Kama unaumwa na halafu unaota ndoto hizi na unatibiwa hospitali na hauponi jaribu njia ingine ya asili kujitibia

Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Feb 3, 2009
42,314
33,108
Kama unaumwa halafu unaota ndoto hizi na unakwenda hospitali na huponi maradhi yako .basi hospital usiache lakini kimbilia tiba za upande mwingine. Yaani za kidini ama kiasili.

1. Kuota umepotea njia.

2. Kuota marehemu unaowajua wanakuita sehemu nzuri lakini wewe hutaki ama mtu anakuzuia.

3. Kuota umekatwa mapanga ama visu ama umepata ajari na unavuja damu.

4. Kuota unalishwa nyama za watu ama nyama za ajabu hadi ukiamka unahisi kichefuchefu.

5. Kuota panya,mende au nyoka kakuingia sehemu za siri na umeshindwa kumtoa.

6. Kuota unakimbizwa na majoka ama watu wa ajabu au wamekukamata.

7. Kuota unalazimishwa kuolewa ama kunyinyesha mtoto.

8. Kuota umepotea njia ,ama umedumbykia shimoni huwezi kutoka.

9. Kuota watu wanalazimishwa wakuchukue.

10. Kuota watu wanakupaka dawa za ajabu,ama kuota watu wanakukandamiza ama wamekufunga.
Ukiota ndoto moja kati ya hizi kisha ukaanza kuumwa ama unaumwa na unaota ndoto hizi. Basi ukiamka halaka Fanya yafuatayo.

1. Kwa Muislaam andika ayatil kursiyu kwa zafarani na kunywa kombe mara 3 kwa siku 3.

2. Jisomee sana dua na kuswali suna sana za haja.

3. Fanyiwa kisomo.

Huduma Ya Kwanza Fanya Hivi:
Tiba za asili.
Fikicha kivumbasi jike kwenye maji hadi yawe kijani na ya uchungu, kunywa Lita nzima.

Pia tafuna kitunguu thaumu kikubwa na ndimu.

Jichue vitunguu thaumu na ndimu baada ya kuvitwanga mwili mzima.

Tafuta tabibu akakutibu maradhi hayo lakini sio hospitali.

Au nitafute mimi nipate kukutibia upate kupona.

Kama unaumwa halafu unaota ndoto hizi na unakwenda hospitali .basi hospital usiache lakini kim...jpg
 
Shukran mkuu, Wiki hii nimeota naharisha vitu vyeusi mithili ya uji mzito, vikawa haviishi, ikawa ndoto ndefu lakini ikitumika mazingira ya chooni kuharisha na kadri muda unavyozidi viliendelea, rangi ni nyeusi kabisa.

Nilivyoshtuka tu nikajikuta naumwa tumbo la kuharisha ambalo sijalizoea. Karibu siku tatu siponi.

Jana nimeenda hospitali nimepata vipimo vingi haswa, ila nimeonekana Sina ugonjwa wowote, nikapewa tu Panadol na antibiotics.

Bado naumwa.

Hapa shida ni nini mkuu!
 
Shukran mkuu...Wiki hii nimeota naharisha vitu vyeusi mithili ya uji mzito, vikawa haviishi, ikawa ndoto ndefu lakini ikitumika mazingira ya chooni kuharisha na kadri muda unavyozidi viliendelea, rangi ni nyeusi kabisa...
Tumia njia hii kujitibia kuharisha ukiwa hauja pona utanitafuta kwa wakati wako. Chukuwa kijiko 1 cha unga wa ngano koroga katika maji kiasi kisha kunywa fanya hivyo asubuhi mchana na usiku utafunga kuharisha.

Usipo pona nitafute kwa wakati wako ili niweze kukutibia maradhi yako .
 
Shukran mkuu, Wiki hii nimeota naharisha vitu vyeusi mithili ya uji mzito, vikawa haviishi, ikawa ndoto ndefu lakini ikitumika mazingira ya chooni kuharisha na kadri muda unavyozidi viliendelea, rangi ni nyeusi kabisa.

Nilivyoshtuka tu nikajikuta naumwa tumbo la kuharisha ambalo sijalizoea. Karibu siku tatu siponi.

Jana nimeenda hospitali nimepata vipimo vingi haswa, ila nimeonekana Sina ugonjwa wowote, nikapewa tu Panadol na antibiotics.

Bado naumwa.

Hapa shida ni nini mkuu!
Pole sana Luv
 
  • Thanks
Reactions: Luv

Similar Discussions

Back
Top Bottom