amri

Sanaa or Sanaʽa (Arabic: صَنْعَاء‎ Ṣanʿāʾ) is a governorate of Yemen. Its capital is Sanaa, which is also the national capital. However, the city of Sanaa is not part of the governorate but instead forms the separate governorate of Amanat Al-Asemah. The Governorate covers an area of 13,850 km2 (5,350 sq mi). As of 2004, the population was 2,918,379 inhabitants. Within this place is Jabal An-Nabi Shu'ayb or Jabal Hadhur, the highest mountain in the nation and the Arabian Peninsula.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Kifo cha mtoto albino kinataka amri ya Rais sio masikitiko ya Rais

    Akiwa kwenye Kongamano la Maendeleo ya Habari, Rais Samia Suluhu Hassan ameonesha masikitiko kutokana na kifo cha mtoto mwenye ulemavu wa ngozi kule Kagera. Rais ametaka watu waliokuwa kwenye kongamano wasimame na kumuombea. Hata hivyo hakutoa kauli ya kimamlaka kutaka waliohusika wakamatwe...
  2. Y

    JamiiForums Tanzania SoC04 Tuachane na itikadi ya uchumi wa amri au "command economy" ili tuelekee uchumi wa masoko huru au "free market economy"

    Habari Wanajukwaa wote! Poleni na hali ya kimaisha ambayo tumekuwa tukiishi nayo kwa muda mrefu ambayo haikuwa na budi kutokea ila imefika wakati inabidi kuachana nayo kwa ustawi wa kila mmoja wetu ili kuendana na uchumi wa kudunia unaoendelea hivi sasa. Rejea na kichwa cha andiko hili, nchi...
  3. L

    JamiiForums Tanzania David Kafulila ni Mkuu wa Mkoa Pekee Nchini ambaye amewahi kumpa Amri Mkandarasi kurudia Barabara kwa gharama zake

    Ndugu zangu Watanzania, Napowaambia kuwa David Kafulila ni Chuma nakuwa namaanisha ni CHuma kwelikweli na Mzalendo wa dhati Wa Taifa letu,ambaye huwa hayumbi wala kuyumbishwa wala kutetereshwa wala kuogopa wala kupoozwa wala kuangalia ni nani anayepambana naye au aliye mbele yake. Chuma David...
  4. JamiiForums Tanzania Rais Samia CCM watoe amri mfumo wa PEPMIS usimame kwanza mpaka pale mtandao wao utakapokuwa na nguvu

    CCM ni chama chama wakulima na wafanyakazi, lazima kiwasemee watu hawa. Ni wapiga kura wake. Katika pitapita zangu mitaani, ni hofu imetanda miongoni mwa watumishi wa umma. Watumishi wa umma wamewekewa mfumo wa kutathmini kazi zao, na wanatakiwa wajaze taarifa zao humo. Kwa mujibu wa...
  5. JamiiForums Tanzania Israel imeshaichukua Rafah yote. Hakuna bataliani za Hamas wala mateka. Inaua tu bila kizuizi ikipingana na amri ya ICJ

    Kinachoendelea Gaza kimetoa picha kwa kila mwenye ubinadamu kuwa nchi inayoitwa Israel ni taifa la watu ambao ni wasahenzi sana.Hawasikii nasaha za binadamu wala kutii amri za mahakama. Baada ya kuchukua udhibiti wa lango la mpaka wa Rafah wiki mbili nyuma leo imetangazwa kuwa jeshi la Israel...
  6. JamiiForums Tanzania FT: Simba SC 1 - 0 KMC | NBC Premier League | Sheikh Amri Abeid Kaluta Stadium -Arusha | 25.05.2024

    Leo Timu bora kuliko zote Africa Mashariki na Kati kwa mujibu wa CAF, Mnyama Simba Sport Club anakutana na KMC katika mchezo wa NBC Premier League. Simba inaingia uwanjani ikiwa inawania nafasi ya pili ambayo inaishikilia timu ya Azam hivyo ushindi pekee ndio utakaoiweka katika nafasi nzuri ya...
  7. JamiiForums Tanzania Urusi: Rais Putin asaini amri ya kukamatwa kwa Mali za Raia wa Marekani Nchini Urusi pamoja na Kampuni ili kufidia Vikwazo vya Marekani dhidi ya Mosco

    Rais wa Russia Vladimir Putin amesaini amri inayoruhusu kukamata mali za Marekani, za raia wake na za kampuni zake ndani ya Russia, kama fidia kwa mali za Russia zilizoathiriwa na vikwazo vya mataifa ya Magharibi dhidi ya Moscow. Nchi za Magharibi zilizuia dola bilioni 300 za mali za kifedha za...
  8. JamiiForums Tanzania FT: Federation Cup: Azam FC 3 - 0 Coastal Union | 18 May 2024 | CCM Kirumba Stadium

    Tumeanza mechi. Kikosi cha Azam FC kinachoanza Kikosi cha Coastal Union kinachoanza Dakika ya 41 Azam wamepata penalty... Gooooal - Sopu
  9. JamiiForums Tanzania PreGE2025 2025, Wananchi mkatae kuwa misukule ya wabunge wasiofanya wajibu wao mpaka wakikaribia uchaguzi

    Tufike wakati tuseme imetosha sasa. Jana kwenye kikao cha Bunge nimewanukuu wa Bunge watatu wakililia barabara na wengine kusema, Mheshimiwa Waziri, wananchi tumewafanya kama misukule, hao ndio wanaturudisha bungeni sasa. Tushafanya nyimbo kila ukikaribia uchaguzi tunawakimbilia. Tukipata...
  10. JamiiForums Tanzania Lissu na Muungano wa mchongo, aeleza kutekwa kwa Jumbe

    Tundu Lissu akielezea kuhusu muungano wa mchongo. Aelezea kuhusu wapinga muungano wa kizanzibari kutekwa na kuwekwa vizuizini, Jumbe na wenzake. Sikilizeni hapa cheche zake.
  11. JamiiForums Tanzania Argentina yatoa amri ya kukamatwa kwa Waziri wa Iran aliyelipua bomu nchini humo

    Hilo bomu alilipua mwaka wa 1994 kule Argentina...... --- The Argentinian Foreign Affairs Ministry made an official request to arrest Iranian Interior Minister and former Quds Force commander Ahmad Vahidi for his role in the 1994 AMIA bombing, the ministry announced Wednesday morning. The AMIA...
  12. JamiiForums Tanzania Nikifungua kanisa, hizi ndizo zitakuwa Amri zangu

    Bwana Ni Mwema Watu Wa Mungu! Biashara ya dini kwa sasa ndiyo biashara inayolipa asikwambie mtu Nimemshuhudia jamaa yangu kwa miaka 4 tu amepiga hatua kubwa sana dogo alianza na mtaji wa watu wachache sana akisali chini ya mti wa mwembe baada ya miezi kadhaa watu {mtaji ukakua} wakaongezeka...
  13. JamiiForums Tanzania Amri ya sita (Usizini)

    Hamjambo; Kumekuwa na kasumba kubwa inayokuta rika zote kuendekeza ngono kwa kiasi kikubwa huku wakiona ni ujanja. Amri ya sita iheshimiwe hatakama umekosa elimu juu ya madhara mbalimbali kuhusu ngono basi tumia akili. Kama huna adabu basi jifunze kuwa na aibu maana ni kituko kikubwa sana...
  14. JamiiForums Tanzania Aliyetoa amri ya kubandua plate number za 3D akapimwe akili

    Siongei chochote, ila nauliza tu, baada ya kubandua, hizo namba zinapofutika, ndio Camera za polisi zinaweza kusoma? ========================== ========================= ==========================
  15. K

    JamiiForums Tanzania Agizo la Rais ni amri

    Juzi Mhe. Rais akiwaapisha Wateule wake alikemea sana wizi unaofanyika Serikalini na baadaye akasema kuwa kuanzia sasa Halmashauri zitapewa fedha kutoka Serikalini kutokana na makusanyo yake. Mfano kama halmashauri itakusanya 50% basi Serikali itawapa pia 50%.. Agizo la Mhe. Rais ni amri...
  16. JamiiForums Tanzania Vodacom wapuuza amri ya Mahakama Moshi

    Kampuni ya mawasiliano ya simu ya Vodacom imepuuza amri ya Mahakama ya Mwanzo mjini Moshi ilyowataka kurudisha pesa za mteja wao anayedaiwa kitapeliwa na mtandao wa mataperi. Mahakama hiyo chini ya mheshimiwa P.S Claudia ambaye ni hakimu mkazi mfawidhi wa mahakama hiyo,aliamuru kiasi cha...
  17. JamiiForums Tanzania Niliwaambia tumieni tu CCM Mkwakwani au Sheikh Amri Abedi Kaluta na msithubutu kwenda CCM Kirumba mkanipuuza acheni sasa yawakuteni

    Ni Mpumbavu tu pekee Tanzania nzima ndiyo mpaka leo hajui kuwa Mkoa wa Mwanza 80% ni Ngome Kuu na Tukuka ya Wananchi na hatujawahi kuwa na rekodi nzuri na ya uhakika tukicheza CCM Kirumba tokea Kipindi cha Pamba FC, Lumumba Rovers FC, Toto Africans na Mbao FC zaidi tu ule wa Kubahatisha /...
  18. T

    JamiiForums Tanzania Mungu alikua na maana gani kuagiza kwenye amri ya 6 Usiue kisha akaagiza wana wa Israel kuua watu wa mataifa mengine?

    Historia ya biblia inasema Mungu alimpa Musa amri zake 10 kuu, kati ya amri hizo iko amri ya 6 ya usiue. Hii amri Mungu aliwakataza binadamu kuua ama kukatisha uhai wa binadamu wenzao. Cha kujiuliza na kushangaza, Mungu huyo huyo akaamuru wana wa Israel kuua watu wa mataifa mengine kama...
  19. JamiiForums Tanzania Rais Mwinyi, tengua Amri haramu ya kwamba Wamasai hawaruhusiwi kutembea na fimbo na Sime Zanzibar. Inahatarisha Muungano!

    Nina laani kwa nguvu zote kitendo cha vurugu za mgambo na watu wa jamii ya kimasai kwakupigana hadharani, Nina laani Masai kushambulia Mgambo, Nina laani kwa nguvu kubwa Mgambo wa Zanzibar kushanbulia watu wa jamii ya kimasai! Jambo hili halikubaliki kwa mjibu wa sheria za Jamhuri ya Muungano wa...
  20. JamiiForums Tanzania Nchi za kikomunisti ni nchi zilizo chini ya amri na utawala wa chama kimoja. Nawakumbusha tu msisahu hilo

    Nawafunza somo jepesi. Mfumo wa kikomunisti una toa mamlaka ya kuitawala kwa nchi kwa chama kimoja pekee. Hata kama nchi ina mfumo wa vyama vingi kama China ila mamlaka ya kutawala China yapo chini ya wakomunisti pekee kwa mujibu wa katiba ya jamhuri ya watu wa China. Nawakumbusha kuna...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…