amri

Sanaa or Sanaʽa (Arabic: صَنْعَاء‎ Ṣanʿāʾ) is a governorate of Yemen. Its capital is Sanaa, which is also the national capital. However, the city of Sanaa is not part of the governorate but instead forms the separate governorate of Amanat Al-Asemah. The Governorate covers an area of 13,850 km2 (5,350 sq mi). As of 2004, the population was 2,918,379 inhabitants. Within this place is Jabal An-Nabi Shu'ayb or Jabal Hadhur, the highest mountain in the nation and the Arabian Peninsula.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania MAHAKAMA hiyohiyo Kesi ya Lissu, inatoa Amri, Serikali haifuati , hamna kinachotokea. Alafu Madeleka anakamatwa kwa kutofata Amri ya Mahakama

    Ukistaajabu ya Mussa!!
  2. JamiiForums Tanzania Polisi: Madeleka tunamshikilia kwa kudharau amri ya mahakama Kuu

    Madeleka ana bahati sana hajapotezwa. Baada ya Presha ya Mitandaoni Polisi wakiri kumshikilia. ==== TAARIFA KWA UMMA POLISI DAR ES SALAAM INAMSHIKILIA WAKILI PETER MADELEKA KWA TUHUMA ZA KUDHARAU AMRI YA MAHAKAMA KUU Mnamo tarehe 14 Agosti, 2026 saa 09.30 alasiri eneo la Mikocheni B...
  3. JamiiForums Tanzania Lissu ana hoja: DPP haheshimu amri za mahakama

    Mshtakiwa kwenye kesi ya Uhaini Tundu Lissu amelalamikia tabia ya Ofisi ya mwendesha mashitaka wa Serikali (DPP) kutoheshimu amri za mahakama. Lissu amesema mahakama mara kadhaa imewaagiza upande wa mashitaka kuleta mashahidi wa kutosha kwenye kesi hiyo, lakini upande wa mashitaka hautekelezi...
  4. JamiiForums Tanzania Vita Vya Iran na Marekani: Marekani Yasalimu Amri: Kila Mchuma Janga Hula na Wakwao

    Mohamed Said anakumbuka wimbo waliokuwa wakiimba utotoni huko Mnazi Mmoja, Dar es Salaam, walipokuwa wakicheza kwenye mapembea: "...tukikaa kwenye kile tulikuwa tunaimba mchimba kisima akaingia mwenyewe wewe kaingia mchimba kisima ndoa hii mchimba kisima kaingia mwenyewe fedha hii..."...
  5. JamiiForums Tanzania Naibu Waziri akifungia kiwanda cha nondo ambacho amekuta kikiwa na risasi na kubaini ukiukwaji wa sheria za mazingira

    Kiwanda cha kuzalisha nondo cha Hangjin Steel Tanzania Limited kilichopo Kisenvule, Wilaya ya Mkuranga mkoani Pwani, kimefungwa kwa muda baada ya Naibu Waziri wa Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira), Reuben Kwagilwa, kubaini ukiukwaji wa sheria za mazingira pamoja na kukutwa kwa...
  6. K

    JamiiForums Tanzania IGP MSTAAFU MAHITA: NANUKUU "WAZIRI HANA MAMLAKA YA KUTOA AMRI KWA IGP NA JESHI LA POLISI LABDA JESHI LA MAGEREZA"

    IGP MSTAAFU MAHITA, akiwa anahojiwa katika podcast ya Mr&Mrs Kashera alisikika akisema, JESHI LA POLISI linapokea AMRI na maagizo kutoka katika Mamlaka tatu tu ambazo ni Rais, Makamu wa Rais na Waziri Mkuu. Sasa huyu Waziri wa Sasa WA mambo ya ndani haya Mamlaka nani aliyempa??? Je, IGP wa...
  7. JamiiForums Tanzania Vita Vya Iran na Marekani: Nani Kasalimu Amri Iran au Marekani?

    "Naamka napita mitandaoni kwanza kabisa habari muhimu naikuta Aljazira wanatangaza wanasema Marekani na Irani wamekubaliana kumaliza vita. Basi mimi kwanza nikaitizama kile cha habari... Kwani vita hivi alianza nani? Na nani kila siku alikuwa anasema atampigia nani?. Ukweli ni kuwa Marekani na...
  8. A

    JamiiForums Tanzania KERO Wakazi wa Mbagala Rangi Tatu tulivunjiwa nyumba zetu kimakosa, amri ilikuwa ya Kitalu kingine, tunapambania haki yetu

    Suala hili kiukweli linaumiza sana. Kulikuwa na amri ya kubomoa Kitalu namba 13, ambacho kiko upande wa nyuma na kilikuwa ni eneo la wazi lililovamiwa. Nyaraka zote za serikali, maamuzi ya mahakama, barua za notisi, na ramani zilikuwa zinaonyesha wazi kuwa zoezi lilikuwa ni kwa ajili ya Kitalu...
  9. JamiiForums Tanzania Uingereza wasalimu amri

    Serikali ya Uingereza imeondoa baadhi ya vikwazo dhidi ya mafuta ya Urusi,huku bei ya mafuta ikipanda nchini humo. Agizo hilo limeanza kutekelezwa hii leo, na inaashiria hofu inayoongezeka kuhusu upatikanaji wa mafuta kutokana na kuzuizi kilichowekwa katika Mlango bahari wa Hormuz tangu kuanza...
  10. JamiiForums Tanzania 518 waliuwa,+ 10,000 waliokamatawa na kusamehewa si wanatosha au Sasa tunatafuta walio ua na walio toa amri ya mauaji?

    Nijibuni swali LANGU bhandungu.
  11. JamiiForums Tanzania Tunakataaa kuwajibishana kwa maslahi ya nani? Kwanini mpaka leo Viongozi wa Vyombo vya ulinzi wa Usalama wako ofisini?

    Kama wewe ndo ulitoa amri waue watoto wetu, basi jiuzuru wewe wao waendelee kukalia hivyo viti Lakini wao wapo na wewe upo ili Taifa halitopona mkuu achia nchi life lisonge Uliowaua wanalia MIKONOni mwakoooo!
  12. JamiiForums Tanzania Wasabato mnaofanya kazi siku ya sabato ni kwamba Amri ya 4 hamuijui au mwafanya makusudi?

    Kutoka 20:8-11 Ina waamru wasabato wote kutokufanya kazi yoyote Ile yeye wala mke wake,watoto wala wafanyakazi wake zamani wakiitwa watumwa. Ikaenda mbali ikasema hata punda wa msabato imeandikwa asifanye kazi yoyote kwa mujibu wa amri hiyo. Ajabu ni kwamba wasabato wanatuhubiria sana kuwa...
  13. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Asante Jaji Chande Kwa Ripoti Yako, Japo Imekidhi Haja Kutoa Idadi ya Vifo 518, ila Bado Haijakata Kiu!, Aliyetoa Amri Kutumia Za Moto ni Nani?!.

    Wanabodi, Hii ni Makala yangu kwenye gazeti la Nipashe, Jumapili ya leo. Leo, nimeizungumzia Ripoti ya Jaji Chande kwa kuwa mtu wa shukrani, kushukuru kwa hiki kidogo ili tupatiwe kikubwa!. Asante Jaji Chande Kwa Ripoti Yako, Japo Ripoti Imekidhi Haja, ila Haijamaliza Kiu!. Asante kwa Kutoa...
  14. K

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Nani alitoa amri ya “shoot and kill”?

    Bahati mbaya tume haikutupa majibu ya nani alisimamia zoezi Zima la kuwafyatulia risasi za moto na kuwauwa wandamanaji wasokuwa na silaha. Mimi katika family yangu Kuna kijana wa miaka 20 alipigwa risasi ya mbavu na kuwawa maeneo ya mbauda pale sina uhakika kama tume ya chande ilimuhesabu ktk...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Ligi Kuu Bara. FT: Fountaain Gate 0 - 3 Simba uwanja wa Amri Abeid Aprili 15, 2026

    Mechi kati ya Simba inaendelea muda huu Simba wakiwa mbele kwa bao 2 dhidi ya Fountain gate. Simba yupo ugeninim, Goli kwanza limefungwa na Chama, la pili limefungwa na Gueye. Na sasa ni kipindi cha pili ----- Wekundu wa Msimbazi, Simba SC, wameendeleza wimbi la ushindi katika Ligi Kuu ya NBC...
  16. K

    JamiiForums Tanzania Simba SC 3 - 1 Dodoma Jiji FC : CRDB Confederation Cup : 12/4/2026 Sheikh Amri Abeid Arusha

    Baada Ya Kubana, sasa Wanaachia. Dk 60 SSC 2 - 1 DFC
  17. JamiiForums Tanzania "Makomandoo" watwangana makonde na Walinzi Uwanja wa Sheikh Amri Abeid kabla ya TRA Vs Simba, Aprili 9, 2026

    Wakati msafara wa timu ya Simba SC ukiingia uwanjani majira ya Saa 8:30 Mchana wa leo Aprili 9, 2026 kwenye Uwanja wa Sheikh Amri Abeid jijini Arusha kwa ajili ya mchezo wa Ligi Kuu Bara kuna hali ya sintofahamu kati ya wanaodhaniwa kuwa ni “Makomandoo” na walinzi wa uwanja, hali ambayo...
  18. JamiiForums Tanzania FT | TRA SC 0-0 Simba SC | NBC Premier League | Sheikh Amri Abeid - Arusha

    Mechi ya kiporo ya TRA SC dhidi ya Simba SC inatarajiwa kupigwa jioni saa 10:00 katika Uwanja wa Sheikh Amri Abeid Stadium, ikiwa ni sehemu ya mashindano ya NBC Premier League, ambapo timu zote zinatarajia kuonesha ushindani mkali kusaka alama 3 muhimu. Kikosi cha TRA United SC Kikosi cha...
  19. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Toxic Peanut Butter Alert: “Sumu Kwenye Mkate?” Serikali Yatoa Amri ya Dharura

    Wakenya mko rada? The Ministry of Health imechukua hatua kali baada ya kubaini baadhi ya peanut butter brands zina aflatoxin levels hatari sana way above the safe limit ya 15ppb. Brands zilizoathirika ni Nutie, Kismat, Pannaj na Muleka. Imagine, Nutie batch moja ilipatikana na 934ppb hii ni...
  20. JamiiForums Tanzania SI KWELI Iran imetoa amri ya kupiga risasi raia anayesimama na Israel

    Kwa sasa kumekuwepo na taarifa amabayo imechapishwa kwenye mtandao wa kijamii wa facebook kwenye ukurasa wa Katunzi Blog ukiwa na nukuu ya Iran imetoa amri ya kupiga risasi raia anayesimama na Israel Katika chapisho limeonekana kuwa na nukuu hii "Baba na mama, kama mwana wako au binti yako...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…