anahitajika

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Private Lecture Quantitative Technics anahitajika haraka

    Habari wa jukwaa natumaini ni wazima,Nina kimeo carry ya quantitive Technics Postgraduate natakiwa ndani wiki mbili zijazo nikafanye mtihani,please naomba nipate mwalimu wa kunibrush niweZe kuchomoka, 2hrs per day ,Malipo ni mazuri nikichomoa supplementary bonus pia nitatoa Natanguliza...
  2. Mfanyakazi wa Usiku anahitajika

    Muda wa kazi Saa 4 Usiku - Saa 4 Asubuhi Majukumu: Wakala Mitandao ya Simu Mshahara 200,000 Mawasiliano: PM Eneo la kazi: Mbezi Mwisho VIGEZO NI VILE VILE KAMA 👇 https://www.jamiiforums.com/threads/anahitajika-binti-mwenye-uzoefu-na-kazi-ya-uwakala-wa-pesa-mitandao-yasimu-na-benki.2212350/
  3. 2D animator anahitajika

    Awe na uzoefu wa kutumia 'software' yoyote ya 2D kutengeneza video ya katuni Awe na uwezo wa kutengeneza video ya masaa 10 kwa mwezi Awe na elimu yoyote kuanzia darasa la saba Malazi ni bure Ataanza na mshahara wa Tsh. 500,000/= Mwenye hizo sifa, tuwasiliane.
  4. N

    Girl friend anahitajika baadae awe mke

    Sifa za mwanamme Mrefu maji ya kunde, Elimu degree, Umri 30, Mpole na mcheshi, Kajiajiri,kipato cha kubadilisha mboga tu. Makazi Dodoma Sifa za mwanamke anaehitajika Elimu kuanzia form four Umri kuanzia 20 - 35 awe smart Dini yeyote,rangi yeyote kimo chochote Akiwa na mtoto asizidi mmoja...
  5. M

    Dereva anahitajika Dar es Salaam, malipo ni makubaliano

    Habari za leo, kuna rafiki yangu anahitaji dereva atakayekuwa analipwa kwa siku,au kwa week, maana ana mgeni wake ambaye anakuja week ijayo, hivyo anatakiwa awe anamuendesha, root ni za hapa hapa dar es salaam, ikizidi sana Bagamoyo. Dereva awe flexible yani kufanya kazi asubuhi, muda mwingine...
  6. B

    Mwanamke mwenye sifa hizi, muda wako wa kukutana na mwenza wako umefika

    Mwonekano 1. Mrefu 2. Mweupe Umri Kuanzia miaka 20-27 Dini Mkristo (Msabato) Kabila Msukuma ( hasahasa Mnyantuzu), Muha au Mhehe. Elimu Diploma/ Degree SIFA ZANGU Mwonekano 1. Mrefu 2. Mweusi  Umri Miaka 28  Dini Mkristo (Msabato)  Kabila Msukuma (Mnyantuzu)  Elimu Diploma Kazi...
  7. Ajira- mkurugenzi wa Wanachama na Mashabiki anahitajika klabu ya Simba

    Kazi kwenu
  8. Mwalimu wa Math/ Physics and Computer Studies anahitajika

    Habar mwalimu wa SoMo la mathematics/physics na computer studies anahitajika Shule inahtaji huyo mwalimu wa level ya degree au diploma at least awe anaweza kifundisha SoMo mojawapo hapo juu +computer( compulsory) Akiwa wa kike itakuwa vizuri zaidi Shule ipo Moshi Dc Kilimanjaro kama ungependa...
  9. Anahitajika hitajika Mfamasia Dar.

    Anahitajika Mfamasia mwenye Degree kusimamia pharmacy iliyopo Kigamboni ,Mshahara ni Tsh 800,000/= kwa mwezi namba ya simu kwa mawasiliano ni 0713214258
  10. Muhudumu wa bar anahitajika

    Maji ya Chai Arusha 0763759391. Jinsia ya Ke
  11. IT specialist anahitajika Moshi Kilimanjaro

    Kama umesoma IT jaribu bahat Yako hapa
  12. Anahitajika Binti mwenye uzoefu na kazi ya UWAKALA wa pesa mitandao yasimu na benki

    Eneo : Dar/kimara Muda Wa kazi : 1 asbuh - 4 usku Mahitaji Wadhamin wawili (2) waliojenga wanao ishi kwao. Mshahara : 200,000 Mawasiliano : PM
  13. S

    Nahitaji mke mtu mzima

    Nahitaji mke awe na umri kuanzia miaka 30 -48. Mimi nina umri wa miaka 44. Awe mkristo na mwenye kumcha Mungu. Elimu kuanzia Diploma na kuendelea.
  14. G

    Mke anahitajika haraka

    Mimi ni: Kijana: 35 Sija wahi kuoa: Sina mtoto: Mjasiria Mali: Nina shahada ya kwanza. Niko, Ilala, DSm. Sina kitambi , mrefu wa wastani. Dini : mkristo. Sifa za mke mtarajiwa Awe: Mzima wa afya. Na hofu ya Mungu. Na Elimu angalau ya kujua kusoma na kuandika au zaidi. Na kazi inayompatia...
  15. R

    Nafasi ya Programme Meneja -Ubalozi wa Uingereza Mshahara 5.5M kwa Mwezi

    Job Category 1 Foreign, Commonwealth and Development Office (Programme Roles) Job Subcategory 1 Foreign, Commonwealth and Development Office (Programme Roles) Job Description (Roles and Responsibilities) 1 Main purpose of job: BHC Tanzania is looking for a programme manager to work within the...
  16. E

    Anahitajika Mfamasia, mkoa wa kazi ni Lindi

    Anahitajika mfamasia mwenye Degree, mshahara utakuwa ni makubaliano kati ya mkurugenzi na muhusika. Tupo mkoa wa Lindi kwa maelezo zaidi piga +255 627 826 480 au 0656 704 979 Karibuni sana.
  17. M

    Anahitajika mtaalam wa Kutengeneza chakula cha mifugo.

    Tuna tegemea kuwa na Kiwanda kidogo cha kuzalisha chakula cha mifugo aina mbalimbali, tunahitaji mwenye ujuzi na awe na uzoefu huo kwa kazi husika. Kwa yeyote mwenye ujuzi huo namkaribisha Pm au email; godfreycyp@yahoo.com
  18. K

    Anahitajika Mfanyakazi wa Stationery

    TANGAZO Anahitajika Mfanyakazi wa kike mchapakazi kwa ajili ya kazi za Stationery. Awe Mwaminifu na mdhamini mwenye makazi ya kudumu. Awe anajua Microsoft office(Ms Office , Ms Excel, PowerPoint, Ms Publisher) vizuri na Software angalau Moja ya Adobe. Awe anajua kupiga passport na kuprint...
  19. M

    Mke anahitajika

    Mwanaume Naishi Dodoma kikazi. Umri wangu 39.5 Watoto 2mapacha , mama yao alkwshaorewa Dini:mkristo Kazi:nmeajiriwa na serikali Mweusi mimi sio sana Nahitaji mke Umri 25-35 Awe mweusi kidogo Watoto1 au wawili tutaangalia au asiwe nao Mkristo Awe na heshima na ajue kupiga goti kwenye kabila...
  20. D

    Anahitajika Afisa Masoko

    Habari ndugu, Anahitajika kijana Mwenye ujuzi wa Masoko na Biashara, hasa kwenye fani ya Afya, eneo KILUVYA MADUKANI Dar es salaam. Vitu muhimu; Awe anaishi Eneo ambalo Sio Mbali Sana na Kiluvya,mf Kibamba, kibaha n.k Awe na umri miaka 20-25 Kwa mawasiliano 0758918144 whatsapp only
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…