ardhi

  1. JamiiForums Tanzania Kumbe KIKATIBA , baadhi ya Kazi za JWTZ ni Kulinda Katiba, Kulinda Ardhi na Maliasili za Nchi yetu, Kulinda Watu wa Tanzania!!

    Hapa Nina Maswali !! Ni katika wakati gani ,JWTZ itafanya kazi yake hii ya kulinda Katiba, Ardhi, Maliasili, na Kulinda Watu?. Tafasiri ya Kulinda Watu kwao ni ipi? Ikiwa tunashuhudia watu Wanatekwa, wanauliwa .?? Kulinda Maliasili, ikiwa tunashuhudia Waarabu na Wachina wanapewa Mali zetu...
  2. R

    JamiiForums Tanzania Swali: Kwanini Ardhi ilaaniwe kwa kupokea damu ya Abili, iliyomwagwa na Kaini nduguye?

    Salaam, Shalom! Njooni tujadili, Nikiongea Mimi sana, labda nakuzuia pia kufikiri in deep. Ni hivi, KITABU CHA( Genesis 3:17, 4:10-11) Kaini anafanya suiside, anamuua nduguye Habil, damu inamwagika ardhini. Sasa inapotoka adhabu, hakuadhibiwa Cain pekeake, ardhi pia inapewa laana. Laana...
  3. JamiiForums Tanzania "Wamisionari walileta Biblia na kutuambia tufumbe macho tuombe. Tulipoyafumbua tena, tayari walikuwa wamechukua ardhi yetu."

    Kwa kweli, muunganiko wa viongozi wa kisiasa na wa kidini mara nyingi si wa bahati mbaya—ni wa kimkakati. Unalenga kudhibiti fikra, hisia, na nguvu ya watu kwa pamoja. Tukiitazama kwa jicho la kifalsafa, hapa ndipo tunakutana na kile wanazuoni wanakiita: “Ushirikiano kati ya upanga na...
  4. JamiiForums Tanzania Wananchi waridhishwa na huduma za wizara ya ardhi sabasaba

    Baadhi ya wananchi waliotembelea Banda la Wizara ya Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi katika Maonesho ya Kimataifa ya Biashara (Sabasaba) wameonesha kuridhishwa na huduma zinazotolewa na wizara hiyo. Wakizungumza katika banda la Wizara ya Ardhi tarehe 4 Julai 2025 katika maonesho hayo...
  5. JamiiForums Tanzania Mungu aliyesubiri wanasayansi wagundue meli ndipo tumjue

    Walisema sisi ni washamba. Tukaacha ngozi zetu, tukavaa suti. Tukaacha ngoma, tukavaa saxophone. Tukaacha majina yetu, tukaitwa Yohana wa Pili. Ajabu leo Wamasai, Wahamer, na BaTwa waliobaki washamba ndiyo kivutio cha dunia. Mungu mmoja alitoka Asia, akapita Ulaya, akaruka Mediteranea, akaruka...
  6. JamiiForums Tanzania Hivi siku hizi wako wapi wale waliosema Iran haiwezi kurusha hata jiwe ndani ya ardhi ya Israel?

    Ndugu kulikua na mtifuano humu jf baina ya waisrael wa buza na wa Iran wa yombo ila sioni fact za kutetea Israel kwa vita ya rising lion ya siku 12 nimemaliza uzi kwa kuuliza wako wapi waliosema Iran haiwezi rusha hata jiwe ?
  7. JamiiForums Tanzania Wadau wajadili uhuishaji mitaala ya chuo cha Ardhi Tabora

    Chuo cha Ardhi Tabora (ARITA) kinaendelea kuhuisha mitaala yake ili kukidhi mabadiliko ya uhitaji wa soko kwa kuandaa wataalam wa sekta ya Ardhi kwa maendeleo ya chuo na taifa kwa ujumla. Mitaala inayohuishwa katika chuo hicho inahusisha masomo ya Urasimu Ramani; Usimamizi wa Ardhi, Uthamini...
  8. JamiiForums Tanzania Familia ya Mzee aliyesaidiwa kupata Viwanja na Hayati Magufuli yadai imeporwa eneo hilo na Kamishna wa Ardhi Dar

    Flavian Methew Nyandikuu Mzee Flavian Methew Nyandikuu (85) Mkazi wa Mwenge Mlalakuwa, Mtaa wa Nyendikuu Jijini Dar es Salaam amelia na Ofisi ya Kamishina wa Ardhi Mkoa wa Dar kwa kushindwa kumilikisha ardhi yake kwa zaidi ya Miaka 40 sasa ambapo kila akienda katika ofisi hizo kudai haki yake...
  9. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Ufisadi wa Ardhi Arusha: Viongozi Idara ya Ardhi wanajimilikisha viwanja kwa kisingizio cha kutoendelezwa

    Viongozi wa Halmashauri ya jiji la Arusha na Commissioner wa ardhi wanapora viwanja vya watu kwa kisingizio kuwa havijaendelezwa muda mrefu. Hayo yametokea kwa Commissioner aliehamishiwa Dodoma kwa sasa (jina: Mwamsojo) alijimilikisha viwanja 2 na afisa ardhi wake anayejulikana kwa jina la Alex...
  10. S

    JamiiForums Tanzania Tetemeko la ardhi la magnitude 5.5 limerekodiwa Iran karibu na fordow nuclear site

    Tetemeko la ardhi lime tokea Iran siku ya leo majira ya saa tatu asubuhi lenye ukubwa wa magnitude 5.5 kwenye jimbo la Qom ambalo lipo karibu na Fordow nucleur site. Hakuna ripoti ya majanga japo inahisiwa kuna kitu kilikuwa kinajaribishwa Mnamo mwaka 2017 korea kazkazini walijaribisha Atomic...
  11. JamiiForums Tanzania Serikali ya Trump kupiga mnada mamilioni ya ekari za ardhi ya umma kuongeza mapato ya serikali

    Mpango wa serikali ya Trump kuuza zaidi ya ekari milioni 250 za ardhi ya umma iliyopo chini ya uangalizi wa serikali kuu kwa watu binafsi umepingwa vikali na kulaaniwa kila kona na raia wengi wa Marekani wa pande zote za kisiasa. Miongoni mwa ardhi zitakazouzwa zinajumuisha milima, nyika, misitu...
  12. JamiiForums Tanzania Kwa shambulizi la jana la iran ndani ya ardhi ya israel je wanautofauti wowote na Hamas?

    Jeshi la iran kwa mujibu wao limefungulia mlango wa kuzimu jana Kwa kurusha drones za kubahatisha yaani iue yoyote Kwa maskitiko imeua watu watatu wasio na hatia Je hili jesh tofauti yao na magaidi wa hamas na hezbolla ni ipi? Jeshi lenye ueledi haliwezi kurusha mabomu km kichaa huo...
  13. JamiiForums Tanzania Mhandisi Sanga akutana na kuwapongeza mawakili wa kujitegemea kwa kuongeza kasi katika kumaliza mashauri katika mabaraza ya ardhi na nyumba

    . Katibu Mkuu Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Mhandisi Anthony Sanga amewapongeza Mawakili wa Kujitegemea kwa ushirikiano wao, hatua iliyosaidia kuongeza kasi ya kumaliza mlundikano wa mashauri katika Baraza la Ardhi na Nyumba la Wilaya ya Dodoma. Mhandisi Sanga ametoa pongezi...
  14. R

    JamiiForums Tanzania Nauliza: Kwanini Jerry Silaa aliondolewa Wizara ya Ardhi? Alionekana kufanya kazi kwa weledi kupunguza migogoro ya ardhi. Let us speculate reasonably!

    Nilimuona kama alikuwa anaitendea haki wizara ya ardhi, alifanya kazi kwa weledi mkubwa kupambana na makanjanja wa ardhi akina Msama, Mushi na wengine. All of a sudden akaondolewa! What was wrong with him? Can any of us speculate logically? https://www.instagram.com/mangi_viwanja/reel/C73xMi-M6AJ/
  15. U

    JamiiForums Tanzania Vituo vya nyuklia vya Iran vimezikwa nusu maili chini ya ardhi, haiwezi kuharibiwa na kombora hata moja

    Wadau hamjamboni nyote? Vituo vya nyuklia vya Iran vimezikwa nusu maili chini ya ardhi, Miundombinu nyeti zaidi ya nyuklia ya Iran iko chini kabisa ya ardhi na haiwezi kuharibiwa kwa kombora hata moja, mkuu wa shirika la Umoja wa Mataifa la uangalizi wa...
  16. JamiiForums Tanzania Bunge lapitisha zaidi ya shilingi bilioni 164.1 sekta ya ardhi

    BUNGE LAPITISHA ZAIDI YA SHILINGI BILIONI 164.1 SEKTA YA ARDHI Bunge limepitisha na kuidhinisha Bajeti ya Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi kiasi cha shilingi 164,146,052,000/= ili kuendelea kutambua, kupanga, kupima na kumilikisha ardhi kwa ajili ya matumizi mbalimbali nchini...
  17. JamiiForums Tanzania Nakuambiaje, hii leo Israel abadirishe dini na awe muislam, hautakuja kuona mabango ya free palestine. So the issue ni itikadi wala sio haki ya ardhi.

    Niambie ni lini mwenyaaazi wa JF waliwahi kuandika nyuzi kama hizi ku-condemn yafuatayo👇🏻👇🏻 Ushawahi kusika free sudan? Ushawahi kusikia free syria? Ushawahi kusikia free yemen?
  18. JamiiForums Tanzania Mpaka 2026, 50% ardhi ya Tanzania kuwa hifadhi for CO2 Certificates!

    Msiseme hamkusikia lkn habari ndiyo, mpaka mwaka 2026 > 50% ya ardhi ya Tanzania ( bila visiwani pemba na unguja ofcourse) kuwa hifadhi, kwa ambao hilo neno litawatatiza na kuweza kurelate maana yake ni kwamba 50% ya ardhi ya tanzagiza kuwa kama hifadhi ya ngorongoro au serengeti out of bounds...
  19. JamiiForums Tanzania Kati ya Mluo, mbozi, mbeya, tunduma na Makuyuni kuna unafuu wa kununua ardhi ya kilimo.

    Habari, Kati ya maeneo haya ni wapi kuna unafafu wa kununua ardhi (shamba) Mluo, mbozi, mbeya, tunduma na Makuyuni ni kwa lengo la shughuli za kilimo cha umwagiliaji au Highlands yenye vipindi virefu vya mvua. Na bei kwa bei nafuu around 200k to 700k kwa hekari pawe panapitika kwa gari...
  20. JamiiForums Tanzania Naombeni tukumbushane kuna waziri wa nishati alitoa maelezo Tanesco kusambaza nyaya nchini ya ardhi sio misitimu.

    Tanesco wanaproject nyingi kama za kununua umeme ethiopia na mengine. Kuna project ilitokaga na waziri fulani sikumbuki alikazia kuwa dar umeme usambazwe chini ya ardhi. Sasa ni kawa na waza hivi yale mafuriko ya dar,mabomba ya maji yana pasuka ovyo. Kwa mvua hizi DAR mngechezea shoti za...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…