Wakuu naomba kuwakumbusha kwamba Android 13 ilishatoka toka mwaka Jana August na kwa Samsung imeanza kutoka October 22.
Simu yangu ilipata updates October 22, hivyo natumia Android 13 toka kipindi hicho.
Kitu kimoja nilisahau nimependa na ningependa kuwashirikisha ni uwezo wa kutokuonyesha...
Wakuu na wataalaamu wa phone security,
Nini mtu afanye ili kuiwekea ulinzi smart phone ili itakapoibiwa ama kupotea aweze kuitrack?
Wezi wanaflash (factory reset) na kubadili IMEI number. IMEI NUMBER inapokuwa changed, habari kwishney, polisi wanakuwa hawana msaada wowote tena.
Je, kuna...
Amani na iwe kwetu wote. Nashukuru jukwaa la tech ndo huwa hawana bla bla nimesaidika sana.
Sasa nina samsung s10 ina android 12. AT &T
Tatizo lake sasa linaloninyima raha ni kutokuwepo button ya data kwenye quick panel. Nalazmika kuzunguka wenye setting kuzima na kuwasha data. Unaona...
Kuna marekebisho mengi katika hii app (BaoTz v2.0.0) katika toleo hili.
Sasa lina level 4 ambapo unacheza mchezo wa bao la kete kwenye simu yako offline, mwanzo lilikuwa na level 3.
Hata hivyo linahitaji zaidi maboresho hasa kwa upande wa AI (Artificial Intelligence) kama mnavyojua positions...
Here is a list of ADB commands that you can use through CMD or ADB Shell on local device: ADB Basics adb devices (lists connected devices) adb root (restarts adbd with root permissions) adb start-server (starts the adb server) adb kill-server (kills the adb server) adb reboot (reboots the...
Mnamo Mei 11 hadi 12, Google ilizindua rasmi Android 13, mfumo wa uendeshaji wa kizazi kipya. Kama mwanzilishi wa kimataifa katika teknolojia ya elektroniki, kampuni ya simu ya TECNO ilikuwa miongoni mwa wazalishaji wa kwanza wa smartphone kujiunga na Programu ya Android 13. Bidhaa yake ya hivi...
TYCOON BUSINESS 2022
Wale wapenzi wa games basi hii ni fursa kwenu game hili linahusika na masuala ya kiuchumi, teknolojia, utachagua nchi yako ambayo utaunda kampuni yako kisha utaanza kujenga uchumi wako kama tunavojua ili uwe na uchumi bora ni lazima uwe na jeshi bora teknolojia bora kwa...
Karibu tena jamaniina leo nakuleteya kitu ambacho ulikuwa unatamani ukifanye alafu unashiindwa.. kuna wakati unahitaji sana kutengeneza Android Application lakini haujui kuhusu lugha inayotumika kutengeneza hizo Android Application yaani JAVA au Python na jinsi ya kutengeneza mpaka ikamilike...
Kwa mwaka wa tatu program ya ufazili wa kujifunza Cloud infrastructure na android development kupitia pluralsight,Google na Andela
Deadline ya kuingia 31-05-2021
Tusipitwe na fursa hii muhimu.
Tembelea website ya Andela au pluralsight kufanya application.
Ninashida ya operating system ya tv yangu pinetech model no PT55-E1 smart 55' na cjajua namna ya kutatua tatizo coz ikiwaka inaandika "PINETECH" halafu inaandika tena "Android" inagandia hapo, hakuna chochote tena. Naombeni msaada ata ushauri tu
Wakuu natumaini mu wazima wa afya, karibu hapa tujadiliane kidogo kuhusiana na maswala ya Android application development.
Kuna baadhi ya watu wamekuwa wakihitaji kuingia kuna Android Development lakini wanakosa pa kuanzia sasa hapa nazani patawafaa sana.
Natambua kuna nyuzi kadhaa zimewahi...
Mtu aniekekeze napataje database hosting kwa ajili ya android au iOS app yangu, nimeunda app lakini inahitaji database, wasi wasi wangu ni kama hapa Tanzanzia kuna hiyo huduma au mpaka nitumie za nje.
Kama unatumia Samsung siku ukishika simu nyingine za Android unatamani urudi Samsung mapema sana.
Nimetumia Oxygen OS ya One Plus, Color OS ya Oppo, MIUI ya Xiaomi na nyinginezo lakini hakuna inayoifikia One UI ya Samsung kwa utamu wa mpangilio wa apps, fluidility, visual impressiveness nk...
siongei sana, wacha tunyoke moja kwa moja kwenye hizi points zaidi ya 20
Bei ya iphone ipo juu kwasababu haitaki ushindani
Iphone ni kama unaposafiri safari ndefu kwa basi, huwa kuna ile migahawa ipo highway sehemu ambazo hakuna makazi, bei ya "robo sahani" ya chipsi na vimishkaki vidogo ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.