Me nilijua kwa kutokuwa predictable mfano siku ya Valentine sikumtumia hata text, ku keep distance kisha unarudi na vibe, kum treat kama victim.
Basi ningemsogeza karibu zaidi.
Lakini nasikitika kuwaambia kuwa kwasasa anani avoid sana , text hajibu yaani ile connection imepotea, ndege...
Nakulete Summary kwa Kiswahili na Kiingereza
Here’s a summary of The Subtle Art of Not Giving a F*ck: A Counterintuitive Approach to Living a Good Life by Mark Manson:
---
Key Ideas
Life involves pain, struggle and limitation. Avoiding these altogether isn’t realistic — embracing the right...
1.Kama Una Mwanamke Unaempenda Usimuoneshe Kama Unampenda Sana au una muhitaji Sana
2.Ukitaka Mawasiliano naye Mpe Namba yako usichukue yake".
Kukiwa na Mazingira complicated ya kukulazimisha kuchukua yake Ukichukua Pitisha siku tatu au week ndio umtafute
3.Ukimproach Mwanamke akikutaa...
Katika dunia ya ushindani – iwe ni kwenye siasa, biashara, au hata maisha ya kila siku – vitabu viwili maarufu vinatajwa mara kwa mara kama nguzo za mafanikio:
1. The Art of War – na Sun Tzu (China, ~500 BC)
2. The Art of the Deal – na Donald Trump (Marekani, 1987)
The Art of War – Sanaa ya...
Want to work for one of the largest charities of its kind in Africa? Are you an Artistic and creative person? Are you an excellent communicator? Do you enjoy working with International visitors? Would you call yourself a master planner and attentive to details? Does it sound like we’re talking...
Habarini za mda huu, nilikua nahitaji kujaribu kuanza kuuza art works, lakini ndo hivyo sijiamini amini, ebu let's take ndo wewe unaiona hii picha, unaweza inunua?
Au haijakaa Mkao! Na vipi hapo ni rahisi mtu kujua kama ni Dar es Salaam au?
Pia ni bei gani nzuri kuiuza hii kazi ili itoke ?
Hellow Everyone,
Welcome and gain something here
Ah, the delicate ballet of existing amidst those whose tongues are so adept at weaving tapestries of vitriol and unbidden commentary! One must, of course, be equipped with an arsenal of sagacity and an impenetrable constitution. Permit me to...
The Art of Becoming: Finding Your Voice in the Unfinished Symphony
Her fingers, dusted with the fine powder of dreams and aspirations, worked tirelessly. Each movement a prayer, a question whispered into the heart of the clay. But the form she sought remained elusive, hidden within the formless...
The Oak Tree's Wisdom: Unlocking the Art of Slow Growth in a Fast-Paced World
In the heart of a sprawling metropolis, where skyscrapers race towards the clouds and success is measured in seconds, an ancient sage stands silent. Its gnarled bark and sprawling canopy tell a story of patience...
Sijui ni kwanini hakuna usawa wa ajira kwa sisi waalimu wa masomo ya arts na sayansi, sayansi wanaoewa nafasi kubwa ya kupata ajira kuliko sisi wa arts na kiuhalisia hata hao wa arts hawatoshi mashuleni
Unfair
#Msaka_ajira
Mbaya zaidi dogo hakuomba combination yoyote ya arts katika maombi yake ya uchaguzi (selform)..... machaguo yOte matano ye ni PCM, PCB AU CBG.
Kijana amepambana kwenye shule yake ya kata hadi amefikia hapo ili ndoto zitimie halafu mnataka kumsumbua na kumuathiri kisaikolojia kama hivyo.
Najua...
Wakubwa samahani,
Mimi nimemaliza form four mwaka 2023 na nimepata division 2 point 20 nataka kwenda chuoni moja kwa moja. So Nilikuwa naomba mnijuze kozi za art ambazo soko lake la ajira sio gumu.
Habari, wakubwa mimi kijana wa kiume 31 miaka.
Naomba kwa mtu anayeweza kuwa mwalimu wangu wa ngumi, au kuniunganisha na mwalimu wa martial art, awe anapatikana manispaa ya kigoma ujiji.
Nilikuwa na ndoto hii kwa muda mrefu ila sikuweza kuitimiza ijapokuwa umri umeenda niko tayari...
Nadhani wote tunaelewa Wanasiasa na Ulaghai / Kulaumu wengine ni pete na Kidole....; Mdau mmoja alisema.... To err is human. To blame someone else is politics.
Nashangaa pale Chama tawala wanapolaumu wapinzani ni kama dereva kulaumu abiria wakati yeye ndio anaendesha (lakini naelewa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.