amani

Amani High School, also known in German as Amani-Oberrealschule Kabul, (Dari: لیسه عالی امانی‎) is a school in Kabul (District 10), Afghanistan. From the time of its foundation in 1924 until 1985, Amani High School was recognized as one of the elite schools in Kabul and received direct support from Germany, which helped to provide qualified staff. German was not only taught as a foreign language, but also was the teaching language in the higher classes in most subjects, being taught by qualified German teachers. The school is under the control of the Afghan Ministry of Education.
After the US invasion in late 2001, the buildings had been looted and partially destroyed. Reconstruction began with German help in spring 2002. The German support has resumed, which was suspended during the reign of the Taliban from 1996 to 2001. German teachers once again came to Afghanistan to teach. However, German is now only taught as a foreign language. Classes in all other subjects are held in Dari. The school teaches children from class 1 to 12. Up to 4th grade the classes are coeducational. From 5th to 12th only boys are allowed.
Amani High School has two big courtyards, a mosque, a sports field with a football court, two basketball courts and stands. There are modern laboratories for the science departments: Biology, Chemistry and Physics. The classrooms are furnished with tables and chairs, which is not taken for granted in Afghan schools, even in the capital Kabul.
A ceremony to celebrate Afghanistan's return to education was held at the school, attended by interim Afghan leader Hamid Karzai. In 2007 Angela Merkel visited during her trip to Afghanistan.

View More On Wikipedia.org
  1. N

    JamiiForums Tanzania Tunza amani

    Hatuna nchi nyingine zaidi ya Tanzania. Tuilinde amani ni mtaji wetu, Tuitunze, Tusikilizane, Tuheshimiane, Tushikamane.
  2. M

    JamiiForums Tanzania TAARIFA RASMI: Maandamano ya Amani kwa Wasafirishaji wote Nchini, Sambaza ujumbe huu Kila Jukwaa na kila mtandao

    Ndugu Madereva wa Bodaboda, Bajaji, Daladala, Mabasi ya Mikoani, Wamiliki wa Magari, na Vijana wote wa Tanzania, Salamu za amani na mshikamano. 1. UTANGULIZI Hii ni taarifa rasmi kutoka kwa waandaaji UWADAR na vyama vyote vya wasafirishaji nchini kuhusu maandamano ya amani yatakayofanyika...
  3. Leonce jr

    JamiiForums Tanzania Bila amani, fursa hupotea na ndoto husimama. Kila mmoja wetu ana wajibu wa kulinda amani. Tanzania ni yetu sote, tuilinde

    Ndio napanda kwenye jukwaa title kama ilivyotumwa kwenye laini yangu ya halotel. Vip huko nyie mmetumiwa nini?? Tuambatanishe na kapicha kama kapo. JOTO LA MAANDAMANO NI KALI
  4. TheForgotten Genious

    JamiiForums Tanzania Hivi na ninyi wamewatumia sms ya "TUNZA AMANI"?

    Wamenitumia sms ya kutunza amani na maneno kibao,sijui biashara nini na nini,makende ya fisi ninyi,ipo hivi mimi kutunza amani kwa serikali inayo dhurumu haki,uhai na usawa msahau,tarehe 7 ,ratiba zipo pale pale,nimeshakuwa mzoefu na shunting za maandamano,ni tifutifu,kama amani ni kutuletea...
  5. Mwanamwana

    JamiiForums Tanzania Mchungaji Kimondo: Amani ipo iwapo haki itatendeka

    Mchungaji wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Steven Kimondo, amesema haiwezekani taifa likapata amani ya kudumu ikiwa haki za kikatiba za wananchi na vyama vya upinzani zinaendelea kukandamizwa. Amesema viongozi wa serikali na vyombo vya dola wanapaswa kutambua kuwa amani ya...
  6. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Well done JWTZ kwa kuwaondolea wananchi mashaka ya kiusalama na kuwahakikishia Amani na Utulivu wa kudumu waTanzania wote.

    Ama kwa hakika mmesimama vema na imara kwenye nafasi yenu, na mnatekeleza wajibu wenu wa kikatiba kwa weledi wa kiwango cha juu sana na kisasa zaidi. waTanzania wana imani kubwa na utendaji kazi wenu wa viwango, na baada ya taarifa yenu maalumu juu ya hali ya kiusalama nchini, imani ya wananchi...
  7. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Katambi: Tarehe 7 itakuwa siku ya furaha na amani sana

    Kama kutakuwa na amani mbona mmeanza vitisho sasa! Siwaoni watu wakija huko sabasaba hiyo siku hofu imetawalaa sana =========== WAZIRI wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Patrobas Katambi, amewasihi wananchi wajitokeze kwa wingi kwenye kilele cha Maonesho ya 50 ya Kimataifa ya Biashara (Sabasaba) ili...
  8. figganigga

    JamiiForums Tanzania Nchi 10 zenye amani Afrika, Tanzania haimo. Salaam kwa Samia na Mwigulu

    Nafasi ya amani Afrika Chanzo cha picha,ABI Kwa mujibu wa Global Peace Index 2026, Tanzania ipo katika nafasi ya 17 barani Afrika kwa kiwango cha amani, huku ikiwa ya 98 duniani. Inazidiwa hadi na Zambia MY TAKE Kila siku wanadai eti wanalinda amani. Wanalindaje amani ambayo haipo? Wanalinda...
  9. Best home tutor

    JamiiForums Tanzania Tanzania iko katika matishio ya amani na usalama chanzo wivu wa rasilimali zetu

    Katambi ajitetea na agizo lake la kuzuia mikutano :'Sijakiuka Katiba', awashukia vikali CHADEMA Akizungumza leo Juni 27, 2026,wakati wa maadhimisho ya siku ya wazee duniani huko mkoani Shinyanga, Waziri wa Mambo ya Ndani, Patrobasi Katambi amekanusha juu ya kuvunja Katiba na kueleza matishio ya...
  10. N

    JamiiForums Tanzania Amani yetu ndiyo maendeleo yetu,tutailinda daima.

    Angalizo...! Hii siyo Id mpya kama wachache wasiofikri vyema, ambao yeyote kwao anayeongelea amani na utulivu kwenye jamii wanamgeuza kuwa adui. Niko hapa tangu 2018. Binafsi nimechagua kuwa balozi wa amani wa kujitegemea. Sijawahi kupewa chochote na kiongozi yeyote na hata mahusiano na...
  11. N

    JamiiForums Tanzania Amani yetu ndiyo maendeleo yetu, tutailinda daima

    Angalizo...! Hii siyo Id mpya kama wachache wasiofikri vyema, ambao yeyote kwao anayeongelea amani na utulivu kwenye jamii wanamgeuza kuwa adui. Niko hapa tangu 2018. Binafsi nimechagua kuwa balozi wa amani wa kujitegemea. Sijawahi kupewa chochote na kiongozi yeyote na hata mahusiano na...
  12. T

    JamiiForums Tanzania Mbona hao viongozi fake hawatupi uthibitisho wa watu kulipwa fedha, kuvunja amani, kukutwa na silaha

    Yaani CCM hadi leo hawataki kuamini kuwa watu sio wajinga tena kama walivyozoea kutufanya kuwa sisi ni wajinga tu. Inawezekanaje watu wamekamatwa na siraha, wanapewa fedha kila mwezi ili kuandamana, wana taarifa za waandamanaji kuzua vurugu na kuchoma vitu. Lakini hawaweki huo udhibitisho...
  13. S

    JamiiForums Tanzania Hivi anaevunja amani ya nchi ni nani hasa; yule anaetaka haki yake ya kikatiba ya kuandamana kwa amani au yule anaekataa katakata kumruhusu aandamane?

    Yaani imefikia kwamba katika uongozi wa Raisi Samia na CCM yake, wao wakisikia tu maandamano wanatafsiri kuwa ni uvunjifu wa amani. Hata siku moja sijasikia wakisema tutalinda amani ili kuhakikisha watu wanaandamana bila vurugu. Raisi Samia na viongozi wote wa serikali na CCM, maandamano yeyote...
  14. instinct desire

    JamiiForums Tanzania Tumezaliwa tukiambiwa magereza/Rumande nikubaya hebu ongezeni adhabu kwa hawa wahatarisha amani nchini ili wakitoka wawe mabalozi wa kulinda amani.

    Unajua amani ndo uchumi wenyewe pasipo na amani hakuna shughuli za uchumi, hakuna ajira, hakuna shule, hakuna madawa, hakuna nyongeza za mishahara, hakuna haki ya kuabudu nk. Haiwezekani mtu afanye kosa la kuhatarisha amani ya nchi au afanye vurugu halafu aende Rumande halafu atoke halafu...
  15. kavulata

    JamiiForums Tanzania Watanzania wanataka amani na maendeleo sio demokrasia

    Watanzania wako tayari kuvumilia ukosefu wa haki na demokrasia lakini hawako tayari kuvumilia ukosefu wa amani, utulivu na usalama. Hii inatokana na ukweli kwamba wamezaliwa, kulelewa na kukulia kwenye familia, mitaa, jamii na taasisi ambazo hazitoi haki wala demokrasia. Mfano, kuna jamii...
  16. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Hakuna uvunjifu wa amani uliofanyika kwenye mikutano ya CHADEMA. CCM wameona kwa macho yao namna wanannchi wanavyoichukia serikali CCM.

    Mikutano ya hadhara ndio kipimo cha kuonesha namna chama kinavyokubakika kwa sera na maono. Mikutano ya CCM iliyokuwa inaenseshwa na Mwenezi wa CCM Kihongosi ilikuwa inadorola. Hakuwa na hoja za msingi na hata alichokuwa anakinadi kwa wananchi hakuna aliyekuwa anamwamini. Hii ni kwa sababu...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Je ni sahihi mataifa 10 yenye amani zaidi barani Afrika

    Kuna taarifa imetoka kuhusu orodha ya mataifa 10 yenye amani zaidi Afrika. Tanzania haimo, je ni sahihi kuwa Tanzania haimo hata kwenye kumi bora yenye amani barani afrika. Toa maoni yako. Nafasi ya amani Afrika
  18. Best home tutor

    JamiiForums Tanzania Amani ndio msingi mkuu wa Taifa,tuilinde amani kwa wivu mkubwa

    Askofu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Dkt. Josephat Gwajima, amewataka vijana wa Kitanzania kuwapuuza watu wanaochochea vurugu na machafuko kutoka nje ya nchi (MARIA SARUNGI NA GENGE LAKE) na badala yake kuelekeza nguvu zao katika shughuli za maendeleo na ujenzi wa taifa. Akizungumza Jumapili...
  19. Labani og

    JamiiForums Tanzania Tafakuri: Haya ndio mambo yangetokea kama watanzania wote wakiwa CCM

    Wakuu, maafande wi Baada ya kushiba kipolo cha wali na chai ya maziwa hapa nimewaza mambo mengi sana ... Hebu fikiria kama watanzania wote million 70s tungekuwa na ideology au tungesuport falsafa za chama tawala .....bila upinzani nafikiri Tanzania tungekuwa mbali zaidi kiuchumi hapa Africa Kwa...
  20. G

    JamiiForums Tanzania Watu wa Mwanza wasivuruge Amani na kuleta taharuki ya maji yaliko jirani TU hapo ziwani tuwe wavumilivu Bora tuchote maji na madumu

    Kwanza sio LAZIMA Kila kitu tusubiri viongozi wananchi wenyewe wajiorganize hapo waone namna ya kutatua hiyo changamoto Pia uvumilivu ni jambo la muhimu sana Bora kuchota maji na ndoo ziwani Kwa muda tukisubiri michakato ikamilike Au Kila mtaa wachangangishe wananunue matank makubwa ya maji...
Back
Top Bottom