ally hapi

Ally Salum Hapi ni Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Wazazi CCM Taifa
na kiongozi wa zamani wa serikali nchini Tanzania ambaye alijipatia umaarufu mkubwa sana, hasa wakati wa serikali ya Awamu ya Tano chini ya Hayati Dkt. John Pombe Magufuli.


Alianza kujulikana sana alipoteuliwa kuwa Mkuu wa Wilaya (DC) ya Kinondoni jijini Dar es Salaam.

Kutokana na utendaji wake, alipandishwa cheo na kuwa Mkuu wa Mkoa (RC) wa Iringa, na baadaye alihamishiwa kuwa Mkuu wa Mkoa wa Tabora.

Akiwa madarakani, Ally Hapi alifahamika kwa mtindo wake wa uongozi wa "kuchukua hatua za papo kwa papo".

Alikuwa mkali kwa watumishi wa umma waliozembea, alifanya mikutano mingi ya hadhara kutatua kero za wananchi, na alikuwa mmoja wa vijana walioaminika sana na Hayati Magufuli.

Kwenye mabadiliko (reshuffle) ya wakuu wa mikoa yaliyofanywa na Rais Samia Suluhu Hassan katika serikali ya Awamu ya Sita, Ally Hapi alitenguliwa na kuondolewa kwenye nafasi ya ukuu wa mkoa.
  1. K

    JamiiForums Tanzania Ali Happi ni kijana asiyejifunza kutokana na makosa. Ilitakiwa ajifunze kipindi kile cha Mzee Kinana, akarudia makosa tena kwa Chongolo

    Nikikumbuka kipindi kile Ali Happi alipowabeza wazee wakae kimya maana muda wao wa kuzungumza umeisha lakini Mungu akampa somo kupitia mzee Kinana baada ya kuukwaa Umakamu Mwenyekiti wa CCM, tukajua Hilo ni somo kubwa sana maishani mwake. Hilo likaisha. Likaja jingine tena la kujiuzulu Kwa...
  2. Kaveli

    JamiiForums Tanzania Ally Hapi: "Huyo fisadi, mla rushwa anamuogopa Samia"

    Ex RC Ally Hapi amkumbusha mwizi wa mali za wananchi, fisadi, mla rushwa na adui wa chama kuwa muda sasa unahesabika. Video inazungumza... -Kaveli-
  3. Suzy Elias

    JamiiForums Tanzania Soon, Ally Hapi atakuwa ndani ya mfumo

    Ilikuwa ni vigumu mno kwa Mwenyekiti kuendelea kuishi na watu wenye kumshauri kwa karibu huku akiendelea kusikia pembeni wakijadili namna sahihi na bora ya kumnyang'anya tonge mdomoni. Kwa muktadha huo, boss lady ameamua kama mbwai na iwe mbwai na rasmi ameamua awarejeshe kundini wale wote...
  4. Crocodiletooth

    JamiiForums Tanzania Ally Hapi, kiongozi kijana wa mfano aliyefanikiwa kupata mtaji akajiongeza

    A man is my role model, kama kiongozi aliyeshikilia nyadhifa mbalimbali za kiuteuzi na kufanikiwa kupata mtaji wa uhakika, ambao amefanikiwa kuutumia vyema katika kuendeleza mashamba makubwa ya ki setlers, tofauti na viongozi wengine ambao baada ya kuenguliwa katika posts huanza kulia lia, na...
  5. Mdigokhan

    JamiiForums Tanzania Kilimo kimenivutia. Ally Hapi anafanyia kilimo wapi?

    Khabari zenu wakubwa. Kuna huyu jamaa wa kuitwa ALLY HAPI aliewahi kuwa mkuu wa wilaya Kinondoni, Aliwahi kuwa mkuu wa mkaa wa Iringa kama sikosei,ila kwasasa sio tena mwanasiasa ni baada ya mama samia kumuondoa kwenye hayo mdaraka. Hizi siku mbili tatu kaibuka analima balaa ana mashamba...
  6. TODAYS

    JamiiForums Tanzania Motivation Speaker anatakiwa awe Ally Hapi, Siyo wale kuongea pasi vitendo

    Huyu jamaa ameamua hasa, japo tayari ameingia akiwa na mtaji ila huyu ndiye motivation speaker ambaye anatakiwa kuongea akiwa anamaanisha, siyo yule/wale wa hekari moja unapata 12mil. Anachifanya huyu kijana Ally aliyekuwa mkuu wa mkoa wa Mara huko kwenye mashamba yake ni mfano tosha kwa...
  7. S

    JamiiForums Tanzania Kafulila kubali yaishe kama Ally Happi. Kalime ama kavue migebuka. Unatia aibu kushinda mitandaoni kujipendekeza kwa mama

    Kafulila aliyekuwa mkuu wa mkoa wa Simiyu kabla ya kutumbuliwa anashinda mitandaoni kila siku kumsifia rais Samia. Bila shaka haamini kama mama kamchoka na kaamua kumtupa kama jongoo. Mwambieni Kafulila kuwa yeye siyo wa kwanza. Wapo akina Dr. Rutengwe walillia kama Yesu msalabani baada ya...
  8. J

    JamiiForums Tanzania Kafulila hukuwekeza kama wenzako akina Ally Happi utakuwa mpiga tarumbeta hadi lini? Unazeeka sasa!

    Wenzako akina Happi wamewekeza kwenye kilimo na wanaajiri watanzania ili kuunyanyua Uchumi wa Nchi Wewe David aka naniliu bado unadanda danda tu kwenye miti kutafuta mapera, unazeeka bwashee tumia akiba uliyojiwekea kwenye Ubunge, URAS na URC kufanya uwekezaji Alhamis Ubarikiwe sana!
  9. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Ally Hapi: Nachapa kilimo cha nyanya kwenda mbele

    "Niko shambani nalima.Tunamshukuru Mama (Mhe. Rais) na serikali ya CCM kuipa msukumo sekta ya kilimo. Mbolea ya ruzuku na mazingira rafiki ya kilimo vimetupa nguvu zaidi ya kupambana. Kazi inaendelea."__ Aliyekuwa Mkuu wa mkoa wa Mara Ally Hapi
  10. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Ally Happi Stay Strong , Never Compromise your principles !!

    Inawezekana kabisa unapitia kipindi kigumu cha Kihisia, kijamii ,Kisiasa !! Inawezekana kabisa katika kipindi hiki , mawazo mengi ,mashauri mengi yanakupata ,huenda unasukumwa Kuomba msamaha ?!!! Uombe wa Msamaha Kwa Kosa gani?. Kwamba Wale wazee , ambao Sasa ndio wameshika Mpini ,unalazimika...
  11. J

    JamiiForums Tanzania Ya Ally Hapi yaendelee kuwakumbusha vijana, madaraka ni koti la kuazima

    Rais Samia Suluhu alifanya mabadiliko ya wakuu wa mikoa na makatibu tawala wa mikoa ambapo tumeshuhudia baadhi ya sura mpya, wengine wakihamishwa lakini kuna ambao wamepewa mkono wa kwaheri, ingawa gumzo kubwa limekuwa kutemwa kwa aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Mara, Ally Salum Hapi. Hapi ambaye...
  12. Mapank

    JamiiForums Tanzania Nileteeni Ally Hapi

  13. Determinantor

    JamiiForums Tanzania Ally Happi na Kafulila "waenda na maji", Watumbuliwa Ukuu wa Mkoa

    Karibuni uraiani sasa, kumekucha salama na mmeamka na taarifa sahihi kabisa. Ally Happi nenda kaendelee kuwalea wake zako wanne sasa, Kafulila njoo mtaaani uone maisha halisi. Mlijisahau sana sana. Cheo ni dhamana
  14. T

    JamiiForums Tanzania Rais Samia afanya mabadiliko Wakuu wa Mikoa. Ally Hapi, Kigaigai, Kafulila na Eng. Robert Gabriel watemwa

    Rais Samia Suluhu amefanya mabadiliko ya wakuu wa mikoa nchini huku akiingiza majina mapya tisa akiwemo Albert Chalamila aliyeteuliwa kuwa mkuu wa mkoa wa Kagera. Wakuu wa mikoa 10 wamebaki kwenye vituo vyao vya kazi vya awali huku 7 wakihamishwa. Aliyekuwa mkuu wa mkoa wa Mara, Ally Hapi...
  15. The Sunk Cost Fallacy

    JamiiForums Tanzania Rorya: Madiwani wadaiwa kupanga kumteka M/kiti wa Halmashauri wakigombea eneo la kujenga Kituo cha Afya. RC Hapi atishia kuvunja Baraza la Madiwani

    Moja kwa moja kwenye mada. Katika Hali ya kushangaza, Madiwani wa Halmashauri ya Wilaya ya Rorya Mkoa wa Mara walikutana usiku kupanga njama za kumteka Mwenyeki wa Halmashauri yao. Kiini cha mgogoro ni kutokana na kutokubaliana sehemu ambapo panatakiwa kujengwa Kituo cha Afya. Hatua hiyo...
  16. F

    JamiiForums Tanzania Ally Hapi: Kinana ni mtu mwenye uwezo mkubwa, uteuzi wake ni sahihi

    Mkuu wa Mkoa wa Mara, Ally Hapi amesema kuwa Abdulrahman Kinana ambaye jina lake limependelezwa kuwa Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) ni mtu mwenye uwezo mkubwa na kuwataka kuachana na mambo ya nyuma. Kauli yake hii inakuja kutokanana na swali aliloulizwa na wanahabari nje ya ya...
  17. John Haramba

    JamiiForums Tanzania RC Ally Hapi aliagiza Jeshi la Polisi kuwasaka waliopoteza mamilioni ya Serikali

    Mkuu wa Mkoa wa Mara, Ally Hapi ameliagiza Jeshi la Polisi mkoani humo kuwasaka na kuwakamata watu zaidi ya 100 ambao wanadaiwa kupotea na kutowasilisha fedha benki zilizokusanywa kupitia Mashine za Kukusanyia Mapato (POS) kwa Halmashauri ya Bunda, Tarime Mji pamoja na Butiama. Source: Dar Mpya
  18. Jidu La Mabambasi

    JamiiForums Tanzania Ally Hapi ajitetea kama mbogo aliyejeruhiwa

    Baada ya mh Rais Samia kupiga indiketa ya kuutumbua uongozi wa mkoa wa Mara, leo Ally Hapi katumia jukwaa vizuri kujitetea. Pamoja na ukweli kuwa Ally Hapi angeweza kuyatatua yote aliyomwomba Rais , lakini wachunguzi wa mambo wanafikiri Ally Hapi bado hajawiva kiuongozi. Wakurugenzi ndani ya...
  19. J

    JamiiForums Tanzania Rais Samia awataka RC Hapi na Wakuu wa Wilaya zote Mara wajitathmini kwa Uongozi wao mbovu

    Kutokana na kukwama kwa miradi mingi mkoani Mara Rais Samia amesema anakwenda kuchunguza mwenendo wa viongozi wote wa mkoa na kwa kipindi hicho cha uchunguzi amemtaka Mkuu wa Mkoa na Wakuu wa Wilaya wote wajitathimini kabla ripoti haijatoka. Kwa upande wa Wakuu wa idara, Rais Samia amesema...
  20. Pac the Don

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa Mkoa wa Mara apewa amri na mwananchi akitaka choo kianze kazi mara moja 😂

Back
Top Bottom