android

  1. JamiiForums Tanzania Jinsi ya kuzuia matangazo simu ya android

    Head to Settings > Network and Internet > Advanced > Private DNS. Choose the option Private DNS Provider Hostname. Enter "dns.adguard.com" and Save. That's it! You'll no longer see any in-app ad ads or pop-ups on browsers.
  2. T

    JamiiForums Tanzania Samsung imeachia update ya Android 14, One UI 6

    Samsung imeachia update ya Android 14 One UI 6 toka wiki iliyopita. Kwa wale wenye simu za Galaxy 23 Ultra unaweza ku-update simu yako kwenda One UI 6. Binafsi nilisha update lakini sioni tofauti yoyote na One UI 5.1. Kama kuna alie update humu anisaidie labda mimi ndio sijaelewa customization.
  3. JamiiForums Tanzania Powered by Android.

    Asalaam aleykum Jamiyah, hapo awali kidogo ukinnunua simu dukani ilikuwa ni simu ambayo endapo ni Samsung, Nokia, tecno na kadhalika, wakati wa kuiwasha ilikuwa inakuja nembo halisi ya simu husika bila ya kuwa na andishi lolote linaloambatana yaani linakuja neno Samsung na mbwembwe zake kwenye...
  4. JamiiForums Tanzania Android Permission Manager

    Wadau habari, naomba tuangazie macho kwenye hii functionality inayopatika kwenye simu za android. Kadri matoleo mapya Adroid yanavyokuja ndivyo usalama wake pia huumalishwa kwa kuwalinda walaji japo bado kunatakiwa kaangaziwa macho. Leo naomba kwa anayejua aniambie ni nini hasa mapungufu...
  5. JamiiForums Tanzania Microsoft: TikTok kwa vifaa vya Android ina udhaifu ambao unasababisha udukuzi kuwa rahisi

    Katika zama za mawasiliano ya kidijitali, majukwaa ya mitandao ya kijamii yamekuwa sehemu muhimu ya maisha yetu. Tunashiriki matukio yetu, kutambulisha hisia zetu, na kuungana na ulimwengu. Lazima pia tukubaliane na hatari zilizopo. Hivi karibuni, Microsoft iligundua uwezekano kwenye programu...
  6. JamiiForums Tanzania Kwa wale mnaopenda hacking; Kuna tool inaitwa AndroRat unaweza hack Android device remotely ukasoma texts, calls, hadi location ya muhusika.

    Habari wakuu Kwa watumiaji wa Kali Linux hii ni bab kubwa, hapa nawaza nianze kuifanya kama biashara najua vijana watakao hitaji kumiliki simu za wapenzi wao ni wengi. Ipo hivi. Kuna tool inaitwa AndroRat , Andro kama ufupisho wa neno Android, na Rat kama ufupisho wa neno Remote access...
  7. JamiiForums Tanzania Kutumia simu kumerahisishwa ila nashangaa wapo wenye simu za android zenye gesture bado wanatumia Vitufe vitatu vya chini?

    KUPERUZI SIMU KWA VITUFE VITATU Tukiachana na wazee and the likes, Nashangaa kuona bado kuna watu wamekomaa kuendelea kutumia vile vitufe vitatu vilivyopo chini ya screen. KUPERUZI SIMU KWA GESTURE Gesture imerahisisha sana kutumia simu, ukiswipe pembeni kulia au kushoto unarudi nyuma (back)...
  8. JamiiForums Tanzania Unajua android Tv unaweza kuifanya utakavyo?

    Watu wengi wanaogopa kuingia kwenye setting za android Tv wakijua wanaweza kuhalibu mfumo mzima. Kwenye android Tv Kuna mambo mengi unaweza fanya ambayo ulikua huyajui kabisa 😁!! 1) Change Device name 💭 Android tv yako imekuja ikiwa na jina lake pamoja na model number sio lazima likae ilo jina...
  9. JamiiForums Tanzania Android Developers wa bank ya NMB, huu uoga mmeanza lini?

    Hello bosses and roses.... "Security by obscurity" is for cowards, kwa sababu inaprove kwamba kuna loopholes nyingi na rahisi kupatikana kwenye hio system endapo nitajua au kuweza kufikia ulichokificha. Nikiwa nafanya security audit yoyote ile nikagundua developer ametumia sana 'secrecy' kwenye...
  10. JamiiForums Tanzania Android application kwa ajili ya kurekodi mauzo yako (Stock manager & sales register)

    Habari, nakuja tena kukutaarifu kua, application ya Stock manager & sales register imefanyiwa marekebisho ya muonekano wake, na kuwa wa mvuto zaidi. (linki ya application kwenye playstore) Lengu kuu la hii application ni kumsaidia mfanya biashara mdogo kuwa na uwezo wa kurekori, na kupata...
  11. R

    JamiiForums Tanzania Msaada ENABLE CLIPBOARD PERMISSION kwenye Android 11

    Habari wakuu. Nadhani hili suala nilipaswa kuliweka Kule jukwaa la Tech & Gadgets ila mara zote nikiweka threads Kule napata mwitikio mdogo sana. Kuna kitu nafanya na kinahitaji kunakili QR Code kutoka app Moja na kuiweka (paste) kwenye app nyingine ili hizi app mbili ziweze kusomana. Tatizo...
  12. JamiiForums Tanzania Natengeneza Websites, Information management systems, Android applications.

    Kwa anaehitaji huduma ya kutengenezewa website na softwares nyinginezo sikiwemo za kuratibu shughuli zote za biashara yako nk. Karibu tuzungumze kazi inafanyika katika viwango vya juu sana kwa gharama nafuu sanaa karibu 0783385667
  13. JamiiForums Tanzania Msaada Android App nzuri ya kutengeneza cover za social media

    Rejea na kichwa Cha habari hapo juu, naomba Msaada wa app nzuri ninavyoweza kudownload na kuitumia kutengeneza cover za social media post. Asanteni
  14. N

    JamiiForums Tanzania Naomba link ya DJ Mixer App nzuri kwa Android yenye uwezo wa kupanga BPM

    Msaada wa kupata dj mixing application kwa Android, yenye uwezo mzuri wa kucheza kwa kutafuta BPM bila kukwama
  15. JamiiForums Tanzania Dynamic island feature ambayo ipo kwenye iPhone 14 pro sasa inafanya kazi kwenye android yoyote bila kuwa na usumbufu wa ADs

    App inaitwa dynamic spot hii inawafaa wale wanaopenda kulemba mionekano ya simu zao
  16. JamiiForums Tanzania Hizi ndizo games kali za android na iOS za kudrive kwa sasa

    Habari Sasa hivi katika android na iOS wanatuletea games zenye graphic kali kama kwenye PC vile haya hapa chini ni majina ya games kali za kwenye simu za android na iOS Number one ni truckers of Europe 3 kutoka kwao Wanda software Number mbili ni bus simulator 2023 kutoka kwao ovidiu pop
  17. JamiiForums Tanzania Makosa yanayofanywa na watu wanaotumia simu za Android

    Simu za Android ni simu zenye mfumo rahisi kutumika lakini simu za Android pia ni rahisi Sana kuzifanyia makosa upelekea simu kualibika au kufa kabisa. Kuna makosa mengi watumiaji wa simu za Android ufanya wakati wanatumia upelekea simu zao kukosa ufanisi pamoja utendaji wake wa kazi kupotea.👇...
  18. JamiiForums Tanzania Nawezaje kudownload video za Instagram kwenye simu ya Android

    Mnaotumia Android Mnawezaje Kupakua (Download) Video Clip Huko Instagram Hua Mnatumia App Gani...?
  19. JamiiForums Tanzania Msisahau ku-update Android zenu kwenda Android 13

    Wakuu naomba kuwakumbusha kwamba Android 13 ilishatoka toka mwaka Jana August na kwa Samsung imeanza kutoka October 22. Simu yangu ilipata updates October 22, hivyo natumia Android 13 toka kipindi hicho. Kitu kimoja nilisahau nimependa na ningependa kuwashirikisha ni uwezo wa kutokuonyesha...
  20. JamiiForums Tanzania Kwa android phone security: Je kuna tracking app/software yoyote inayoweza kukwepa 'factory/hard reset'?

    Wakuu na wataalaamu wa phone security, Nini mtu afanye ili kuiwekea ulinzi smart phone ili itakapoibiwa ama kupotea aweze kuitrack? Wezi wanaflash (factory reset) na kubadili IMEI number. IMEI NUMBER inapokuwa changed, habari kwishney, polisi wanakuwa hawana msaada wowote tena. Je, kuna...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…