ali kamwe

Ali Kamwe (au Ally Kamwe) ni mmoja wa wachambuzi wa soka na maafisa habari maarufu na wenye ushawishi mkubwa sana nchini Tanzania kwa sasa.

Anafahamika sana kwa nafasi yake kama Afisa Habari na Mawasiliano wa Klabu ya Yanga (Young Africans Sports Club).

Kazi Ndani ya Yanga SC: Aliteuliwa kuwa msemaji mkuu wa Yanga, akichukua majukumu ya kuwasiliana na umma, kutangaza mechi, na kuhamasisha matukio makubwa ya klabu hiyo

Amekuwa nguzo muhimu sana katika kuunganisha uongozi wa Yanga na mashabiki wake.

Ali Kamwe anasifika kwa kuwa na mbwembwe nyingi, uwezo mkubwa wa kujenga hamasa (hype), na ubunifu wa hali ya juu anapofanya mikutano na waandishi wa habari.

Mara nyingi amekuwa akibuni misemo na majina ya utani kwa wachezaji ambayo hupendwa na kutumiwa sana na mashabiki mitaani
  1. mdukuzi

    JamiiForums Tanzania Sio kwa ubaya ila Ali Kamwe ni matunda ya kulelewa na mzazi mmoja,vijana lindeni ndoa zenu

    Mtoto aliyepata malezi bora ya baba na mama utamjua ukubwani,huwa hawana adabu na hawajui waongee nini na wakati gani. Kuna familia wazazi wote wapo pamoja ila mmoja yuko bize sana mpaka analelewa na house girl badala ya wazazi. Kuna waliotengana kwa sababu mbalimbalihivyo mtoto kukosa upendo...
  2. CAPO DELGADO

    JamiiForums Tanzania 'Kamdomo kamponza Ally Kamwe..' Polisi Tabora yathibitisha kumshikilia

    Afisa Habari wa Klabu ya Yanga, Ally Kamwe akamatwa usiku wa manane huko Tabora. Chanzo cha Kukamatwa kwake ni kutoa Lugha chafu kwa viongozi wa Mkoa. Ameshikiliwa kwa Mahojiano Maalum. RPC Tabora amethibitisha “Nathibitisha tunamshikilia Msemaji wa Yanga, Ali kamwe, tunamshutumu kwa kutoa...
  3. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Kimenuka! Ali Kamwe apewa saa 24 amuombe radhi RC wa Tabora kwa kauli zake

    Mkuu wa Idara ya Habari na Mawasiliano wa Klabu ya Tabora United Christina Mwagala amempa saa 24 Afisa Habari wa Yanga SC, Ali Kamwe awe amemuomba radhi Mlezi wa Timu ya Warina asali wa Tabora, Tabora United. Hayo yamejiri baada ya Ali Kamwe kujibu kauli za Mkuu wa Mkoa wa Tabora ambaye ndio...
  4. The Watchman

    JamiiForums Tanzania RC Mtanda: Serikali hatuwezi kuchukua kispika cha Ahmed Ally cha kuuzia kunguni kutoa taarifa, tunafanya kazi kama Ally Kamwe

    Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Mhe Mtanda awataka vijana wasikae vijiweni washiriki kwenye makongamano kusikiliza fursa mbalimbali, Mtanda ameoa wito huo kwenye Konga la wazi la Fursa za kiuchumi kuhusu mgao wa 30% za Rais Samia kupitia NeST.
  5. sergio 5

    JamiiForums Tanzania Trends ya tabia za Ali Kamwe, Je Yanga uyo ndiyo think tank wao?

    1.Nakumbuka alifanya utovu wa nidhamu akaadhibiwa na TFF sjui baadae adhabu ikaota mbawa 2. Alikuwa kocha wa team flani kwenye SAMIA celebrity cup team ya kwanza alifanya uhuni akafukuzwa akasingizia kujiuzuru akahamia BAD NATION ya marioo Jana akaleteza vurugu akaongoza team kutoka uwanjani...
  6. Mr Q

    JamiiForums Tanzania Taarifa ya Ally Kamwe kufungiwa itatoka lini?

    Nashawishika kuuliza hivyo kwakuwa naona Priva ni kama rasmi sasa ameshika mikoba ya usemaji wa Club. Je amefungiwa? Kama amefungiwa taarifa itatolewa lini? Au wanasubiri taarifa ya bodi ya ligi kuhusu Derby? Ili wazitoe kwa pamoja ili taarifa moja itumike kufunika taarifa nyingine? Soma Pia...
  7. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Ally Kamwe: Siasa inaendesha Maisha yetu ya kila siku, ni muhimu kujiandikisha Kupiga Kura

    Ally Kamwe, Meneja Habari na Mawasiliano wa Klabu ya Yanga anatoa maoni yake kuhusu Uandikishaji na Uboreshaji wa Daftari la Kupiga Kura: Wapo wanaoamini Kadi ya Kupiga Kura sio muhimu kwao na kwamba ni jambo la Kisiasa lakini ukweli ni kuwa Siasa inaendesha Maisha yetu ya kila siku, hivyo ni...
  8. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Haji Manara inakuwaje leo umekuwa mzungumzaji Mkuu kwa kilichotokea na siyo Ali Kamwe wala Hersi Said au hata wana Yanga Waandamizi wenyewe?

    Tunajua kuwa unatumia mwanya huu kutaka kuonekana una Uchungu na Yanga SC na unaipenda (wakati si kweli kwani Wewe ni mwana Simba SC lia lia) ili Maamuzi Makali yamhusuyo Msemaji wa Yanga SC Ali Kamwe yakitolewa Wiki ijayo au baadae basi Uongozi wa Yanga SC ukurudishe Wewe katika Usemaji na siyo...
  9. The Watchman

    JamiiForums Tanzania Ally Kamwe asema kikosi cha Yanga kitawasili saa 11 uwanjani kujiandaa na Mechi ya dabi leo jioni

    Meneja Habari Mawasiliano wa Klabu ya Yanga Ali Kamwe anasema timu itawasili uwanjani saa 11:00 jioni kujiandaa na mechi ya leo jioni. Itakumbukwa bodi ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB) kupitia Kamati ya Uendeshaji na Usimamizi wa Ligi imetangaza kuahirisha Mchezo wa Yanga dhidi ya Simba kwa mujibu...
  10. The Watchman

    JamiiForums Tanzania Ally Kamwe: Habari za kufungiwa sio za kweli TCRA washughulikie taarifa kama hii

    "Na mimi nitumie nafasi hii kuwaomba watu wanashughulikia mitandao ya kijamii (TCRA) washughulikie taarifa kama hii, kwasababu Unapotoa taarifa kama ile huenda una vyanzo, lakini madhara ya taarifa kubwa kama ile ni makubwa kweli kweli, ule usiku wa taarifa imetoka nilienda kukesha hospitali na...
  11. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Ali Kamwe adai taarifa za kufungiwa ni tetesi tu!

    Meneja Habari na Mawasiliano wa Yanga Sc, Ali Kamwe amesema hajapokea taarifa yoyote ya yeye kufungiwa kujihusisha na masuala ya soka, kwani bado hajapokea barua kuhusu suala hilo. Akizungumza kwenye mahojiano na Kituo cha Redio cha Wasafi FM Machi 07, 2025 Kamwe amesema hajui taarifa hizo...
  12. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Ally Kamwe: Tetesi za kufungiwa zilimpeleka mama yangu hospitali, alipata mshtuko

    Baada ya tetesi za Meneja Habari na Mawasiliano wa Yanga SC, Ally Kamwe kudaiwa kufungiwa (kama hukusoma bofya hapa -Inaelezwa Ali Kamwe kafungiwa miaka 2, Ahmed Ally anusurika na rungu la TFF), Mwanayanga huyo amejitokeza hadharani na kuelezea kuhusu madhara ya tetesi hizo na jinsi...
  13. C

    JamiiForums Tanzania Ally Kamwe unasababisha baba yako ahojiwe mitandaoni na watu kumdhalilisha kwenye comments

    Asee hii tabia ya vivulana vya siku hizi,unaweza kukuta mtu anaonekana msomi kabisa,lakini anaamua kumdhalilisha baba yake mitandaoni. Wewe mtoto wa kiume unanunuaje ugonvi wa mama dhidi ya baba yako? Nimekudharau sana Ally Kamwe kumsababishia baba yako atukanwe mitandaoni kwamba alikimbia...
  14. LICHADI

    JamiiForums Tanzania Ali Kamwe kosa la kwaza ulilianzia hapa

    1.Ulivunja Sheria mojawapo ya usiwaonyeshe walimwengu mafanikio yako lile saga la juzi kuwaita waandishi wa habari kuwa umemjengea mama nyumba usione watu wanakupenda fanya mambo yako kimya kimya walimwengu wivu mwingi 2.Kaa vizuri na baba yako mapema sana malizana nae yule mzee juzi aliongea...
  15. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Laana ya Juma Mgunda imemtafuna Ally Kamwe

    Kuna tetesi kwamba Kamwe amepigwa ban ya miaka miwili. Nakubaliana na ban na yeyote anayeketa ujinga ujinga unaofanana na huyo apigwe na kitu kizito. Niwakumbushe tu huyu bwana mdogo aliwahi kumdhalilisha Juma Mgunda. Akasema kati ya Mgunda na Andazi, yeye anachagua andazi. Viongozi wa timu...
  16. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Tayari mmeshamfungia Ali Kamwe 'Mvua Mbili Kavu' sasa mnaogopa nini Kutangaza leo? Wanafiki wakubwa nyie

    Kama tunajua Nyeti za Mzanzibari Myemeni ndiyo tushindwe kuzijua zenu tena za hapo jirani tu Karume Ilala? Hovyoooo!!!
  17. Pdidy

    JamiiForums Tanzania Kama adhabu ya Ali Kamwe ni miaka miwili, Kamati ya Nidhamu haina nidhamu wala maadili. Mmetia aibu taarifa kutoka nje kabla hamjaweka wazi

    Naangalia channel tena. Mchambuzi mmoja anasema kama kweli adhabu ya Ali Kamwe itakuja rasmi miaka miwili basi hii kamati haina nidhamu, Maadili na Hekima. Haiwezekani kamati hawajatangaza rasmi adhabu lakini taarifa imeshavuja Nje. Hili suala TFF mkajitathimini, mkakajiangalie madhaifu yenu...
  18. Pdidy

    JamiiForums Tanzania Ali kamwe shujaa WA soka 2025.…soka la KUPANGA matokeo lipingwe hadharan MSIOGOPE kuwambia ukweli..MARUFUKU KUPANGA MECHI NYIE MAREFA TUNAWAONYA

    TUFIKE WAKATI TUSEME KUPANGA MECHI NO KWENYE SOKA LETU NAJUA WENGI MMEUMIA KWA ADHABU YA ALI KAMWE NAWAHAKIKISHIA HUU NDIO MWANZO TU. MTAAMBIWA UKWELI MTAFUNGIA WENGI TU MPAKA MBADILIKE UKWELI UKO WAZI MECHI ALIZOCHEZA SIMBA ZILITIA AIBU MPAKA WATANZANIA WAKAAMKA NDIPO UKAONA MAREFA...
  19. upupu255

    JamiiForums Tanzania Dominick Salamba apewe kitengo cha Usemaji Yanga baada ya rungu la TFF kwa Ali Kamwe

    wakuu Kama kweli Ali Kamwe atakuwa amepigwa rungu na TFF basi huu ni wakati wa mchambuzi na shabiki wa Yanga, Dominick Salamba kuwasemea Wananchi. Apewe kitengo kwani amekuwa akiwasemea vizuri klabu yake pendwa. Soma: Inaelezwa Ali Kamwe kafungiwa miaka 2, Ahmed Ally anusurika na rungu la TFF
  20. ngara23

    JamiiForums Tanzania Yanga tuwe imara, TFF inawaandalia ubingwa Simba Kwa kuinyongonyeza Yanga

    TFF wamejipanga Simba awe bingwa mbele ya Yanga imara TFF Leo wametumika kamati zake kumfungia Ally Kamwe miaka 2 kutokujihusisha na soccer Hili ni jambo baya na uhuni wa wazi, Ahmed Ally aliyetamka kuwa adui wa Simba ni Yanga akiachwa huru kuzidi kuzua taharuki Kuelekea derby TFF inamfungia...
Back
Top Bottom