Mwaka 2022 nilisafiri kikazi mkoani Lindi, ambapo tulitembelea wilaya na vijiji mbalimbali. Tulipofika Wilaya ya Ruangwa niligundua kuwa bei ya ardhi ni nafuu sana. Kwa mujibu wa taarifa nilizopata, ukinunua ardhi kupitia serikali ya kijiji na unahitaji eneo kubwa, ekari moja inaweza kupatikana...