 kutoka uwanja wa ndege Arusha kwenda mjini?

    Barabara kutoka pale bypass ya East Africa ni ya zamani sana, ni nyembamba, imejaa mashimo, viraka, ukiipata ni sawa tu na njia ya kwenda Kiteto. Barabara hiyo inatumiwa na watalii hasa wazungu, uwanja wa ndege Arusha una miruko(flights) zaidi ya 150 kwa siku, ni aibu kwa nchi. Kwanini...
  5. S

    JamiiForums Tanzania KERO TANESCO wilaya ya Arumeru Kikatiti kwanini mnatunyanyasa? Hatuna umeme tangu asubuhi

    Kikatiti wilaya ya Arumeru leo tumekuwa tukikatiwa umeme tangia asubuhi kuna nini? Sahivi tuko gizani, what's going on? Tunaomba umeme vinginevyo tupeni taarifa kuna nini. Soma Pia: Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati hii katika katika ya umeme wilaya ya Arumeru mkoani Arusha ni ya nini?
  6. M

    JamiiForums Tanzania RTO Arusha, jipange na watu wako kabla hujapangwa. Matumizi ya barabara yapo hovyo

    Kwa sasa Arusha inaweza kuwa inaongoza kuwa jiji la hovyo kwa watumiaji barabara hasa eneo la mjini kati. Aina na watu na tabia zake inahitaji kuweka utaratimu wa parking, uelekeo wa njia. Mjini kati kumekuwa na matumizi ya hovyo sana ya barabara, double parking afu bado njia zinapitisha magari...
  7. H

    JamiiForums Tanzania Chuo Kikuu Cha Uhasibu Arusha kinahitaji wanafunzi zaidi ya 2000 kurudia mitihani wakati walishafanya mitihani na matokeo yalitoka

    Uongozi wa Chuo cha Uhasibu Arusha, umetaka wanafunzi zaidi ya 2000 kurudia mtihani ingawa walishafanya mtihani huo wa semister ya 2. Chanzo ni kutolipa ada ya kufanya mtihani, hii sio haki. Uongozi umeshindwaje kutambua toka kipindi chote hadi wamefanya mtihani na matokeo yameshatoka. Na...
  8. BEST 001

    JamiiForums Tanzania TUNAFANYA EXCHANGE AU TOP UP ZA,SIMU PIA TUNATENGEZA VIOO VYA SIMU AINA ZOTE JIJINI ARUSHA

    Habari, Wakuu humu jamii forum Simu yako ya zamani au unayoitumia unaweza kubadilisha na kuchukua simu nyingine, kutoka dukani kwetu kwa kuongezea pesa kiasi ili upate simu nyingine iwe mpya au used. Simu tulizo nazo ni iPhone,Samsung,pixel,Oppo na nyinginezo TUNAPATIKANA ARUSHA, STENDI...
  9. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Waziri Ndumbaro: Uwanja wa mpira Arusha utakamilika kwa wakati kwa michuano ya AFCON 2027

    Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dkt. Damas Ndumbaro amesisitiza kuwa ujenzi wa uwanja wa mpira wa miguu wa Arusha utakamilika kwa wakati kama ilivyopangwa na kuwa tayari kwa michuano ya AFCON 2027. Akizungumza katika ziara ya kukagua maendeleo ya uwanja huo leo Agosti 29, 2024 Dkt...
  10. Stuxnet

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Makonda: Dereva wangu alikuwa anafunga namba za RC DSM na kutapeli watu

    Jana kwenye nyama choma aliyoandaa kwa Wakuu wa Mashirika Mjini Arusha, anasema alipokuwa RC Dar, wakati yeye yupo amepumzika ndani, Dereva wake alikuwa anakuja kuchukua gari kisha kuweka namba za RC Dar na bendera kisha kwenda kwa matajiri kuomba/ kuchukua fedha kwa jina lake. My Take: Huyu...
  11. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Gazeti la Mwanahalisi: Makonda afadhiliwa na mataikuni wenye maslahi Ngorongoro. Atumia 6.2M ya malazi kwa siku

    Taarifa kamili hii hapa
  12. Bushmamy

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 RC Makonda aandaa hafla ya Wakuu wa Taasisi za Umma na Wafanyabiashara Arusha

    Arusha leo katika hafla ya kufahamiana kwa sekta binafafsi. --- Maandalizi ya hafla fupi iliyoandaliwa na Mkuu wa Mkoa wa Arusha Christian Makonda kwa ajili ya kuwakutanisha Wakuu wa Taasisi na Mashirika yote ya Umma nchini Tanzania na wawekezaji na wafanyabiashara wa Mkoa wa Arusha. Wakuu hao...
  13. Wizara ya Ardhi

    JamiiForums Tanzania Mhandisi Sanga akagua eneo la Samia Arusha AFCON City

    ARUSHA Katibu Mkuu wzara ya Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhandisi Anthony Sanga amekakagua eneo la Mradi wa Samia Arusha AFCON City (SAAC). Eneo hilo lenye ukubwa wa ekari 4,555.5 lipo Kata ya Olmot na Olasiti katika Jiji la Arusha na limepakana na miradi miwili ya viwanja...
  14. Nigrastratatract nerve

    JamiiForums Tanzania RC Makonda aandaa sherehe Arusha. Anatarajiwa kuchinja ng'ombe 200

    Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Makonda amesema ng’ombe takribani 200 watatolewa kwa ajili ya kuchoma nyama, tukio linalolenga kuimarisha uhusiano kati ya wafanyabiashara wa mkoa huo na viongozi wanaoshiriki kikao kazi cha Wenyeviti wa Bodi na Wakuu wa Taasisi za Umma. “Ng’ombe kama 200 hivi...
  15. N

    JamiiForums Tanzania Vunja mifupa ngumu bado meno ipo, Makonda sasa umekwiva

    Nimesikiliza kwa makini hotuba ya Mkuu wa Mkoa wa Arusha Paul Makonda. Hakika ana mabadiliko makubwa sana na amezungumza kwa weledi. Amejitahidi kuelezea na kuangazia maswala ya kiuchumi na miradi ya maendeleo inayoendelea Arusha kwa Sasa. Ameongea kiume na kwa haiba ya uongozi na hakika ana...
  16. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: ameelekeza Mashirika kutimiza wajibu wao ili kuongeza wawekezaji wengi Nchini

    https://www.youtube.com/live/SlT8QJSt7_o Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan akishiriki Ufunguzi wa kikao kazi cha Wenyeviti wa Bodi na Watendaji Wakuu wa Taasisi za Umma katika kituo cha Kimataifa cha Mikutano Arusha (AICC), leo tarehe 28 Agosti, 2024. Rais Samia...
  17. L

    JamiiForums Tanzania Rais Samia kuitetemesha kwa kishindoo Arusha Kesho

    Ndugu zangu Watanzania, Rais wetu mpendwa na Jemedari wetu kipenzi Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan Mama wa shoka, chuma cha Reli, shujaa wa Afrika, jasiri muongoza njia, simba wa nyika, komandoo wa vita, nyota ya matumaini na nuru ya wanyonge anakwenda kuitetemesha kwa kishindo...
  18. E

    JamiiForums Tanzania Je, kati ya Chuo cha MUST na Arusha Technical ni kipi chuo bora kwa masomo ya Comouter

    Je, kati ya MUST (Mbeya University of science and technology) na Arusha Technical ni kipi chuo bora ambacho unamshauri mdogo wako asome kwa masomo ya Computer?
  19. B

    JamiiForums Tanzania Arusha hatuhitaji elimu yeyote kutoka viongozi wa serikali ya CCM

    Mwenyekiti wa CHADEMA aelezea vituko vya chama dola kongwe CCM MWENYEKITI WA CHADEMA MKOA WA ARUSHA ATOA MAZITO MKUTANO WA HADHARA https://m.youtube.com/watch?v=e2Ikimr7f60 Hatuwezi kuwaelewa Prof. Palamagamba Kabudi wala William Lukuvi waliotumwa na serikali ya CCM maana serikali ya CCM...
  20. I

    JamiiForums Tanzania The Chanzo: Kesi za Ubakaji na Ulawiti Zazidi Kuongezeka Tanzania. Mjini Magharibi, Morogoro, Arusha yaongoza orodha kwa kesi nyingi zilizoripotiwa

    Kwa mujibu wa Ripoti ya Takwimu za Uhalifu na Matukio ya Trafiki, kesi za ubakaji na ulawiti zimeendelea kuongezeka nchini Tanzania. Mwaka 2022, kulikuwa na matukio 6,827 yaliyoripotiwa ya ubakaji, lakini idadi hii iliongezeka hadi 8,691 mwaka 2023. Mjini Magharibi inatajwa kuwa na matukio...
Back
Top Bottom