amavubi gfsonwin

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. The Sunk Cost Fallacy 2

    JamiiForums Tanzania Mbeya: Auawa kwa kupigwa Risasi kisa kudai ushuru wa maegesho wa shilingi 7,500

    Mtu mmja aliyejulikana kwa jina la William Mgaya ambaye ni wakala wa kukusanya ushuru wa magari ameuawa kwa kupigwa risasi na mfanyabiashara wa madini kutoka Chunya. Polisi wa Mbeya wanamshikilia mtuhumiwa kwa hatua zaidi za kisheria. My Take Serikali kuweni makini na kuwapa watu silaha, siyo...
  2. Herbalist Dr MziziMkavu

    JamiiForums Tanzania Upatikanaji maji DSM Asilimia 100

    Ofisa Mtendaji Mkuu wa Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dares Salaam (DAWASA), Cyprian Luhemeja ametangaza upatikanaji wa maji katika Jiji la Dar es Salaam kurejea kwa asilimia 100. “Kwa sasa hali ya maji ni nzuri na huduma ya maji imerudi kawaida na safari hi tumerudi kwa kishindo...
  3. Herbalist Dr MziziMkavu

    JamiiForums Tanzania Wakimbizi 16 wapewa uraia Tanzania

    Tanzania ni Nchi pekee Afrika ambayo imetoa uraia kwa Wakimbizi 162,000 wa Burundi, 30,000 wa Rwanda na 10,000 wa Somali Bantus. Mwakilishi wa Shirika la Wakimbizi Duniani upande wa Tanzania, Mahoua Parums ameishukuru Serikali ya Tanzania kwa Ushirikiano kwenye masuala ya Wakimbizi katika kikao...
  4. Herbalist Dr MziziMkavu

    JamiiForums Tanzania Makali mgao wa umeme kuendelea kupungua

    SHIRIKA la Umeme Tanzania (TANESCO), limesema makali ya mgawo wa umeme yanaendelea kupungua, baada ya megawati 350 Zilizopunqua siku za hivi karibuni kuanza kureiea na wiki ijayo zitaendelea kushuka hadi megawati 100. Aidha, limesema hadi Februari mwaka huu hakutakuwa na mgawo wowote kutokana...
  5. Herbalist Dr MziziMkavu

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Bomba la DAWASA lapasuka Mbezi Beach, siku ya 4 halijafanyiwa matengenezo

    Uzembe unaofanywa na meneja wa DAWASA Kawe jijini Dar es-Salaam.
  6. Herbalist Dr MziziMkavu

    JamiiForums Tanzania SWALI LANGU LA LEO HUYU NI NANI JAMANI?

    Swali langu la leo je huyu ninani kw ajina?Wengi wetu mutafeli kulijibu swali langu.
  7. Herbalist Dr MziziMkavu

    JamiiForums Tanzania Maradhi ya kisonono au gonorrhea

    Kisonono (gonorrhea) ni nini? Kisonono ni ugonjwa kati ya magonjwa ya zinaa unaosababishwa na bakteria aina ya Neisseria gonorrhoeae, bakteria ambao hukuwa na kuzaliana kwa haraka katika sehemu zenye unyevunyevu na joto mwilini kama kwenye shingo ya kizazi kwa wanawake (cervix), mirija ya...
  8. Herbalist Dr MziziMkavu

    JamiiForums Tanzania Wanatangaza kifo cha Faru kwa huzuni, wanashindwa kutangaza habari za waliwopatwa ajali ya ndege

    Hizi ndizo akili za viongozi wa Tanzânia zilipofikia wanatangaza kifo cha Faru kwa huzuni lakini wanashindwa kutangaza habari za waliwopatwa ajali ya ndege kwao Faru ana thamani kuliko Mtanzania wa kawaida.
  9. Herbalist Dr MziziMkavu

    JamiiForums Tanzania Balozi wa Tanzania nchini Marekani atangaza biashara ya madini ya Tanzanite nchini Marekani

    BALOZI WA TANZANIA NCHINI AMERIKA ATANGAZA BIASHARA YA MADINI YA TANZANITE NCHINI AMERIKA
  10. Herbalist Dr MziziMkavu

    JamiiForums Tanzania Hayati Magufuli alitabiri haya hapa mawili, yametokea

    Marehemu Rais wetu mpendwa RIP Doctor Magufuli aliwahi kutabiri kuhusu Umeme na Maji alisema kuwa akiondoka matatizo yatarudi kama zamani na leo hii yamerudi tena matatizo ya Umeme na Maji kwa njia ya mgao Lohhh Aliyeturoga sisi Wa-Tanzania ameshafariki miaka mingi hatuwezi tena kupona maradhi...
  11. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Malawi yabaini kaburi walipozikwa watu 25 ya raia wa Ethiopia

    Mamlaka za Malawi zimeeleza miili hiyo inakisiwa kuwa ni wahamiaji haramu kutoka Ethiopia ambao wamezikwa katika Kijiji cha Mzimba kilichopo kilometa 250 kutoka Mji Mkuu wa Lilongwe. Polisi wamesema inaaminika walikuwa wakisafirishwa kuelekea Afrika Kusini kupitia Malawi, waliofariki...
  12. Herbalist Dr MziziMkavu

    JamiiForums Tanzania Zijue platform za kimtandao zilizowahi kuwaibia watanzania

    Zijue platform za kimtandao zilizowahi kuibia watu Tz 1.BC investiment 2.QNET 3.EARNJET AGENCIES 4.DAJIP 5.NEXTSTEP VENTURE 6.PAMA FUND 7.SME 8.IDEA DEBATOR 9.DEAL NO.1 10.SCATEC 11.GLOBAL 12.ALIANCE 13.PAYMARA 14.CRYPTO BOND 15.SUPREME HARVESTERS 16.ZIRCON 17.INCLUSIVEFX 18.GROSSBYTE 19.VORTEX...
  13. Herbalist Dr MziziMkavu

    JamiiForums Tanzania Wananchi wameshachoka kimaisha wameamua kujichukulia sheria mikononi mwao

    Majangaa kweli inafika wakati Wananchi wanachoka na kuamuwa kujichukulia sheria mikononi mwao hatari kweli. Mungu atusaidie tuondokane na umasikini, njaa na maradhi amin.
  14. Herbalist Dr MziziMkavu

    JamiiForums Tanzania Mchanganyiko wa dawa za Ibuprofen na Codeine unavyohatarisha maisha

    Mchanganyiko wa dawa za Ibuprofen na Codeine unavyohatarisha maisha Kumeza dawa ambazo inachanganya ibuprofen na codeine inaweza kuwa sumu. 6 Oktoba 2022 Shirika la Ulaya la madawa la Ulaya (EMA) limetoa tahadhari wiki hii kuhusu athari za utumiaji wa mchanganyiko huu, ambao hutengenezwa...
  15. Herbalist Dr MziziMkavu

    JamiiForums Tanzania Chinese firm wades into Tanzania, Uganda oil pipeline saga

    By Ephrahim Bahemu Mwandishi wa habari za uchumi na biashara Mwananchi. Kampuni ya China yaingia Tanzania, Uganda sakata ya bomba la mafuta What you need to know: The $4 billion worth project will cover 1,445 kilometres, 80 percent of which is on Tanzanian soil, involving a 62 percent...
  16. Herbalist Dr MziziMkavu

    JamiiForums Tanzania How To Fix ‘Can’t Connect to this Network’ error in Windows 11

    How To Fix ‘Can’t Connect to this Network’ error in Windows 11 ‘Can’t Connect to this Network’ error in Windows 11. It’s a common issue that is faced by users across the world. Many consumers get confused by this circumstance, which leads to a lack of understanding about what is generating the...
  17. Herbalist Dr MziziMkavu

    JamiiForums Tanzania How To Fix Slow LAN Speed On Windows 11

    How To Fix Slow LAN Speed On Windows 11 In this article, we will explain 6 methods that can fix slow LAN speed on Windows 11. Whether you are attending an online meeting or playing an online multiplayer game, a stable internet connection is a must for a perfect online experience otherwise it is...
  18. Herbalist Dr MziziMkavu

    JamiiForums Tanzania 12 Common Windows 11 Issues And Fixes

    12 Common Windows 11 Issues And Fixes Windows 11 is a bit of a mishmash. On the one side, many users would like to stay on Windows 10. Better window snapping choices, more flexibility over desktop systems, and new design touches such as curved edges on windows are all compelling reasons to...
  19. Herbalist Dr MziziMkavu

    JamiiForums Tanzania How To Install Windows 11 On Unsupported Devices

    How To Install Windows 11 On Unsupported Devices Microsoft’s latest operating system, Windows 11, is now here, and while it comes with a long list of system requirements, it’s feasible to get around them. Microsoft has even written a blog post describing how to install Windows 11 if you don’t...
  20. Herbalist Dr MziziMkavu

    JamiiForums Tanzania Windows 11 Restarts Automatically? Try These Fixes.

    Windows 11 Restarts Automatically? Try These Fixes. Annoyed because your Windows 11 restarts automatically? Don’t worry we’ll help you fix it. Have you recently upgraded your PC to Windows 11 and experienced this horrific issue where your Windows 11 PC restarts automatically? We know how...
Back
Top Bottom