soNenda veta
kasomea paints & technical drawingKusomea nini huko kaka??
so
Nilikosea kaka ni mwaka 20232024 mshafanya mtihan wa form 4 miaka hii elimu hata sielew yaan
Hebu tueleweshe atakuaje anapiga hela huko serikaliniBasi kasomee procurement and supply aisee iyo ukitusua serikalin ushaula utakuwa unapiga hela tu
Yy si ndo atakuwa afsa ugavi miradi yote ya halmashaur itakuwa inapitia kwake ss unakosaje kupiga hela ukiwa born town kitamboHebu tueleweshe atakuaje anapiga hela huko serikalini
Eng_c,,,, kisw_ B,,,,,civics_C,,,,,geo_D,,,,,Hist_D,,,,,Bio_C,,,,,chem_D,,, physics nilikuwa sisomi akukuwa na tichaPoints zako zimekaaje?
Soko la ajira ni gumu haijalishi utachukuwa kozi gani, Hata kozi utakayoshauriwa hapo hautakuwa peke yako. Kikubwa wee angalia kozi ipi unaweza kuimudu na unahisi walau unaweza kufanya kitu kuliko kutegemea 100% uajiriwe, Kwa upande wa arts mi nashauri sana upitie tu advance (Kama utaweza) alafu chuo ukaanze Bachelor moja kwa moja
Ila ningependa kuona points zako pia.