ally hapi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Waufukweni

    LGE2024 Ally Hapi ahimiza Wananchi kujitokeza kupiga kura

    Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Wazazi ya CCM, Ally Hapi, amehitimisha kampeni za chama hicho mkoani Mbeya kwa kuhimiza wananchi kuwachagua viongozi wa CCM katika uchaguzi wa Serikali za Mitaa unaotarajiwa kufanyika Novemba 27, 2024. Katika hotuba yake, Hapi alisisitiza umuhimu wa kampeni za...
  2. M

    LGE2024 Ally Hapi: Chagueni wagombea wenye connection

    Katibu wa Jumuiya ya Wazazi ya Chama Cha Mapinduzi Ally Hapi leo amezindua kampeini za uchanguzi wa Serikali za Mitaa kwa chama hicho mkoa wa Kagera huku akiwapigia chapuo wagombea wa chama hicho huku akisema ndiyo wagombea pekee wenye Connection kuanzia ngazi ya chini mpaka kwa Rais
  3. Waufukweni

    LGE2024 Ally Hapi: Msiwape dhamana watu waliochanganyikiwa, hamtapata chochote

    Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Wazazi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Ally Hapi, amewataka viongozi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kuacha kulalamika na badala yake kuelekeza nguvu zao katika kuwasilisha na kueleza ajenda za maendeleo kwa wananchi. Hapi alitoa kauli hiyo katika mkutano...
  4. Cute Wife

    PreGE2025 Ally Hapi: Mbowe alitaka kulipua vituo vya mafuta aue wananchi, pamoja na kusamehewa bado wanaeneza uchochezi, hawafai kuongoza nchi

    Wakuu, == Wakati anahutubia Wananchi wa Jimbo la Msalala, Katibu Mkuu wa Umoja wa wazazi jumuiya ya CCM Taifa Ally Hapi alieleza kuwa kuna kipindi Mbowe alitaka kulipua vituo vya mafuta lakini Rais Samia alimsamehe. Hapi alidokeza kuwa Mbowe alikuwa na nia ovu ya kuleta taharuki nchini kwa...
  5. Cute Wife

    LGE2024 Ally Hapi: Vyama vingine ni watoto shughuli za watu wazima hawataziweza, uchaguzi serikali za mitaa Isaka Kahama chagueni CCM

    Wakuu, Watoto wadogo CHADEMA na wengine umejumbe umewafikia, mna nini cha kuoffer wananchi waone CCM ni pumba wawachague na kuwachagua nyinyi? ====== "Tushikamane na serikali yetu na chama chetu CCM katika chaguzi zinazikuja za serikali za mitaa, tuwachague wagombea wanaotokana na CCM...
  6. Cute Wife

    PreGE2025 Ally Hapi: Tutamlinda Rais Samia dhidi ya wote wanaotaka kumnyooshea vidole

    Wakuu, Chawa wakubwa wanaendelea na kazi yao kuhakikisha mama anakuwa anapambaniwa na kukubalika vilivyo, kwa upepo unavyoenda mnaonaje Wakuu, watatoboa? Rais Samia amekuwa muungwana anayeipenda nchi yetu ambapo kaendeleza miradi yote iliyoachwa na Hayati Magufuli ili watanzania wafaidi...
  7. Msanii

    PreGE2025 Yaliyojiri kwenye Maandamano ya CHADEMA 23/9/2024

    Leo ni siku iliyosubiriwa kwa hamu kubwa na Watanzania. Siku ya maandamano ya wananchi wakiongozwa na Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA. Kwa mujibu wa mwenyekiti wa Chama hiko; amefafanua kwamba lengo la maandamano hayo ni kupinga wimbi na matendo mabaya yanayoendelea nchini ya utekaji...
  8. Mkalukungone Mwamba

    PreGE2025 Ally Hapi akemea tabia watu kuuwana, kutekwa na kupotea katika mazingira yanayoibua sintofahamu

    Katibu Mkuu wa Umoja wa Wazazi, Jumuiya ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Ally Hapi amekemea tabia inayoindelea kwa sasa ya watu kuuwana, kutekwa na kupotea katika mazingira yanayoibua sintofahamu na kuibua maswali mengi yasiyo na majibu katika jamii. Hapi ametoa kauli hiyo akiwa wilayani...
  9. NAMBA MOJA AJAYE NCHINI

    Hongera Ally Hapi kwenda kata ya Loya- uyui, lakini wahuni walikuzidi mbinu!

    Ndio ndio kweli umefika pale,lakini wananchi walitarajia makubwa zaidi siyo jinsi ilivyojiri hapo jana! Wahuni walijitahidi kukuchelewesha usifike mapema kusikia kero za hao wananchi,ambazo ni nyingi kuliko ulivyoambiwa eti mambo ni safi Samiah hadaiwi! Samiah ataachaje kudaiwa wakati zahanati...
  10. Replica

    Ally Hapi: Vijana msiogope kuoa, wanawake ni wengi. Anayetelekeza watoto ni mwanaume suruali

    Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Wazazi ya CCM Taifa, Ally Hapi amewataka Wanaume kuacha kutelekeza Watoto huku akiwasisitiza Vijana kuoa . Hapi amesema hayo akiwa Mkoani Singida May 10,2024 ambapo amesema “Nataka tuone mkakati kweli tuna tatizo kubwa la Watoto wa Mitaani na sio Singida tu ni kote...
  11. Papaa Mobimba

    Ally Hapi: Rais Samia amefanya super sub, wale jamaa wasitegemee huruma

    Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Wazazi CCM Taifa Ali Hapi akizungumza katika hafla ya mapokezi ya wajumbe wa sekretarieti ya CCM amesema kuwa CCM imeingia kwenye mapambano, hivyo upinzani wasitegemee huruma. "Naomba wakati huu ambao tunaingia kwenye mapambano niwaambie wale jamaa wa upande wa pili...
  12. Kaveli

    Ally Hapi: "Huyo fisadi, mla rushwa anamuogopa Samia"

    Ex RC Ally Hapi amkumbusha mwizi wa mali za wananchi, fisadi, mla rushwa na adui wa chama kuwa muda sasa unahesabika. Video inazungumza... -Kaveli-
  13. Suzy Elias

    Soon, Ally Hapi atakuwa ndani ya mfumo

    Ilikuwa ni vigumu mno kwa Mwenyekiti kuendelea kuishi na watu wenye kumshauri kwa karibu huku akiendelea kusikia pembeni wakijadili namna sahihi na bora ya kumnyang'anya tonge mdomoni. Kwa muktadha huo, boss lady ameamua kama mbwai na iwe mbwai na rasmi ameamua awarejeshe kundini wale wote...
  14. Crocodiletooth

    Ally Hapi, kiongozi kijana wa mfano aliyefanikiwa kupata mtaji akajiongeza

    A man is my role model, kama kiongozi aliyeshikilia nyadhifa mbalimbali za kiuteuzi na kufanikiwa kupata mtaji wa uhakika, ambao amefanikiwa kuutumia vyema katika kuendeleza mashamba makubwa ya ki setlers, tofauti na viongozi wengine ambao baada ya kuenguliwa katika posts huanza kulia lia, na...
  15. Mdigokhan

    Kilimo kimenivutia. Ally Hapi anafanyia kilimo wapi?

    Khabari zenu wakubwa. Kuna huyu jamaa wa kuitwa ALLY HAPI aliewahi kuwa mkuu wa wilaya Kinondoni, Aliwahi kuwa mkuu wa mkaa wa Iringa kama sikosei,ila kwasasa sio tena mwanasiasa ni baada ya mama samia kumuondoa kwenye hayo mdaraka. Hizi siku mbili tatu kaibuka analima balaa ana mashamba...
  16. TODAYS

    Motivation Speaker anatakiwa awe Ally Hapi, Siyo wale kuongea pasi vitendo

    Huyu jamaa ameamua hasa, japo tayari ameingia akiwa na mtaji ila huyu ndiye motivation speaker ambaye anatakiwa kuongea akiwa anamaanisha, siyo yule/wale wa hekari moja unapata 12mil. Anachifanya huyu kijana Ally aliyekuwa mkuu wa mkoa wa Mara huko kwenye mashamba yake ni mfano tosha kwa...
  17. Idugunde

    Ally Hapi: Nachapa kilimo cha nyanya kwenda mbele

    "Niko shambani nalima.Tunamshukuru Mama (Mhe. Rais) na serikali ya CCM kuipa msukumo sekta ya kilimo. Mbolea ya ruzuku na mazingira rafiki ya kilimo vimetupa nguvu zaidi ya kupambana. Kazi inaendelea."__ Aliyekuwa Mkuu wa mkoa wa Mara Ally Hapi
  18. J

    Ya Ally Hapi yaendelee kuwakumbusha vijana, madaraka ni koti la kuazima

    Rais Samia Suluhu alifanya mabadiliko ya wakuu wa mikoa na makatibu tawala wa mikoa ambapo tumeshuhudia baadhi ya sura mpya, wengine wakihamishwa lakini kuna ambao wamepewa mkono wa kwaheri, ingawa gumzo kubwa limekuwa kutemwa kwa aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Mara, Ally Salum Hapi. Hapi ambaye...
  19. Mapank

    Nileteeni Ally Hapi

  20. T

    Rais Samia afanya mabadiliko Wakuu wa Mikoa. Ally Hapi, Kigaigai, Kafulila na Eng. Robert Gabriel watemwa

    Rais Samia Suluhu amefanya mabadiliko ya wakuu wa mikoa nchini huku akiingiza majina mapya tisa akiwemo Albert Chalamila aliyeteuliwa kuwa mkuu wa mkoa wa Kagera. Wakuu wa mikoa 10 wamebaki kwenye vituo vyao vya kazi vya awali huku 7 wakihamishwa. Aliyekuwa mkuu wa mkoa wa Mara, Ally Hapi...
Back
Top Bottom