arsenal

An arsenal is a place where arms and ammunition are made, maintained and repaired, stored, or issued, in any combination, whether privately or publicly owned. Arsenal and armoury (British English) or armory (American English) are mostly regarded as synonyms, although subtle differences in usage exist.
A sub-armory is a place of temporary storage or carrying of weapons and ammunition, such as any temporary post or patrol vehicle that is only operational in certain times of the day.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Mikel Arteta amekubali kuongeza mkataba wa muda mrefu Arsenal

    Makubaliano hayo yanajumuisha kuongezewa mshahara kwa Arteta kutokana na kazi nzuri aliyofanya katika misimu ya hivi karibuni, huku akiendelea kuwa sehemu muhimu ya mradi wa Arsenal. 🤝🏼 Soma Pia: Kuondoka kwa Pep Guardiola kunafungua enzi ya Mikel Arteta? Arteta anatarajiwa kusaini mkataba huo...
  2. JamiiForums Tanzania Arsenal acheni Masihara bwana!

    Wanataka kutuharibia weekend Hawa. Chuma mbili first half?
  3. JamiiForums Tanzania Tetesi za soka Ulaya: Arsenal, Man City zinamgombea Neto wa Chelsea

    Arsenal, Manchester City na Al-Hilal zinamvizia winga wa Chelsea, Pedro Neto, na zinaweza kuwasilisha ofa kwa mchezaji huyo wa kimataifa wa Ureno mwenye umri wa miaka 26 katika dirisha la usajili la Januari. Chelsea inataka kukamilisha usajili wa kiungo wa Bournemouth, Alex Scott, mapema, huku...
  4. JamiiForums Tanzania Arsenal bado wamng'ang'ania Alvarez

    Zikisalia siku tatu kabla ya dirisha la usajili kufungwa rasmi, Arsenal hawajakata tamaa katika harakati zao za kumsajili mshambuliaji wa Argentina Julian Alvarez, 26, ambaye inadaiwa anataka kuondoka Atletico Madrid. (Mail). Manchester City wanamfuatilia kiungo mshambuliaji wa Everton Iliman...
  5. JamiiForums Tanzania EPL yarudi kwa kishindo: Arsenal yaanza utetezi wake leo

    Ligi Kuu England (Premier League) 2026/27 inaanza rasmi leo, Ijumaa Agosti 21, huku mabingwa watetezi Arsenal wakifungua msimu dhidi ya Coventry City kwenye Uwanja wa Emirates. Mchezo huo unatarajiwa kufungua msimu wenye ushindani mkubwa, huku Arsenal ikilenga kutetea taji lake dhidi ya...
  6. O

    JamiiForums Kenya Mashabiki Wa Man United wawadhalilisha Mashabiki wa Arsenal Tena!

    Uhasama wa mashabiki wa Manchester United na Arsenal nchini Kenya umechukua sura nyingine baada ya mashabiki wa Manchester United kuibuka washindi wa 5–4 kwa mikwaju ya penalti dhidi ya Arsenal katika pambano lililofanyika jana katika Uwanja wa Nyayo. Mchezo huo ulijaa ushindani mkali huku...
  7. JamiiForums Tanzania Eboué: Jinsi Mapenzi Yalivyomfilisi Star wa Arsenal

    Hakuna pigo linaloweza kumvunja mwanamume vipande vipande kama kujitoa kwa 100% kwa mwanamke unayemwamini na kumpenda, halafu mwisho wa siku anakunyima hata sehemu ya kulala kwenye nyumba uliyoijenga kwa jasho lako mwenyewe. Hiki ni kisa cha kweli cha aliyekuwa mchezaji wa timu ya taifa ya...
  8. JamiiForums Tanzania Jurgen Klopp: Kama VAR imekataa goli lile la Ujerumani basi Arsenal haikustahili kuwa bingwa wa Premier League

    "Kama goli hilo la Ujerumani limekataliwa na VAR, basi Arsenal isingetakiwa kutwaa ubingwa wa England (Premier League). Asilimia 60 ya magoli waliyofunga yalikuwa ya aina hiyo.” Juni 30, 2026 Jurgen Klopp 'A joke' - how a 'terrible' VAR disallowed goal cost Germany Germany thought their...
  9. JamiiForums Tanzania Bwana Mdogo Ayyoub Bouaddi aliyewavuruga Viungo wa Brazil, Arsenal na PSG watajwa Vitani kusaka Saini yake!

    Kiungo fundi bwana mdogo wa miaka 18, Ayyoub Bouaddi, amezitikisa hisia za mashabiki wa soka ulimwenguni kufuatia kiwango bora cha kipekee alichokionesha kwenye mchezo wake wa kwanza wa Kombe la Dunia (World Cup debut) dhidi ya miamba ya soka, Brazil katika mchezo uliomalizika kwa sare ya 1–1...
  10. JamiiForums Tanzania Rekodi zinaonesha Arsenal imepoteza katika Fainali 5 za Michuano ya Ulaya

    Mei 30, 2026, Arsenal ilipoteza fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya dhidi ya Paris Saint-Germain (PSG) Kwenye Uwanja wa Puskás Aréna Jijini Budapest nchini Hungary. Ilipoteza kwa matuta 4-3 baada ya sare ya goli 1-1 katika muda wa kawaida, kipigo hicho kilikuwa cha tano katika fainali 5 ambazo...
  11. JamiiForums Tanzania Mkataba wa Arsenal na Rwanda umefika tamati baada ya miaka 8. Waziri Makonda fanya mchakato tuone “Visit Serengeti”

    Mkataba wa Rwanda Development Board (RDB) na Arsenal umeisha msimu huu wa EPL (2025/26)! Kwahiyo jersey za Arsenal hazitakua na Visit Rwanda mkononi tena. Jimbo liko wazi, Waziri wa Michezo na board yake, fanyeni mtangaze vivutio vyetu. #COYG
  12. JamiiForums Tanzania Kimazingira Arsenal kabebwa ubingwa EPL 2025/26

    Baada ya rejea mbalimbali za matukio ikiwemo penati,faulo na kadi nyekundu katika ligi kuu ya uingereza msimu wa 2025/26. Imebainika kwamba Manchester city walitakiwa kuongoza ligi kwa pointi mbili akifuatiwa na arsenal kabla ya mechi ya mwisho . Matukio mawili muhimu: 1.Dalot alitakiwa kupewa...
  13. JamiiForums Tanzania Mfalme wa mechi Kati ya PSG vs Arsenal

    Mfalme wa safu ya kiungo ya PSG. Ndiye pekee kati ya viungo watatu wa kwanza wa PSG aliyedumu dakika zote 120. Na katika muda wa nyongeza, alikuwa tishio kubwa zaidi la PSG katika mashambulizi. Ana ustadi mkubwa wa kugusa na kumiliki mpira, nguvu katika mapambano ya ana kwa ana, uwezo wa...
  14. B

    JamiiForums Tanzania Full Time UEFA Final: PSG 1 -1 Arsenal - Puskás Arena | May 30, 2026 - Baada ya Penati PSG anaibuka Bingwa (4-3)

    Arsenal akishinda nipewe ban ya siku 3, nimechoka kelele zao😵‍💫' Aloooo hawa watu wana keleleee sanaaaaaaà, unawanaonea huruma wana miaka ya mtu mzima bila kombe ila wakishinda hatunywi maji! PSG nao wana kiu ya kushinda na usongo wa kupata ushindi kwa mara ya pili, mechi otakuwa motooo, ila...
  15. JamiiForums Tanzania Hivi Arsenal hawaogopi? PSG hii si ya mabishoo wanaotembea uwanjani

    Hivi kweli Arsenal F.C. hawaogopi? 😅 Hii si ile PSG ya Lionel Messi, Neymar na vibes za Paris nights, hii ya sasa ni tofauti kabisa. Hakuna show nyingi, hakuna kutembea uwanjani. Hawa wanakaba kama wamekosewa hela 😭 Arsenal wana mpira mzuri, lakini PSG ya sasa ina njaa ya ubingwa kuliko likes...
  16. JamiiForums Tanzania Naomba chimbo la kuangalia Arsenal tarehe 30

    Wakuu baada ya kuona wenzetu wa Kenya Uganda Ethiopia na kwingineko Duniani wakifurahia ubingwa WA timu pendwa ya Arsenal na hapa Dar nilipanga niende viwanja vya posta lakin baada ya kuona wameingiza siasa na kuweka mgeni rasmi siwezi kwenda tena kama kuna chimbo jingine naomba nielekezwe...
  17. JamiiForums Tanzania Kombe la Arsenal, EPL lapelekwa Kenya, bongo tunafeli wapi?

    Kuelekea juma tatu ambapo, parade Lita happen uingereza jijini London tayari losha Anza kizungushwa nchi tofauti, ambapo limepita Kenya na litaendelea kwingineko sidhani kama bongo litakuja. Jamaa yangu Mmoja kanijuza wakenya wana connection kubwa hapa duniani na ndo mana hawakuhitaji...
  18. JamiiForums Tanzania Arsenal bingwa, nipeni chimbo la jezi OG Dar

    Arsenal Bingwa. Salam wakuu, Hatimaye baada ya miaka 22, Tumeona tena jua, nani ajuaye, huenda tukaleta Emirates UEFA trophy hapo Jmos. Sasa niambieni wapi panauzwa jezi OG za team za mbele kwa hapa Mjini Daslam. NIKANUNUE YA ARSENAL. Nawatakia siku njema. ARSENAL BINGWA. Tukutane Jmos...
  19. JamiiForums Tanzania Arsenal Kushinda Ubingwa ni dalili kuwa EPL imeshuka viwango

    Arsenal ni sawa na JKT au TRA! Matusi hayaruhusiwi hapa
  20. JamiiForums Tanzania Arsenal, Djumbe na Mafwele wamemsaidia Buyobe

    Baada ya Hilda Newton kumuanika Fortunus Buyobe mwamba alikuwa na wakati mgumu. Story ilikuwa juu yake kila. Kila akijaribu kujijitetea kwa kuposti risiti za AI wapi. Fortunus akatrend. Hatimaye Mungu akamsikia ilipofika Jumanne Arsenal kutwaa ubingwa baada ya City kudraw na Bournemouth watu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…