aonekana

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. K

    Huyu Mwanajeshi aliekuwa akihutubia leo si ndio yule muuza madafu wa Ikulu, au?

    Nafikiri wengi wanakumbuka mwezi uliopita pale tulipoona wauza madafu wapo Ikulu kwa ajili ya "kuuza madafu" kwa waalikwa. Walipiga picha na kurasa za mbele za magazeti wakatamalaki. Wapo waliohoji maigizo yale yalikuwa na haja gani, basi tukaona wanafanyiwa interviews clouds etc na mmoja...
  2. Erythrocyte

    Hatimaye Dotto James aonekana hadharani

    Hatimaye Katibu Mkuu wa zamani wa Wizara ya fedha, Bwana Dotto James ameonekana hadharani baada ya kupotea kwa kipindi kirefu. Ameonekana huko Chato kwenye maadhimisho ya miaka 3 tangu kufariki kwa John Magufuli aliyekuwa Rais wa Tanzania. Huyu hapa
  3. chiembe

    Haji Manara aonekana studio za Master Jay, anatoa wimbo kumjibu Dulla Makabila

    Haji Manara ameonekana mitaa ya MJ records akiwa katika tafakari kubwa, akiingia studio na kutoka. Tetesi zinasema anajiandaa kutoa wimbo kumjibu Dulla Makabila. Habari zinasema kwamba ubishi mkubwa ni kuhusu sauti na kutembea na biti. Hivyo kila mara alikuwa akiondolewa studio aende nje...
  4. Erythrocyte

    Jerry Murro aonekana Bungeni , Aomba umoja wa kitaifa kwenye Miswada ya Uchaguzi

    Kwa mara ya Kwanza tangu atenguliwe kwenye Ukuu wa Wilaya , Ndugu Jerry Murro ameonekana hadharani . Amekutwa ndani ya Bunge huko Dodoma akichangia kuhusu Miswada ya Sheria za Uchaguzi ( Haijulikani alipelekwa na nani ) , Bali nilichokiona leo nimegundua kwamba Madaraka ndio yanayoharibu tabia...
  5. Mpinzire

    Mtaalamu wa mipango na mikakati aonekana Doha kwenye ziara ya Rais Samia

    Watanzania mchangamkie fulsa za mbogamboga na matunda. https://twitter.com/DIONIZKIPANYA25/status/1709048646375805055?t=HyUFD88LmFNZDr0eAmNBSQ&s=19
  6. B

    Video: Mkuu wa Majeshi Mstaafu Tanzania, Jenerali Mabeyo aonekana akiwa na Papa Francis

    CDF mstaafu General Venance Mabeyo ameonekana ktk video clip iliyosambaa mitandaoni toka juzi aliwa Kanisa la Mt Petro akishiriki shuguli kadhaa za Kikanisa Nchini Vatican. Pamoja naye anaonekana na baadhi ya Maaskofu kutoka Tanzania na masister Haijafahamika zaidi ni shughuli gani lakini...
  7. whiteskunk

    Rais Putin afanya ziara ya kushtukiza Mariupol Ukraine na Crimea

    ICC kazi kwao kumkamata, yupo Ukraine anavinjari mitaa ya mauripol === Rais wa Urusi Vladimir Putin na Rais pendwa duniani ama mwamba wa dunia jana amefanya ziara ya kushtukiza katika rasi ya Crimea katika kuadhimisha miaka tisa tangu alipoinyakua kutoka Ukraine Putin aliutembelea pia mji wa...
  8. Expensive life

    Bikira Maria aonekana live kanisani wakati ibada ikiendelea

    Tukio hili limetokea huko nchini Kenya wakati waumini wakiendekea na ibada mara ghafla tu bikira maria akawatokea. NB: Mpaka uwe na macho ya rohoni sana ndio unaweza kumuona 🤩🤩
  9. aka2030

    Baada ya miezi 10 hatimaye Joseph Haule a.k.a Professor Jay, aonekana kwenye mitandao ya kijamii

    Amepost kwenye insta story yake MWANAMUZIKI maarufu wa Hip Hop nchini na mbunge mstaafu wa Mikumi, Joseph Haule (Prof. Jay) aliruhusiwa kurejea nyumbani Juni 9, 2022 kutoka hospitali alikokuwa amelazwa baada ya kupatiwa matibabu kwa siku 127 na afya yake kuimarika.
  10. figganigga

    Kenya 2022 Ruto aonekana mwenye Furaha muda muda wote anatabasamu

    Salaam Wakuu, Jioni ya leo, Mgombea Urais wa Kenya Ruto, ameonekana mwenye tabasamu muda wote. Ni baada ya kukutana na Waangalizi wa Uchaguzi Mkuu wa Kenya kutoka Jumuiya ya Afrika Mashariki uliofanyika Agosti 9, 2022. Nini siri ya hili tabasamu?
  11. L

    Buddha Lucana aonekana tena baada ya ukarabati nchini China

    Buddha Lucana ameonekana tena kwenye Mapango ya Longmen baada ya ukarabati mkubwa nchini China.
  12. Robert Heriel Mtibeli

    Video: Yadaiwa Samaki Mtu (Nguva) aonekana ufukweni

    Wakuu! Mwanzoni niliziona Kama hadithi tuu za kizamani lakini baada ya kuiona video hii mtazamo wangu umeanza kubadilika. Ingawaje bado sijapata uhakika wa moja Kwa moja kuhusu video hii kama imeghushiwa au laa.
  13. Deshbhakt

    Malaika aonekana kwenye Kanisa akiwa amevaa viatu?

    Courtesy of Millard Ayo: https://millardayo.com/mchugaji-adai-camera-zimemnasa-malaika-wakati-akitoa-huduma/ Asante Yesu kwa kututembelea na muujiza mkuu katika Injili ya Msingi wa Imani Porto Novo, Jamhuri ya Benin”- Nukuu ya Mchugaji Ekuma Swala langu can this be true? Malaika anaevaa...
  14. mama D

    Joyce Kiria aonekana mwenye furaha sana ndani ya penzi jipya baada ya ndoa zake mbili kuvunjika

    Joyce Kiria aonekana mwenye furaha sana ndani ya penzi jipya baada ya ndoa zake mbili kuvunjika Joyce anaonekana mwanamke anayejali sana pale anapopenda, ila huwa kile kinachotokea baadae huwa nje uwezo wake. Sababu ya uwazi wake Mahusiano yanapoanza kuyumba huwa hakuna siri. Na sio kwamba...
  15. mwengeso

    Mwanza: Aliyezikwa 2008 kaonekana akiwa hai

    Huko Magu, Mwanza aliyezikwa 2008 kaonekana akiwa hai. Mko wapi COSTECH kufuatilia taarifa, kama hii, ili sayansi yake iwe "documented"?
Back
Top Bottom