apps

  1. T

    JamiiForums Tanzania Thanks to Dating Apps, leo kutongoza imekua kazi rahisi sana, madomo zege mpewe nini zaidi?

    Miaka ya nyuma kutongoza was an art, na ilikua lazima uimudu hiyo sanaa uweze kupata ama kula watoto wazuri. Ilikua ni lazima uwe mtu wa maneno na vitendo. Miaka ya nyuma ukiwa domo zege wanawake utaishia kuwaona sokoni, madomo zege wengi waliishia kwenye punyeto maana hawakua na namna...
  2. Liston Cosmas

    JamiiForums Tanzania Natoa free hosting (kwa miezi 6) pamoja na kujenga websites na mobile apps

    Habari wadau! Kama kichwa kinavyosema, ninatoa huduma ya hosting bure kabisa kwa miezi 6 na pia kama unahitaji kua na website au mobile application (ios & android), pia utapatiwa kwa gharama nafuu sana. Napatikana kwa +255 768 55 8494.
  3. Tukudzi

    JamiiForums Tanzania Tumia WhatsApp na Apps nyingine katika Kiswahili

    Hapa ningependa kuonyesha jinsi ya kubadilisha lugha ya simu yako ili uweze kutumia apps nyingi kupitia lugha yetu ya Kiswahili. Nimerekodi video ya njia ya kufuatwa ili lugha ibadilishwe, iwapo ungependa kutazama jinsi inavyofanywa. Kwa anayependa kufuata maelezo badala ya kutazama video...
  4. Mukulu wa Bakulu

    JamiiForums Tanzania Baadhi ya google apps ni nzuri sana zaidi ya samsung apps

    Mimi sio mtaalam sana wa mambo ya simu na computer. Jana katika kupita pita mitandaoni nikaona mjadala wa google apps ambazo unaweza kuziweka kwenye samsung na zikafanya vizuri zaidi. Kweli nikaweka google massages, google contacts na google phone app kwenye samsung yangu, aisee nimezipenda...
  5. PlanckScale

    JamiiForums Tanzania A Place to Meet, Learn and Create Innovative Products

    Salamu wandugu. Nimeombwa na marafiki ambao wanatafuta kuwekeza kwenye innovation/incubation of ideas and local product development. For artist, technologists, engineers, application developers, etc. The Idea ni kuwa na sehemu ambayo itawapa fursa like-minded people kubadilishana mawazo na...
  6. v_pepper

    JamiiForums Tanzania Easy and good mobile apps throuth bookmaker company

    what apps do you use? maybe you don't use any apps. so why? please, I need a good advice to choose a good bookmaker with good apps
  7. bossswo

    JamiiForums Tanzania What apps in your phone do you use the most?

    For me it's WhatsApp, Twitter and Weather, and you?
Back
Top Bottom