Je, wajua "The Gods must be Crazy Movie"
Muigizaji mkuu wa "The Gods Must Be Crazy", N!xau Toma, alilipwa $300 pekee, ingawa filamu iliyotayarishwa mwaka wa 1980 ilitengeneza zaidi ya $200 milioni. Alikufa akiwa maskini mnyonge licha ya kutengeneza mamilioni ya dola kwa ajili ya watu wengine...