1. Uchaguzi wa serikali za mitaa 2019.
Katika uchaguzi huu, Wagombea wote wa CHADEMA walienguliwa. Freeman Mbowe hakuongoza mapambano ya kufa na kupona ili kupigania haki( Mfumo ulimpa chake, akakaa kimya)
2. Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2020.
Mfumo wote wa uchaguzi uliharibiwa. Freeman Mbowe...