Āma was a medieval Indian king who ruled the Kingdom of Kannauj and surrounding areas during the 8th and the 9th centuries. According to the Jain chronicles, he was the son and successor of Yashovarman.
Let’s be real hii tabia ya mtu mmoja kubeba financial burden yote in the name of “love” is outdated!
Kama ni partnership, why not act like one? Bills, rent, groceries 50/50 sio option, ni responsibility.
Watu wengi wanapenda kusema “mwanaume ndio provider” or “mwanamke anatakiwa kusaidiwa,”...
Namnukuu mchungaji aliyekuwa akihubiri kanisani leo mchana, "Tuko mbele 'zako' baba wa mbinguni".
Hivi mungu ana mbele ngapi? ni 'mbele zako' au 'mbele yako'.
Hebu tuwekane sawa maana mungu anaweza akawa na mbele zaidi ya Moja kwa sababu mara zote walokole wamekuwa wakisema "mbele za mungu"...
Hii n changamoto sana hapa mjini kwa kwelii.....Najiuliza kwa nini mabosi wengi maofisini wana shida kubwa hawajengi makwao wanapotoka??[sio wote] Na sasa hadi wafanyabiashara wakubwa wanajaza majumba Dar wanazikwa kijijinI. Majuzi kati nilienda kumzika bossi mmoja Tanga aisee nilishtuka.
Dar...
5 Things You Must Remove From Your Life Before Fasting
Fasting is not just about stopping food — it is about preparing your spirit to host God. If these things remain in your life, your fasting may become hunger strike instead of spiritual power.
1. Unforgiveness
If you are still holding...
Hii inaweza kuwa wiki ya kipekee kwa minong'ono mingi na ya kila aina huku "zile habari za chini ya zulia zikiwa nyingi"
Mengi yaliyotokea wiki Hi yana hisia mchanganyiko, uzushi halisi na maigizo..
1. Minong'ono kwamba kapteni Tesha yuko hai salama na huru nje ya nchi akiendeleza harakati
2...
Ilianza kama utani mitandaoni lakini ni wazi ni kitu kinachojijenga katika uhalisia wake
TFF (Tanganyika Freedom Fighters) Wapigania Uhuru Tanganyika (WAUTA)
Mwansilishi halisi hajulikani mpaka sasa lakini ni wazi ni kundi lenye vinasaba vyote na Gen-Z hasa baada ya yote yaliyotokea 0ctober 29...
Nikiwa natoka Kimara usiku huu kwenye bus
Kaka mmoja kapendeza mtanashati kansalimia nkamjibu
akaeema naona unarejea nkamjibu ndio
He naomba sh 5000. Nkamwambia na 2000 nikupe hapana naomba alf 5..nkajibu sina
Muda si mrefu akaja konda akaulizia naulii
Nikaona mwamba anatoa 10000 kumpa konda...
Huu si mpango wangu mimi, bali ni kanuni halali ya Mungu Muumba mbingu na Ardhi
Kwa Mfano waliomteka Mdude wanafahamika na. mmoja wao ametunukiwa Uwaziri, Au wale waliohusika n.a. kutekwa kwa Polepole wote wamejulikana wakiwemo wastaafu n.a. Wafanyabiashara waliowatuma
Mungu wa Mbinguni...
Jee maamuzi ya kuhusu dhahabu yetu yapo chini ya maamuzi ya wanasiasa wa CCM au benki kuu?
Jee ni waziri wa fedha anayeamua ni kiasi cha akiba ya dhahabu tunachotakiwa kuwa nacho ama Gavana wa Benki kuu?
Jee waziri wa fedha akisema dhahabu iuzwe Gavana wa Benki Kuu anaweza kuzuia ama Gavana wa...
Mwamba wa dunia naambiwa yuko middleeast hukooo
kumbukumbu zangu jamaa anapenda sana kudaka ama.kupiga wenzie
Ijumaa
Jmosi
Jpili
Ijumaa imepita
jmosi ndio hii
Yetu machoooo
Habari viongozi, nimesoma Accounting with IT nimemaliza mwaka jana, nlikua natafuta sehemu nayoweza kufanya internship kusharpen skills. Kama kuna nafasi sehemu tupeane Deals
Rais korea kaskazini ni comedian Sana
Mambo yakishaharibika yeye huingia kwenye mahandaki na masigara yake hatoki hadi Hali itulie🤣🤣
Israel alivokuwa anamshughulikia Iran alikauka Kama hayupo duniani😁
Sasa hivi rafiki yake maduro wa Venezuela anakaangwa na USA kenyewe hakana habari...
Sometimes unaweza kusema tofauti yao ni uniform tuu
Mwaka 2005 vibaka/wezi waliruka ukuta wakavunja mlango wakaiba jikoni na sebuleni kisha wakaenda kufanya karamu kwenye gari
Kulipokucha nikaenda police kuripoti, baada ya mahojiano askari akanijulisha kuwa wezi wangu wanatoka eneo fulani...
Madomo zege hawawezagi kutongoza wao hutumia kumwaga pesa na kuonesha mikogo ya kila aina.. Ufahari usio kipimo chap
Domo zege yuko tayari kunuka madeni ili aoneshe uwezo na ukwasi.. Bingwa wa kukopa mgumu kulipa
Ukitaka kuona hasira take muite domo zege kibamia
Kitandani hamna kitu pia.. Vile...
Shalom,
Kati ya Truck Mechanics (ass job) na Electronics ipi bora kwa ngazi ya VETA?
Na ipi inaweza kuwa na muendelezo mzuri hadi kufikia levels za juu? (Specialisation sio lazima diploma ama degree)
Na inawezekana kuhama kutoka Chuo kimoja cha VETA kwenda kingine kwa kozi tofauti? Kwa...
Umekaa zako tu hivi unawaza nikimtoa kafara mzazi vip, maisha yawe mepesi unasema hapana.
Kumbe mzazi nae anawaza sina nguvu za kutafuta ndoto sijafikia.. ngoja niamakiza tu watoto unamaliziwa dadeki
Mke kumbe hakundi anakumaliza anaolewa na mwingine daaaa ni noma.
Sema Tanzania tunaenda...
Wenzenu watakuwa nje ya nchi na familia zao wakiwaangalia kwenye TV, wakati ninyi mnapambana na raia ambao hata baada ya masaa ya kazi mnaenda kuishi nao huko mitaani.
Mwenye masikio na asikie. Tarehe 9D siyo siku ya utani.
Polisi atakayeliona onyo hili amtaarifu na mwenzie.
Wakuu
Nimekumbuka ile dhana ya muda mrefu kuwa mvua ikinyesha basi ni ishara kuwa simba anazaa huko porini. Je wewe ulisikia nini kuhusu jambo hilo? Na je uhalisia ni upi?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.