ali kamwe

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    Ali Kamwe: Kuna mchezaji tangu kaenda timu nyingine anajitutumua kuliko alipokuwa kwetu

    Kuna mchezaji tangu kaenda timu nyingine anajitutumua kuliko alipokuwa kwetu
  2. Scott junior

    Ali Kamwe: Kiingilio bure isipokuwa VIP A na VIP B

    “Tumekubaliana kuwa mechi hii imeondolewa viingilio majukwaa yote isipokuwa jukwaa la VIP A na VIP B yamekuwa Reserved kwa waalikwa maalum ambao ni Wageni wetu pamoja na wanachama wa Yanga wa Black Card. Ombi hili la kuweka mechi hii isiwe na viingilio lilikuwa Gumu sana kukubaliwa kwakuwa...
  3. Captain tesha

    Kocha Mpya wa Simba

    Anatufaa. Uzi tayari.
  4. pwilo

    Ali Kamwe hafai tena kuwa msemaji wa Yanga

    Habari za wakati huu mashabiki na wapenzi wa soka, Leo tumshauri ndugu yetu ambaye ni msemaji wa wananchi kwa sasa yaani DAR ES SALAM YOUNG AFRICAN. Msemaji wa YANGA kwa siku za hivi karibuni amekuwa anafanya vitu vya kitoto sana, Kwanza anajibu kila hoja kutoka kwa wapinzani labda anadhani...
  5. Beira Boy

    Baada ya jezi za Simba kuvuja Simba wasogeza mbele uzinduzi wa jezi hizo watatu wafukuzwa ali kamwe asema mtu wao hajafukuzwa

    Amani iwe nanyi watumishi wa MUNGU katika KRISTO YESU Simba wamesogeza mbele uzinduzi wa jezi zao ni baada ya jezi hizo kuvuja Ali kamwe amesema kuwa wana shushushu wao huko ukoloni na watatu wamefukuzwa kuhusiana na hiyo inshu ya kuvuja kwa jezi, lakini shushushu wao hajafukuzwa Bado yupo...
  6. Mr Alpha

    Ali Kamwe ameoa lakini akili bado zero

    Jumla ya wachezaji 30 wameitwa timu ya taifa na kila mmoja ametoa mchango wake kwa nafasi yake. Sasa mbona ghafla topic yote imegeuzwa Kagoma pekee? Kwanini isiwe Mzize au Feisali waliokuwa wachezaji bora wa mechi mbili? Yaani mnashadadia Kagoma mpaka mnachapisha T-shirt na jezi – lengo ni...
  7. GENTAMYCINE

    Oscar Oscar leo ndiyo umeanza kujua kuwa Msemaji wa Yanga SC Ali Kamwe ana Matatizo na Sifa zimemlevya vibaya na Siku zake Yanga SC zinahesabika?

    Nafikiri Ally Kamwe anapaswa kumuomba radhi Yasmni Razack kwasababu yule sio winga yule ni msimamizi wa wachezaji na kasimamia wachezaji wengi ambao wamecheza Yanga na wengine bado wanacheza Yanga,kumuita winga ni kumkosea heshima kitu ambacho sio sawa ,anapaswa kumuomba radhi kwasababu...
  8. Scott junior

    Ali Kamwe ni kama hajielewi

    Hivi huyu ni msemaji wa Yanga au msemaji wa Hersi? Kwani haelewi kwamba kuna Hersi rais wa Yanga na Hersi Said mwenye maisha yake binafsi? Suala la kugombea ni suala binafsi la Hersi linaihusu nini Yanga kama klabu? Kushindwa kwake kuna uhusiano gani na performance ya Yanga uwanjani. By the...
  9. Waufukweni

    GE2025 Kamwe: Eng. Hersi hajachukua fomu kwa mara ya pili, wanataka kutuchafua Yanga

    "Klabu ya Yanga imesafiri na Rais wetu Hersi Kuja huku Rwanda na sijui hizi taarifa zimetoka wapi kwasababu kila kitu kilihishia alipotaka kuwa Mbunge wa Kigamboni." "Kuna vitu vinaendelea kwasababu kuna watu wametumwa kuja kuharibu mipango yetu na wanataka tufanye vibaya kwenye ligi na klabu...
  10. Waufukweni

    Ali Kamwe asema Historia ya Yanga kushiriki maendeleo ya Taifa si jambo jipya, imeanza tangu enzi za ukombozi

    Historia ya Klabu ya Yanga SC kwenye ushiriki wake katika kuleta maendeleo ya Taifa la Tanzania, Kiuchumi, Kisiasa na Kimichezo haijaanza Leo wala jana .. Ni Klabu hii ya Wananchi iliyobeba sehemu ya Ukombozi wa Taifa hili.. Tumebeba Nembo ya Umoja, Amani, Upendo, Mshikamano na ukarimu wa Raia...
  11. K

    Natafuta kazi ya udereva. Nina uzoefu kusafiri masafa marefu zaidi ya miaka mitano

    Ndgu wapendwa Ninaombi kwenu la kazi ya udereva katika kampuni,mtu binafsi, taasisi. Nina uzoefu wa zaidi ya miaka (05) katika kazi ya udereva, nikiwa na leseni daraja [A, B, C1, na D], na ujuzi mzuri wa kuendesha magari aina mbalimbali pamoja uzoefu wa kusafiri masafa malefu katika mikoa mingi...
  12. GENTAMYCINE

    Ali Kamwe hongera sana kwa Kuoa ila umehakikisha kuwa Boss wako Mmoja mharibifu hadi kwa Wake za Wachezaji hatopita pia na Mkeo huyu Mrembo?

    Uzuri wetu wengine Wachezaji wako ni Marafiki zetu na hawatufichi jambo. Boss hapendi vitu vizuri vizuri vimpitie mbali.
  13. Pdidy

    Ali Kamwe hamna supu ya ngamia wa crdb cup huko tujuzeni mapema?

    MH Ali KAMWE TUPE MREJESHO kama kuna supu ya NGAMIA WA CRDB Tena tujiandae mapema NBC mlitupa suprise tukashindwa kuja YANGA Moja daima
  14. DuaZaMama

    Derby ya kariakoo Kuahirishwa ilikuwa siasa tupu

    Ukiisikiliza hoja za yanga Kuna baadhi zina maslahi Kwa mpira wetu na zingine hazina maslahi kwa mpira bali zina maslahi Kwa timu yao, nafikiria kama kiongozi mkubwa wa serikali aliwaamuru walinzi wasiwafungulie geti Simba Sc siku moja kabla ya mechi ni dhahiri kuwa mpira wetu una uhusiano wa...
  15. Amani ya Mungu

    Ali Kamwe: Hatutacheza mchezo wa kombe la Shirikisho CRDB mpaka tulipwe pesa zetu za Msimu uliopita

    Press ya Yanga muda huu, Pamoja na kuendelea kugomea mechi ya Derby ya Tar 15 June 2025, msemaji amesema hawatacheza mechi ya fainali iwapo hawatalipwa pesa za ushindi wa kombe la CRDB la msimu uliopita. "Hatutacheza mchezo wa kombe la Shirikisho CRDB mpaka tulipwe pesa zetu za Msimu...
  16. BigTall

    Ali Kamwe: Bodi ya Ligi ikisikiliza na kutekeleza mahitaji yetu tutacheza Kariakoo Derby ya Juni 15, 2025

    “Yanga ni klabu ya Mpira wa Miguu, hatuna kazi yoyote zaidi ya kucheza Mpira wa miguu hivyo endapo matakwa yetu yatasikilizwa na kufanyiwa kazi mbungi itapigwa June 15” Ali Kamwe, Meneja Habari na Mawasiliano Yanga SC akihojiwa na Wasafi FM, leo Juni 9, 2025.
  17. Kekule Wa Benzene Ring

    Tetesi: Yanga kumtumia Ali Kamwe na baadhi ya wazee kutangaza watacheza derby kwa Maslahi mapana ya Mpira

    Baada ya kukwaa visiki Kila waendako TFF&BODI YA LIGI, CAS na HATIMAYE MAHAKAMA KUWAFURUSHA hapo Jana. Viongozi wa Yanga wamejiandaa na kubadili gia angani Huku wakitarajia muda wowote Ule kukutana na kubadili maamuzi ya kutokucheza derby tarehe 15 Juni. Taarifa Toka chanzo cha kuaminika...
  18. 29Oct2025

    Ali kamwe tuambie ukweli huko uliko

  19. mdukuzi

    Ali Kamwe itanie Simba uwezavyo ila usilete utani kwenye Brand za biashara za watu, utapotea

    Ukiona kampuni imesimama mpaka imejulikana kitaifa ujue owners wamepambana sana,jasho,machozi na damu. Hakuna mtu mnyonge anayeweza kumiliki kampuni yenye thamani ya mabilioni. Company owners wengi ni mafia, kukupoteza wewe kiumbe mdogo ni sekunde. Mtu amemtoa kafara mzazi wake, mtu ameroga...
Back
Top Bottom