Ally Salum Hapi ni Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Wazazi CCM Taifa
na kiongozi wa zamani wa serikali nchini Tanzania ambaye alijipatia umaarufu mkubwa sana, hasa wakati wa serikali ya Awamu ya Tano chini ya Hayati Dkt. John Pombe Magufuli.
Alianza kujulikana sana alipoteuliwa kuwa Mkuu wa Wilaya (DC) ya Kinondoni jijini Dar es Salaam.
Kutokana na utendaji wake, alipandishwa cheo na kuwa Mkuu wa Mkoa (RC) wa Iringa, na baadaye alihamishiwa kuwa Mkuu wa Mkoa wa Tabora.
Akiwa madarakani, Ally Hapi alifahamika kwa mtindo wake wa uongozi wa "kuchukua hatua za papo kwa papo".
Alikuwa mkali kwa watumishi wa umma waliozembea, alifanya mikutano mingi ya hadhara kutatua kero za wananchi, na alikuwa mmoja wa vijana walioaminika sana na Hayati Magufuli.
Kwenye mabadiliko (reshuffle) ya wakuu wa mikoa yaliyofanywa na Rais Samia Suluhu Hassan katika serikali ya Awamu ya Sita, Ally Hapi alitenguliwa na kuondolewa kwenye nafasi ya ukuu wa mkoa.
Hao vijana watano ndio walipelekwa maeneo yenye upinzani wa kweli na kazi walifanya kwa kweli.
Huyu Lengai ndio alipendwa zaidi kwanza ndio mdogo miongoni mwa hao big 5 lakini pia alikuwa ni DC tu japo majukumu yake yalikuwa ya kitaifa zaidi sawia na KUB Mbowe.
The big 5 ndio watailinda legacy...
JF
Katika kitu mama amefanikiwa ndani ya muda mfupi ni kurejesha nidhamu ya viongozi wateule wa rais.
Itakumbukwa hapo nyuma wakuu wa mikoa ya Mbeya na Iringa walijiona ni miungu watu ndani ya nchi hii, walikuwa wanafanya mambo wanayojisikia hata kama ni kinyume na haki za viongozi.
Huyu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.