Makosa yanayofanywa na watu wanaotumia simu za Android

Suley2019

JF-Expert Member
Oct 7, 2019
1,813
4,545
Simu za Android ni simu zenye mfumo rahisi kutumika lakini simu za Android pia ni rahisi Sana kuzifanyia makosa upelekea simu kualibika au kufa kabisa.

Kuna makosa mengi watumiaji wa simu za Android ufanya wakati wanatumia upelekea simu zao kukosa ufanisi pamoja utendaji wake wa kazi kupotea.👇

1️⃣ kupakua program kutoka sehemu ambazo sio salama
Kuna watu wanapenda kupakua app sehemu mbalimbali kama wakikosa kwenye soko la play store upendelea kupakua program kupitia google.

jihadhari Sana sio kila tovuti ya kupakua app zingine sio salama kwani upelekea kupoteza data zako au kuibiwa.

2️⃣ Kuwa na ads nyingi kwenye simu yako
Ads utazikuta sehemu nyingi tu kwenye app au website mbalimbali unazotembelea, ads ni muhimu chanzo Cha kujingizia kipato toka kwa ma devoleper na content creator.

Ila lazima huelewe kuwa sio kila ads ni salama kwako BAADHI ni hatarishi inaweza kukuibia data zako au kutumiwa kirusi kwenye simu.

Sio rahisi kutambua tangazo fulani hatarishi Kwani waalifu wengi hutumia matangazo mazuri kuwaibia watu au kuhalibu vifaa jihadhari.

3️⃣ Kutoa permission Kwa kila app
Kuna mtu kila app ikingia kwenye simu yake yeye kazi kubonyeza Allow au yes permission sio kila app ya kuipa permission zingine ni hatarishi.

kuna baadhi ya app ukipatia permission tu Basi umeipa ruhusa ya kukusanya data zako bila wewe kujua .

4️⃣ Watu hawapendi kufanya backup ya data zao
Simu za Android zinatumia Rom kuhifadhi data Kuna nyakati unaweza kuibiwa simu, kuhalibika na Kufa kabisa. Je ndo umepoteza data zako !! Kama wewe sio mtu wa kufanya backup lazima utakua umepata hasara ya picha, video, sms, call logs nk

Ni muhimu Kufanya backup ya data ili kuwa salama.

5️⃣ Ujaweka mfumo wa find my device
Find my device ni mfumo unaokusaidia kuipata simu ikiwa umepoteza au kuibiwa ni muhimu ku set find my device ikitokea kifaa chako kimepotea au kuibiwa utakipata Kwa urahisi

Ebu tuambie ni kosa Gani unafanyaga Sana kwenye simu yako
 
Mkuu hebu fafanua kidogo hapo kwenye find my device.Unafanyaje fanyaje ili Simu yako isipotee
Find my device unaweza tumia system nyingi sana kutoka kwenye android os lakini rahisi ni kutoka kwenye link ya android.com/find baada ya kuweka link itakutaka ulogin kwa email iliyopo kwenye simu unayotaka kufind your device then itakupeleka kwenye options kadhaa ambazo miongoni ni hiyo find my device,call,erase your device na nyingine nyingi kupitia links za android.com

Sent from my SM-A700FD using JamiiForums mobile app
 
Find my device unaweza tumia system nyingi sana kutoka kwenye android os lakini rahisi ni kutoka kwenye link ya android.com/find baada ya kuweka link itakutaka ulogin kwa email iliyopo kwenye simu unayotaka kufind your device then itakupeleka kwenye options kadhaa ambazo miongoni ni hiyo find my device,call,erase your device na nyingine nyingi kupitia links za android.com

Sent from my SM-A700FD using JamiiForums mobile app
Ebu share na sisi hiyo authentic link hii muhimu sana..
 
Back
Top Bottom