arusha

  1. JamiiForums Tanzania GE2025 Waratibu na Wasimamizi wa Uchaguzi Wapatiwa Mafunzo Maalum Jijini Arusha

    WARATIBU wa uchaguzi , wasimamizi wa uchaguzi na wasimamizi wasaidizi wa uchaguzi ngazi ya jimbo wamekutana jijini Arusha kwa siku tatu kwa ajili ya mafunzo ikiwa ni maandalizi ya kuwawezesha kutekeleza ipasavyo kazi na jukumu lililo mbele yao. Akifungua mafunzo hayo leo Mjumbe wa Tume huru ya...
  2. JamiiForums Tanzania Kiwanda cha General tire - Arusha

    Hivi tukifufua kile kiwanda cha Matairi Arusha ambapo miundo mbinu ipo kwa pengine 50% na tukasema tairi zote za magari ya kawaida ya Serikali Mikoa yote wachukue pale na majeshi yetu pia wachukue pale.nk Bila kusahau soko la kawaida la secta binafsi; Hivi si tutakuwa tume serve mabilioni ya...
  3. JamiiForums Tanzania Kuna mtu ni mgombea wa Arusha, namuona miaka ijayo akikata mbuyu mkubwa na matawi yake

    Sabato Njema! Leo nilikunywa kinywaji cha Maono. Nikaona mwanaume Mmoja, ambaye atagombea mwaka huu Arusha, ingawaje watataka kumuengua lakini atapita. Huyu mtu atachukua shoka na kukata mbuyu mkubwa uliopembezoni mwa bahari. Ule Mbuyu uliowashinda wengi ukakatika. Akakata na matawi yake...
  4. JamiiForums Tanzania Msaada wa namna ya kupata hati ya nyumba mkoa wa arusha

    Habarini Nimepata makazi apa mkoa wa arusha maeneo ya olasiti Tokea nijenge nina mwaka sasa Nilikuwa naomba msaada jinsi gani ya kupata hati ya nyumba Kama mtu ana mtu huku aliopo kwenye hiyo mission anisaidie kuniunga nae Thanks
  5. S

    JamiiForums Tanzania law graduate

    Anahitajika kijana aliyemaliza degree ya SHERIA. Umri usiwe zaidi ya miaka 30 awe mkazi wa Arusha.
  6. JamiiForums Tanzania Kama anakusumbua Mbagala nenda Temeke akukusumbua Dar nenda Arusha nenda Moshi unangangania mtu 1 amekuea roho mt

    Mtumr.Mungu akubariki sana Maboya Nimeona clip yake anasema ntue wanawake wanaume mnakufa mapema sana kwa mambo ya kijinga Kkama unaona mwenzio anakusumbua nenda mbagala akikusumbua nenda tafuta wa temeke Dar ukiona inakuumixa hamia arusha hakufai nenda moshi Acheni ujinga Mnanganganiana...
  7. JamiiForums Tanzania GE2025 Gambo tulikuambia Lema ni mbarikiwa Wa Mungu

    Pole Sana Gambo Karma imekupa haki yako unayostahili
  8. JamiiForums Tanzania Asante sana Gambo Arusha tutakukumbuka !

    Asante Gambo , hakika tutakukumbuka Ila ndo hivyo tulitaka utuhudumie Ila haikuwa riziki . Pamoja Sana katika upambanaji wako . Nayafikiria maisha mapya bila vyeo sijui yatakuaje na mke wako ameshaporwa uafisa na sasa anapiga chaki Pole Sana jemedali
  9. JamiiForums Tanzania Jaji Mkuu, mahakama za Moshi Arusha zinatesa sana wananchi kwenye kesi za mirathi

    Mh. Jaji Mkuu, Kwanza nikupongeze sana sana sana kwa kuchaguliwa kuwa Jaji wetu Mkuu wa Tanzania. Wakati huu unaingia, tunakumbuka kuwa Jaji wetu mstaafu alikuwa akisisitiza sana sana haki na utawala bora. Mungu ambariki. Pamoja na haya, wapo baadhi ya mahakimu wanaosumbua sana wananchi, hasa...
  10. JamiiForums Tanzania Wadudu ni alama ya vijana wa Arusha

    Watanzania Salam tuachane nazo tu. Short and clear Vijana wa Arusha wana usela mavi sana , ni limbukeni mno. Kibali kataa, ukweli ndio huo
  11. N

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Nishati ieleze nchi kwanini tuko gizani? Huku Arusha tulilala gizani

    Bosi mtajwa hapo juu utueleze umeme una shida gani, jana kuanzia saa 11 jioni huku Arusha umeme ulikatika na haukurudi mpaka tunaenda kulala. Asubuhi tuliukuta bila kujua ulirudi saa ngapi. Leo tena umekatika kuanzia mida ya saa 5 asubuhi mpaka sahizi haujarudi. Kuna tatizo gani tuelezwe maana...
  12. JamiiForums Tanzania Changamoto noah za Arusha -Namanga

    Noah za Arusha to N amanga zimekuwa na changamoto mbalimbali na hazifuatiliwi na vyombo husika. mojawapo ya changamoto hizo ni:- -watu kubanana sana -kubadilisha nauli wanavyojisikia(mbali kabisa na nauli iliyopangwa ya tsh 7,000 kwa noah na 5000 kwa hiace) -kauli mbovu na ubabe kwa wateja...
  13. JamiiForums Tanzania Watabiri wa mambo Arusha nani atazama mjengoni?

    Siasa za bongo mtifuano upo baadhi tu ya majimbo Arusha , mbeya nk. Je Arusha nani ni nani? Gambo ccm? Makonda ccm? Lema chadema?
  14. JamiiForums Tanzania GE2025 CCM Arusha watolea ufafanuzi Diwani aliyedaiwa kuhonga Mchele na Sabuni ili apitishwe "Vikao vinaendelea"

    Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Arusha kimetoa ufafanuzi kuhusu madai yanayomkabili aliyekuwa Diwani wa Kata ya Mbureni, Faraja Maliaki, ambaye hivi karibuni ilisambaa video kwenye mitandao kijamii inayoonesha baadhi ya wanachama wa CCM kurudisha zawadi alizowapa wakidai kuwa ni rushwa ili...
  15. JamiiForums Tanzania Wajumbe Arusha waapa kumchagua Cde Dkt Makonda

    Wajumbe Arusha M Wana Jambo Lao nalo ni Comrade Dr Makonda
  16. JamiiForums Tanzania GE2025 Arusha: Kula kwa Makonda Kura kwa Gambo

    Nikiwa na pitapita zangu jijini jana nikakutana na mama mmoja mwandamizi wa chama mjini Nikamuuliza kwahiyo mama ndo tunaenda kumpa Arusha mtu ambae hata haijui Arusha, hata miaka mitatu hana. Mama kaniambia KULA KWA MAKONDA, KURA KWA GAMBO
  17. JamiiForums Tanzania chef&procurement officers Arusha

    wakuu habari za muda huu...niende moja kwa moja mimi ni mjasiriamali nipo arusha.Naomba mwenye connection ya chef wa hoteli au officers wanaohusika na ununuzi wa chakula na mbogamboga mahotelini hasa arusha...binafsi nafanya biashara ya kuuza mbogamboga soko kuu arusha lakini pia...
  18. JamiiForums Tanzania GE2025 Cecilia Paresso achukua fomu ya kuomba CCM kugombea Ubunge Jimbo la Karatu Mkoani Arusha

    Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Arusha anayemaliza muda wake Cecilia Paresso amechukuwa fomu ya kuomba kuteuliwa na Chama Cha Mapinduzi kugombea Ubunge Jimbo la Karatu Mkoani Arusha Paresso amekabidhiwa fomu hizo katika ofisi za Chama Cha Mapinduzi wilaya ya Karatu hivi leo na Katibu wa Chama Cha...
  19. JamiiForums Tanzania Wajumbe CCM Arusha Mjini huenda watatuletea Waziri Mkuu Mpya 2025-2030

    NI kama mmepewa Nafasi ya kutupatia Waziri Mkuu mpya 2025-2030. Pole Gambo, pole sana
  20. JamiiForums Tanzania Gambo usipoteze kiinua Mgongo chako , hauwezi kutoboa hapo Arusha

    Ulipozuia kutokujengwa hosptali ya mama na Mtoto kisa Lema ndo alileta wafadhili basi hiyo karma haiwezi kukuacha salama utafutwa katika ulimwengu wa siasa https://www.facebook.com/share/r/16zAdR6ndf/
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…