ama

Āma was a medieval Indian king who ruled the Kingdom of Kannauj and surrounding areas during the 8th and the 9th centuries. According to the Jain chronicles, he was the son and successor of Yashovarman.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Ni kipi kitatokea iwapo jogoo la kuku likampanda kanga jike ama bata jike vipi kuhusu Tausi pia?

    Ni mfano tu kwa maana sijawahi kuona hadi umri huu. Chukulia mfano jogoo la kuku lipandane na kanga jike au either uchukue mbegu za jogoo la kuku kisha upandikize kwenye bata,Tausi au kanga jike ni kipi kitatokea wakuu? Nauliza nijue tu si kwa ubaya kabisa kwa wataalamu wa sayansi za wanyama...
  2. JamiiForums Tanzania Hivi kwanini watanzania wengi wanapenda kuombea ama kusali kwa kitu wanachoweza kukifanyia kazi?

    Hapa namaanisha kwamba. Unakuta mtu anamikono na miguu na ana afya njema kabisa, lakini mtu huyo anatoka kwenda kusugua makoti kwenye nyumba ya ibada ili tu amuombe Mungu amshushie rizki, sasa.... unawezaje kupata rizki kama haufanyi kazi? Huu ni mfano wa kwanza, lakini kuna midano miiingi...
  3. JamiiForums Tanzania Maandazi ni chakula lakini yamegeuzwa kuwa tusi ama madharau

    Utakuta watu wakitofautiana wanabaki kutukanana maandazi wewe ama andazi wewe. Sasa kwanini andazi ama maandazi itumike kwenye lugha chafu wakati ni kitafunio pendwa? Utakuta hadi kiazi nayo imekosewa heshima. Utasikia kiazi wewee. Hivi sisi Niggers tuna shida gani? adriz de mbusii
  4. JamiiForums Tanzania Wakati wengine wakitupa watoto ama kutoa mimba.. Kuna wanaoiba watoto ili nao waitwe mama

    Mahakama ya Wilaya ya Sengerema mkoani Mwanza imemhukumu Novina Yoel Kuboja (23), ambaye ni mkulima na mkazi wa Buchosa wilayani humo, kutumikia kifungo cha mwaka mmoja jela baada ya kutiwa hatiani kwa kosa la kuiba mtoto wa kiume mwenye umri wa miezi mitatu (jina limehifadhiwa kwa sababu za...
  5. JamiiForums Tanzania Hivi kuandika hivi Kwa kizazi hiki ndio swaga ama Nini?

    Mtu anakusalimia " Mamb" Anakujibu "Pow" Anakuuliza "Mzm" Anaendelea "xaxa uk wp? "Xipajui" "Xamahan" "Dad xamahan nmekuj kwak xikuon uk wapi? Halafu Kuna hawa Sasa wanaoona aeiou ni mchosho "Dd smhn jn nlkj kwk nkkt umtk.ksh ntkj tn ntkkt? Wana shida gani kwenye ubongo wao hawa?
  6. JamiiForums Tanzania Hivi kuandika hivi Kwa kizazi hiki ndio swaga ama Nini?

    Mtu anakusalimia " Mamb" Anakujibu "Pow" Anakuuliza "Mzm" Anaendelea "xaxa uk wp? "Xipajui" "Xamahan" "Dad xamahan nmekuj kwak xikuon uk wapi? Halafu Kuna hawa Sasa wanaoona aeiou ni mchosho "Dd smhn jn nlkj kwk nkkt umtk.ksh ntkj tn ntkkt? Wana shida gani kwenye ubongo wao hawa?
  7. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Fish Pond Mystery! Mtoto wa Miaka 3 Afariki Shuleni Drowning ama Kuna Kitu Kinafichwa?”

    A very disturbing incident imeibua maswali mengi sana after 3-year-old pupil Faiz Faraj tragically lost his life at Gilgil Hills Academy, Nakuru County. According to reports, the young boy alikuwa darasani kama kawaida until around 11AM when he was reported missing. Shockingly, saa mbili...
  8. O

    JamiiForums Kenya Mapenzi sio Charity: 50/50 ama uko Solo

    Let’s be real hii tabia ya mtu mmoja kubeba financial burden yote in the name of “love” is outdated! Kama ni partnership, why not act like one? Bills, rent, groceries 50/50 sio option, ni responsibility. Watu wengi wanapenda kusema “mwanaume ndio provider” or “mwanamke anatakiwa kusaidiwa,”...
  9. JamiiForums Tanzania Jameni walokole, hivi haya maneno mnayatumia vile yanavyopaswa ama mnatulisha matangopori?

    Namnukuu mchungaji aliyekuwa akihubiri kanisani leo mchana, "Tuko mbele 'zako' baba wa mbinguni". Hivi mungu ana mbele ngapi? ni 'mbele zako' au 'mbele yako'. Hebu tuwekane sawa maana mungu anaweza akawa na mbele zaidi ya Moja kwa sababu mara zote walokole wamekuwa wakisema "mbele za mungu"...
  10. JamiiForums Tanzania Kwa nini mabosi au Watu wenye hela nyingi hawajengi kwao? Mkienda kuzika mpaka unaona aibu

    Hii n changamoto sana hapa mjini kwa kwelii.....Najiuliza kwa nini mabosi wengi maofisini wana shida kubwa hawajengi makwao wanapotoka??[sio wote] Na sasa hadi wafanyabiashara wakubwa wanajaza majumba Dar wanazikwa kijijinI. Majuzi kati nilienda kumzika bossi mmoja Tanga aisee nilishtuka. Dar...
  11. JamiiForums Tanzania Kama mkristo ama muislam uko kwenye mfungo inakuhusu angalia kabla ujawa unapoteza swaumu yako..mbarikiwe mmalize salama

    5 Things You Must Remove From Your Life Before Fasting Fasting is not just about stopping food — it is about preparing your spirit to host God. If these things remain in your life, your fasting may become hunger strike instead of spiritual power. 1. Unforgiveness If you are still holding...
  12. JamiiForums Tanzania Wanatupanga ama ni kweli pameanza kuchangamka?

    Hii inaweza kuwa wiki ya kipekee kwa minong'ono mingi na ya kila aina huku "zile habari za chini ya zulia zikiwa nyingi" Mengi yaliyotokea wiki Hi yana hisia mchanganyiko, uzushi halisi na maigizo.. 1. Minong'ono kwamba kapteni Tesha yuko hai salama na huru nje ya nchi akiendeleza harakati 2...
  13. JamiiForums Tanzania TFF: Dhana dhanifu ama halisi?

    Ilianza kama utani mitandaoni lakini ni wazi ni kitu kinachojijenga katika uhalisia wake TFF (Tanganyika Freedom Fighters) Wapigania Uhuru Tanganyika (WAUTA) Mwansilishi halisi hajulikani mpaka sasa lakini ni wazi ni kundi lenye vinasaba vyote na Gen-Z hasa baada ya yote yaliyotokea 0ctober 29...
  14. JamiiForums Tanzania Usiku huu nimecheka sana sijui uchawi ama??

    Nikiwa natoka Kimara usiku huu kwenye bus Kaka mmoja kapendeza mtanashati kansalimia nkamjibu akaeema naona unarejea nkamjibu ndio He naomba sh 5000. Nkamwambia na 2000 nikupe hapana naomba alf 5..nkajibu sina Muda si mrefu akaja konda akaulizia naulii Nikaona mwamba anatoa 10000 kumpa konda...
  15. JamiiForums Tanzania Ifahamike kwamba kila aliyepotea ama kuuawa kisasi chake kitalipwa kwa waliohusika ambao wote wanafahamika

    Huu si mpango wangu mimi, bali ni kanuni halali ya Mungu Muumba mbingu na Ardhi Kwa Mfano waliomteka Mdude wanafahamika na. mmoja wao ametunukiwa Uwaziri, Au wale waliohusika n.a. kutekwa kwa Polepole wote wamejulikana wakiwemo wastaafu n.a. Wafanyabiashara waliowatuma Mungu wa Mbinguni...
  16. JamiiForums Tanzania Dhahabu yetu iko chini ya CCM ama Benki kuu?

    Jee maamuzi ya kuhusu dhahabu yetu yapo chini ya maamuzi ya wanasiasa wa CCM au benki kuu? Jee ni waziri wa fedha anayeamua ni kiasi cha akiba ya dhahabu tunachotakiwa kuwa nacho ama Gavana wa Benki kuu? Jee waziri wa fedha akisema dhahabu iuzwe Gavana wa Benki Kuu anaweza kuzuia ama Gavana wa...
  17. JamiiForums Tanzania Kwa wenye kumbukumbu yule jamaa anapendaga sana kupiga ama kudaka watu Jumamosi/Jumapili

    Mwamba wa dunia naambiwa yuko middleeast hukooo kumbukumbu zangu jamaa anapenda sana kudaka ama.kupiga wenzie Ijumaa Jmosi Jpili Ijumaa imepita jmosi ndio hii Yetu machoooo
  18. JamiiForums Tanzania Naomba Nafasi ya internship.

    Habari viongozi, nimesoma Accounting with IT nimemaliza mwaka jana, nlikua natafuta sehemu nayoweza kufanya internship kusharpen skills. Kama kuna nafasi sehemu tupeane Deals
  19. JamiiForums Tanzania Kiduku wa Korea kaskazini kwenye pigo za wanaume USA ama Israel huingia chimbo kijificha

    Rais korea kaskazini ni comedian Sana Mambo yakishaharibika yeye huingia kwenye mahandaki na masigara yake hatoki hadi Hali itulie🤣🤣 Israel alivokuwa anamshughulikia Iran alikauka Kama hayupo duniani😁 Sasa hivi rafiki yake maduro wa Venezuela anakaangwa na USA kenyewe hakana habari...
  20. JamiiForums Tanzania Kuna connection kubwa kati ya polisi na wezi ama matapeli

    Sometimes unaweza kusema tofauti yao ni uniform tuu Mwaka 2005 vibaka/wezi waliruka ukuta wakavunja mlango wakaiba jikoni na sebuleni kisha wakaenda kufanya karamu kwenye gari Kulipokucha nikaenda police kuripoti, baada ya mahojiano askari akanijulisha kuwa wezi wangu wanatoka eneo fulani...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…