angalia

Angalia (Tazama) - Neno hili linamaanisha kuelekeza macho kwenye kitu fulani ili kukiona.
  1. Chibike

    JamiiForums Tanzania KERO Angalia vyanzo vyote hivi vya maji, na wananchi wa Morogoro wanateseka na maji. Hii nchi ina akili?

    Vyanzo kuu vya maji vya Mkoa wa Morogoro: 1. Mito mikuu: · Mto Wami - unaopita Morogoro mjini · Mto Mgeta/Ruvu - ni tawimto muhimu · Mto Mkondoa · Mto Ngerengere 2. Milima na Mito Midogo: · Milima ya Uluguru - huchota mvua nyingi na kuleta mito mingi. · Mito ya Uluguru (kama...
  2. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania Ukitaka kujua Serikalini hakuna mwenye akili angalia Press ya Msigwa muda mchache ujao

    Waswahili waliposema ukivuliwa nguo chutama hawakuwa wamekosea kabisa. Muda mchache ujao Msemaji wa Serikali anaenda kuongea na Waandishi. tena baada ya CNN kutoa habari ya kutisha kuhusu mauaji yaliyofanywa na vyombo vya ulinzi na usalama wakati na baada ya Uchaguzi wa mwaka huu. Tuhuma...
  3. Saa 7 mchana

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Angalia hii then unitofautishie kati ya Idd Amin Dada na deshi deshi. My self I can't tell

    Angalia hii then unitofautishie kati ya Idd Amin Dada na deshi deshi. My self I can't tell. Kulingana na kinachoendelea https://youtube.com/shorts/I37o60xwIYE?si=tIJ8dUV13hfkSZ_h
  4. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Kabla hujatoka kuandamana tarehe 9 Disemba angalia hii picha

    Mange kimambi aliwaambia vijana wasiogope walambe pasi ya moto tarehe 29 wataokolewa na wajeda. Vijana wa Dar wakalamba pasi ya moto kwa siku moja na nusu wakaona hakuna ukombozi wakaacha wakakimbilia maghetoni kwao. Vijana wa mikoani hawakutaka kupitwa na wala viepe nao wakaanza kuilamba pasi...
  5. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Baada ya kuandika kuhusu PAPU taarifa zimeongezwa angalia mishahara yake

    Hizi karibuni nililalama kwamba TCRA ambao wametakiwa kupokea maombi ya ajira za PAPU hawajaweka details. Soma Hizi nafasi za kazi za PAPU zinazopitia TCRA hazina infomation za kutosha rekebisheni Nadhani Uzi wangu waliusoma na kuweka taarifa za nafasi hizo, sasa angalia mishahara ilivyo...
  6. jikuTech

    JamiiForums Tanzania TEHAMA | Angalia Hoja Hizi Kisha Toa Maoni

    Jacob Mfadhili Sio kama sifahamu iyo C , lakini chai ya mtoto(mpya) haiwezi kuwa ya moto kama mkubwa (expert)kaka ,, Mimi nakuelewa unapo mwambia mtu ajifunze low level ama assembly ama C, mueleze pia gharama za matumizi yake, mtu Hana hata uwezo wa kununua PC mfano, alafu ajifunze C kuna muda...
  7. Hyrax

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ukitaka kujua mwanamke ni msafi angalia miguu yake

    Take Note.
  8. Webabu

    JamiiForums Tanzania Angalia watoto wa Gaza wanavyokufa kwa njaa mikononi mwa mama zao mbele ya macho ya wenzao huku dunia ikiwa haitaki kuangalia.

  9. Webabu

    JamiiForums Tanzania Angalia watoto wa Gaza wanavyokufa kwa njaa mikononi mwa mama zao mbele ya macho ya wenzao huku dunia ikiwa haitaki kuangalia.

  10. Knock life

    JamiiForums Tanzania Kinacholeta maendeleo sio ukubwa wa nchi au rasilimali, ebu angalia nchi ndogo kama Finland inaisadia Tanzania!

    Ukiangalia kwa undani utajua kuwa nchi za watu weusi hazina watu wenye akili . Inawezekana vipi kanchi kadogo Kama Finland kakawa kanatupa misaada.!!?
  11. Nikifa MkeWangu Asiolewe

    JamiiForums Tanzania Angalia video Hii kisha utoe hukumu kwa haki.

    Binafisi mimi nimetokea kwenye familia ya wafugaji wa mifugo karibia yote yaani mbuzi,kondoo na hata ng'ombe . kipindi tukiwa tunachunga ilikuwa ni fahari sana kulisha mazao ya wakulima tena ikitokea mkalisha na msionwe au kukutwa mtajipongeza kweli. Ukweli usiosemwa ukisikia vita ya wakulima...
  12. Hharyson

    JamiiForums Tanzania Angalia kwa makini sana namna tumehusika kuanzia design mpaka ujenzi, Airbnb hizi Moshi, 2Bedroom kila unit tupigie 0624004650

    HIZI NI AIRBNB APPARTMENTS, CONTAIN 2UNITS EACH UNIT HAVE , GROUND FLOOR INA SEBULE,OPEN KITCHEN DINING NA PUBLIC TOILET JUU INA 2BEDROOMS ALL WITH SPECIOUS BATHROOM ,AND BALCONY. MPAKA HAPO MATERIAL + LABOR COST 175M
  13. Mtu_imara

    JamiiForums Tanzania H.polepole asikilizwe ebu angalia

    Tanzania wajumbe wanajipatia BAISKELI za bure nchi nzima, Traole Raisi wa Burkina Faso anapambana kukuza Sekta ya Kilimo nchini kwake wasiwe Wategemezi kwa wazungu.
  14. Tech Max

    JamiiForums Tanzania Natengeneza tovuti (website), hii nilimtengenezea mwanajamiiforum angalia

    Natatengeneza tovuti (website) za makampuni, biashara, watu binafsi na n.k. hii tovuti (website) nilimtengenezea mwanajamii forum anaitwa Meneja wa Kampuni japo kwa Sasa haipo mtandaoni (online) nafikiri kashindwa kuilipia gharama za kuendesha za kila mwaka ila ipo hewani kwenye kumbukumbu za...
  15. Tech Max

    JamiiForums Tanzania Natengeneza tovuti (website), hii nilimtengenezea mwanajamiiforum angalia

    Natatengeneza tovuti (website) za makampuni, biashara, watu binafsi na n.k. hii tovuti (website) nilimtengenezea mwanajamii forum anaitwa Meneja wa Kampuni japo kwa Sasa haipo mtandaoni (online) nafikiri kashindwa kuilipia gharama za kuendesha za kila mwaka ila ipo hewani kwenye kumbukumbu za...
  16. Ricky Blair

    JamiiForums Tanzania Angalia Japan ilivyokuwaga Katili

    Hebu cheki Japan ilivyokuwaga katili dhidi ya China na mataifa mengine ya Asia. Ilikuwa katili km Ujerumani na iliua wachina milioni 26; ila watu bado wanaiomea huruma kupigwa mabomu ya nuclear ambayo yote yaliua watu km 200k tu when wao wameua mamilioni
  17. I

    JamiiForums Tanzania Angalia hi uone watu wanavyo sumbuliwa na imani

    Kanali wa Kikosi cha Walinzi wa Kifalme wa Saudi Arabia ameshiriki safari yake ya kusisimua na ya kihisia kutoka kuwa mtetezi mwaminifu wa Ufalme wa Kiislamu hadi kuwa mfuasi wa Yesu Kristo — uamuzi uliokaribia kumgharimu maisha yake. Katika video hii, Muhammad, aliyewahi kuwa afisa...
  18. Royal Son

    JamiiForums Tanzania Kuna shuhuda nyingine zinatia ukakasi. Angalia hii

    KAMA PICHA INVYOJIELEZA
  19. Bibianna

    JamiiForums Tanzania Fatma Mwasa: Rais Samia ametoa TZS327bn kwaajili ya barabara za mkoa wa Kagera| Angalia hii orodha uone kama kuna barabara inakuhusu kwa safari zako

    https://www.youtube.com/live/sypEPTFaiCI?si=GsKjBWqJIDu50RpP Uboreshaji wa Miundombinu ya Barabara Mkoa wa Kagera Katika Kipindi cha Rais Samia Katika hotuba yake kwa wanahabari, Mkuu wa Mkoa wa Kagera Bi Fatma Maswa amesema kuwa Serikali ya Awamu ya Sita, inayoongozwa na Rais Samia Suluhu...
  20. Lexus SUV

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ulijisikaje au ulikuwa na reaction gani pindi una angalia movie /series za kutisha sana , hasa nyakati za usiku

    Habari wanajukwaa , Wana nzengo katika jukwaa hili .... Leo tuongee jambo , ULIJISIKIAJE pindi una ANGALIA MOVIE / series za KUTISHA SANA yaaaani zile Kila dakika ni KUTISHA tuu Mimi muda huu naangalia ya KUTISHA balaa inaitwa The Strain....yaaaani ni series ya kuhusiana. Na virus na...
Back
Top Bottom